Poleni vijana mnaofikiria kuwa na pesa utapata mapenzi ya kweli

Hoja ya msingi inaanzia hapa [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji110][emoji817]
 
Hivi mtu anaemiliki gari ndio mwenye pesa?

Inashangaza ee..[emoji28][emoji28]
Kama alichukua mkopo mil 15 ndio akanunua hio gari ist na iliyobaki akaila bata unaweza kumlinganishaje na mtu mwenye biashara yenye uhakika wa kumuingizia laki 400000 kwa mwezi huku mkopo aliochukua benk Ni 6mil tu? [emoji39]

Nadhani focus na uhakika wa kipato kwa ajili ya kulea familia ndio muhim zaidi kuliko kuangalia present situation.
 
Mitandao imeharibu sana mfumo wa maisha. Propaganda zimekuwa nyingi mno.

pesa hainunui upendo wa kweli

ila ni muhimu tu ktk kutatua changamoto za kila siku za maisha ya familia ambayo tayari imejengwa ktk upendo.
 
Mwenye mapenzi ya kweli ni mama yako tu.
 
Hata huo ugali dagaa pia bila jasho huwezi upata so hapo utaangalia utoke jasho linalonuka kauzu au beef
Lazima utoke jasho la kauzu kabla ya kutoka jasho la beef... na hakuna kuchagua hapo... natumaini umenipata.......
 
Mbona tunawapenda sana na kuwaheshimu ila bado wanavunja mioyo yetu vipande vidogo vidogo.!!
Hio nayo kesi... kikubwa ni kupata mapenzi ya kweli... akizingua na wewe mzingue....
 
Kweli kaka watu tutafute hela owa ajili ya watoto wetu lakini sio utafute hela kwa ajili ya demu afu istoshe demu unaempata kwa gia ya hela siku zote ni Gold digger tu hana mapenz ya ukwel
Nakupata sana... gia za pesa huwa ni one night stand...
 
Ni mfano, gari sio kuwa una pesa... ila nilishuhudia mtu katoswa eti kisa hana gari... unaweza ona ni utani au chai lakini baadhi ya wanawake wana akili za ajabu, nahisi wanawaza kama ananunua mafuta na kufanya service hatokosa pesa za kwenda saloon n.k....
 
Mitandao imeharibu sana mfumo wa maisha. Propaganda zimekuwa nyingi mno.

pesa hainunui upendo wa kweli

ila ni muhimu tu ktk kutatua changamoto za kila siku za maisha ya familia ambayo tayari imejengwa ktk upendo.
Pesa itakupa vyakula vya kila aina lakini sio appetite... big up sana
 
"Kabla hujapata mapenzi ya kweli inabidi umpate mpenzi kwanza na ili umpate mpenzi ni lazima uwe na pesa kwanza" Ukweli mchungu ila vijana tuendelee kutafuta pesa kwanza kabla ya Mpenzi na Mapenzi yenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…