POLENI SANA WEKUNDU WA MSIMBAZI

POLENI SANA WEKUNDU WA MSIMBAZI

Mpira wa leo kati ya Wekundu wa Msimbazi na Nkana Red Devils ulikuwa mkali sana japo Simba wamefungwa goli 2-1wakiwa na faida ya goli la ugenini. Mnatakiwa mjipange sana kwa ajili ya mechi ya nyumbani. Simba inaweza kujifariji kuwa hapa ni nyumbani LAKINI Nkana ni timu nzuri na hata asilimia ya kumiliki mpira waliwazidi Simba.Nadhani mlimuona Kessy anavyokokota mpira japo mlimuona hafai. Marudio ni baada ya wiki mbili msije mkarudi tena kwenye ligi mkiwa mnashika namba tatu. Ninawatia kila la kheri wewe Wekundu wa Msimbazi.
Poa Asante Sana mtani. Umetushauri vizuri sana watakaokutukana nitawatukana na Mimi.
 
Simba ikipenya nahisi utakunywa sumu
Wala, mna miaka almost 15 hamjaingia hatua ya makundi.
Tulifungwa lkn Tambo kama za Manara hatukuwa nazo na uwezo wetu ulkuwa mdogo na tulijua hilo. After all ilkuwa hatua ya makundi, si first round hizi Nkana au LIBOLO wanavyowafanya.
 
Simba ndio timu pekee Tanzania ambayo huwa haitii aibu wanapokuwa uwanja wa nyumbani kwenye michuano ya kimataifa.

Natamani sana Magu ingeipa Simba hadhi ya kuwa timu ya taifa,, teh
ilitobolewa mbele yake
 
Nyie wale waliowapiga 4 mwaka huu huu jina lao wanaitwaje,nikumbushe nimewasahau
Just confirming that you have short and selective memory. Thanks for confirming my observation.
 
Hahaaaah mkuu unakumbuka team iliyomfunga mtani wako nne mwaka 2013...unashindwa kuikumbuka team iliyokupiga we nne mwaka huuhuu juzi tu hapo...kati ya mi na wewe nani anashort and selective memory...juzi tu hapa mtu kapigwa nne alafu anasahau anakumbuka ya simba miaka mitano nyuma...hahaaaaah...inakera eeeeeeh
 
Kama unakumbuka, si useme Kiongozi?
 
Kama unakumbuka, si useme Kiongozi?
Nataka ukumbuke wewe,kama unaweza kumbuka wewe timu iliyompiga mtani wako nne miaka tano nyuma unashindwaje kukumbuka timu iliyokupiga wewe 4 mwaka huu...??
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Simba ndio timu pekee Tanzania ambayo huwa haitii aibu wanapokuwa uwanja wa nyumbani kwenye michuano ya kimataifa.

Natamani sana Magu ingeipa Simba hadhi ya kuwa timu ya taifa,, teh
Mlipomuita Magu mbona mlipigwa taifa Na Kagera sugar!
 
Simba ndio timu pekee Tanzania ambayo huwa haitii aibu wanapokuwa uwanja wa nyumbani kwenye michuano ya kimataifa.

Natamani sana Magu ingeipa Simba hadhi ya kuwa timu ya taifa,, teh
Vipi Kuhusu FC Libolo waliwafunga mkiwa mnachezea uwanja you mkuu?
 
Simba ndio timu pekee Tanzania ambayo huwa haitii aibu wanapokuwa uwanja wa nyumbani kwenye michuano ya kimataifa.

Natamani sana Magu ingeipa Simba hadhi ya kuwa timu ya taifa,, teh
Utakuwa unapoteza kumbukumbu,ngoja watakuja kuwatoa kamasi hapo hapo kwa mchina
 
Walidhani wale ni Mbabane Swallows. Nkana ana uwezo wa kushinda Dar.
Atakuja na strategy ya kujilinda na counter attach za kasi sana.
Kwa tamaa ya kupata goli, Simba itakuwa exposed nyuma. Nkana wana uwezo wa kupata goli Dar.
 
Yanga Wanaponda Kila Comments
Maendeleo Hayana Chama
 
Walidhani wale ni Mbabane Swallows. Nkana ana uwezo wa kushinda Dar.
Atakuja na strategy ya kujilinda na counter attach za kasi sana.
Kwa tamaa ya kupata goli, Simba itakuwa exposed nyuma. Nkana wana uwezo wa kupata goli Dar.
Na kuna striker wao tegemeo mbewe alicheza dakika 10 tu...na wakija taifa watajiachia sana cos uwanja mkubwa na hawawezi kosa goals pale taifa kwa beki ya babu wawa na pazIa manula
 
Back
Top Bottom