Poleni wana Mtwara, poleni sana kusini. Hakuna anayezungumza kuhusu kupanda kwa ufaulu Mtwara

Poleni wana Mtwara, poleni sana kusini. Hakuna anayezungumza kuhusu kupanda kwa ufaulu Mtwara

Poleni sana kusini, nadhani NECT wamechangia kwa kutozitaja shule kumi za mwisho kama ilivyozoeleka watu wakaamua kutengeneza zao..
Shule 10 za mwisho zimetoka GEITA kwa Mobutu Seseseko.
 
Unataka utafiti gani ?

Kama utafiti angalia shule 10 za mwsho kwa miaka 10 mfululizo angalia zinatoka mkoa gani?

Nadhani huo ni utafiti tosha kbsa
Rudia Comment yako kisha nilichokujibu zen oanisha ulichoandika utaona unapokwama
 
Mti wenye matunda ndio unaotupiwa mawe,

Kagera, Kilimanjaro, Mbeya, Hawa wakishinda, hatushangai ni desturi yao enzi na enzi,

Mtwara na Lindi ni ishu nyingine, Elimu Haina kipaumbele, lazima tuwaseme tu, Ili wabadilike kama tunavyowasema Wahaya ni Malaya,

Wasukuma ni washamba, Wachaga wanaweza kukutoa roho kwa ajili ya pesa, Lindi na Mtwara wanapenda uvivu na ngono.

Wewe jamaa hujaishi Kusini bado,huko wanathsmini unyago kwa na mabinti kuriko Elimu.

Nenda Masasi,kupata mwanamke ni rahisi Kama kukutana na mmachinga Kariakoo.

Tunawasema Ili wabadirike
wapi ni kugumu kumpata mwanamke?!!!
 
Back
Top Bottom