King smoker
JF-Expert Member
- Apr 18, 2018
- 1,002
- 675
Wakisha kaaga Bungeni na tai zao za kikuda, Wanajua sisi huku nje ni wajinga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wote hao wanaumwa ugonjwa aliouita Mch.Christopher Mtikila,Apedomia yaani ule ule unyani wa siku zileee.Ukiwa nao unakuwa na lower utility
Ukipewa tende na haluwa basi unawasahau wenzio.
Bora angerudi sultan Jamshid maana yeye hana pengine pa kuita nyumbani zaidi ya Zanzibar.Nilimuona na kumsikia akisema anatamani kurudi nyumbani Kwa watu wake Zanzibar Huyu wa Dubai ana kwake.Atasomba Kila kitu hapa apeleke Dubai .Msukuma na wenzake washapewa tende Yao na haluwa.Apedomia mbaya kuliko hata Corona.Wanajikombakomba wapate tende na haluwa
Mkuu yaani hii nchi watu wameishagundua unafiki unalipa wameamua kucheza nao
Swadakta.
🤣🤣🤣Wacha tuuzwe tu .. sasa kama bunge zima limenunuliwa si us.nge huu
Inasikitisha mtu kama Msukuma mtoto ambaye hakuwa amezaliwa wakati wa muungano, ndiye namba 1 kubeza wanaotoa hoja za kupinga mkataba ule!Tuuweke unafique kando! Tunapaswa kujitathmini upya
Sisi ni wanafiki. (Kupitia bunge hilo limethibitika
Katabaro walimuua kiaina ila Mwangosi video zitatunzwa zionyeshwe siku tukipata uhuru kamili. Nchi hii hata wanaoingia upinzani wengi ni wapelelezi au wachumia tumbo kama Waitara. Kuanzia alivyokuwa anamsifia mwenda zake na sasa anadiriki kusema upupu mtupu!Daah pana vitu vinasikitisha sana sema hii yote inatoka na mfumo mbovu wa Elimu ndio maana unaona kucha kujisifia madegree na kununua magari huku Nchi ikigawanywa vipande vipande kwa wahuni wachache nilisikia ishu ya Loliondo Gate kutoka kwa mwandishi Katabalo nalo alilipigania peke yake mpaka mauti yakamfika akiwapigania vizazi na vizazi kupitia makala zake za kiuchunguzi kwenye gazeti la Mfanyakazi..R.I.P Katabalo na baadae Mwangosi kukosekana kwa Wazalendo wa kweli kunafanya watu wachache kuamua mambo yeyote bila kujali maslahi mapana ya Nchi ni kwa manufaa yao tu..
Inasikitisha mtu kama Msukuma mtoto ambaye hakuwa amezaliwa wakati wa muungano, ndiye namba 1 kubeza wanaotoa hoja za kupinga mkataba ule!
Sawa si hoja wapo wadogo kama Mdee lakini ni wasomi wamekwenda mbali kuangalia Impact ya mkataba ule.
Shida ni zile kura za kupewa 2020 ndizo zinawapa aibu kuhoji. Watu kama akina Mpina kimyaa.
Mwalimu alikuwa akihoji kabla ya kusign mikataba ndo maana tulijenga reli ya Tazara hakukuwa na kelele ingawa tuliogea sabuni za Mei yu na Samsang lakini deni lilipoisha maisha ya kaendelea.
Mimi naunganisha dot mbili toka kwa mzee ruksa kuja kwa dada.
Bring back our Tanganyika, kati ya siku nilishangaa ni siku bunge linajadili hilo suala yaani kiukwel tuwe wakweli bila kuficha wabunge wa Tanzania ni wanafiki saana kwa asilimia 90 mle ndani nilikuwa ninasikia kusifia tu wala sikupata hoja zenye mashiko shame on them
Tangu tuifanye ya mitandaoni ilitusaidia nini?
Hapa umemalza kila kitu mkuu.. huyu mama anatukuzwa adi kwenye maujingamkuu yaani hii nchi watu wameishagundua unafiki unalipa wameamua kucheza nao