Poleni vijana mnaofikiria kuwa na pesa utapata mapenzi ya kweli

Poleni vijana mnaofikiria kuwa na pesa utapata mapenzi ya kweli

100 others

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2017
Posts
4,766
Reaction score
16,191
"Kijana tafuta pesa" ndio kauli utasikia vijana wengi wakishauriana....

Na pia wanawake mkiona nyuzi humu vijana wanapigizana kelele watafute pesa ili wawapate mnajiona mpo juu....lakini ukweli ni kwamba.... Wanaume wenye pesa wengi wao wanatumia nguvu ya pesa na wanakinai papuchi haraka.... hapiti mwezi anabadilisha papuchi....

Kwa sababu wanaamini hakuna kisichowezekana kwenye pesa alizonazo, mabinti mtalia kilio cha kusaga meno kwenye mahusiano....
Mpaka hapo alipofika na mali alizonazo unafikiri amekuona wewe tu 🙂 Think!!!!

Mnaoandika hizi nyuzi kama ni suala la pesa semeni ni pesa kiasi gani... mnawapotosha vijana wa kiume na wa kike....

Dada sikia kama una mwanaume wako anaweza kujimudu kwenye basics..chakula... mavazi...makazi n.k na anakupenda ishi nae...
Gari siku hizi hata mil 3 unapata acheni ujinga, v8 ni gari iliyochangamka tu kama passo...

Mbona mihogo chai asubuhi ni breakfast ya nguvu, mchana ubwabwa maharagwe mboga za majani na matunda life linasonga... mnaweka bajeti yenu saaafi mtaenjoy sana...
kikubwa kama mna ndoto na mnapeana usaidizi mtafika hilo v8 mtalipata tu, hio crown mtapata... hio nyumba ya geti mtapata tu...

Bora utoke na mtu chini mki hustle kutafuta kuliko mtu mwenye nazo... hamjui tu wanaume wenye pesa wanavyowachukulieni....

Huwezi mkamata mwanaume mwenye pesa kwa hips lako, kalio, rangi yako, uzuri wa uso wako.... usijidanganye...mara chache sana kutokea...ataipiga anatembea

Wanyonge na wenyewe wanahitaji mapenzi jamani....

Tulieni na wanangu wa Ghetto.... wanangu wana mapenzi ya dhati... hamjui tu ukimkubali mwanaume asiye na gari(kipato kikubwa) jinsi anavyokuwazia... anajisemea moyoni siku moja atakupa hata dunia...hawezi kusema kwa sababu utamwona muongo...

Na nyie wanangu msiwa umize shemeji zangu.... one day mtakuwa nyuma ya wheels... nani alijua from Tandale leo atamiliki Rolls Royce...

Naongea nimepita huko leo hii... God ame bless... amejua kwa nini back in days nilimwambia tulia na mimi... mpaka analia... namwambia mamaaaa... hapo bado...

Nakutana na pisi kali zinajilengesha zikishoboka na kipando ... lakini siwezi msahau mama chanja... ningekuwa mzinzi ningezichapa halafu nakata mazoea.... siwezi msahau mwanamke nimetoka naye chini hata nikutane na pisi kumzidi nikichapa nikimaliza akili inanirudisha kwake....

Thanks...
 
"Kijana tafuta pesa" ndio kauli utasikia vijana wengi wakishauriana....
Na pia wanawake mkiona nyuzi humu vijana wanapigizana kelele watafute pesa ili wawapate mnajiona mpo juu....lakini ukweli ni kwamba....
Wanaume wenye pesa wengi wao wanatumia nguvu ya pesa na wanakinai papuchi haraka.... hapiti mwezi anabadilisha papuchi....

Kwa sababu wanaamini hakuna kisichowezekana kwenye pesa alizonazo, mabinti mtalia kilio cha kusaga meno kwenye mahusiano....
Mpaka hapo alipofika na mali alizonazo unafikiri amekuona wewe tu 🙂 Think!!!!

Mnaoandika hizi nyuzi kama ni suala la pesa semeni ni pesa kiasi gani... mnawapotosha vijana wa kiume
Assume akapta mwanaume mwenye sifa kama zako halfu ana pesa kama hajakuacha halafu mwanaume kaumbwa kumlea mwanamke
 
Kwahiyo wewe ndo msemaji wa wanaume wasio na PESA??
Ukisema memaji unakosea, ukisema mtetezi unakosea kwani unaweza tetea hata uovu, mimi nasaidia kuwafungua akili wote wanawake na wanaume
 
Huu ni ukweli mtupu, wenye pesa wanatafutwa na wanawake wengi!! Sasa hiyo ligi kama unaiweza ingia!!!
🙂 Kabisa... wanawindwa kama swala na simba wenye njaa kali... sema wanawake hawajui...
Utanunuliwa Tom Ford ya gharama... mikufu and all that kwa sababu ya ziada za pesa zake tu... ukifikiri anakuelewa...
 
Pole na Hongera, vyote jibu lake ni Asante

Mkuu achana na pesa kwenye hii dunia,, pesa ndio kila kitu...

kama wewe mwenyewe unatafuta pesa ili usiwe kama ulivo,, kwanini utake mtu akupende the way you are wakati hata wewe mwenyewe hujipendi the way you are, ndio maana daily unazitafuta ili ubadilike..

alisikika mchoma mahindi akisema
 
Mwanaume utakula kwa jasho
Kula kwa jasho haimaanishi kuwa na pesa... hata anayekula ugali na dagaa anakula kwa jasho... anayemiliki Gulfstream IVSP anakula kwa jasho, kama una mtu wako anamudu basics na mna ndoto za kusonga mbele kwa nini uhangaike na wanaume wenye pesa kama sio udangaji?🙂
 
Hujanielewa hakuna sehemu nimesema watu wasitafute pesa... kama huna hata pesa ya chakula si utakua kituko... nimesema pesa za mahitaji muhimu ukiacha luxury na una ndoto za kusonga mbele basi una haki ya kumiliki pisi kali...

Nguvu ya pesa kwenye mahusiano ni kichochezi... lakini swali ni pesa kiasi gani?
 
Sawa Mkuu..

Mtu akiwa na pesa za Luxury huyo ndio huwa tunasema ana pesa.
 
Kula kwa jasho haimaanishi kuwa na pesa... hata anayekula ugali na dagaa anakula kwa jasho... anayemiliki Gulfstream IVSP anakula kwa jasho, kama una mtu wako anamudu basics na mna ndoto za kusonga mbele kwa nini uhangaike na wanaume wenye pesa kama sio udangaji?🙂
Hata huo ugali dagaa pia bila jasho huwezi upata so hapo utaangalia utoke jasho linalonuka kauzu au beef
 
Kweli kaka watu tutafute hela owa ajili ya watoto wetu lakini sio utafute hela kwa ajili ya demu afu istoshe demu unaempata kwa gia ya hela siku zote ni Gold digger tu hana mapenz ya ukwel
 
Back
Top Bottom