Poleni Watanganyika, poleni sana

Tusikate tamaa. Sio dhambi kuanza upya.
 
Waziri Mkuu wa JMT ndio de facto president wa Tanganyika. Kama hawezi kuitetea Tanganyika, basi ailinde heshima yake kwa kujitokeza na kujiuzulu. Haiwezekani tumuuze mzaliwa wetu wa kwanza. Bandari ya DSM ni de facto mzaliwa wa kwanza wa Tanganyika. Ni lango la Tanganyika.(Kwa sisi wanafunzi wa Mwalimu Mwakasege tunaelewa).
 
Kadiri ninavyoyasoma haya maandishi ndivyo kadiri ninavyoumia moyoni[emoji848][emoji2827]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katika watu wote waliochangia kwenye kikao cha jana kuna jamaa mmoja aliongea madini sana alisema

'Serikali inatakiwa iunde kampuni na iwe ndio inaingia mikataba kwasababu haiwezekani mtu anadai ekari 12 anaenda kuzuia ndege '

Jamaa aliongea kitu kimoja muhimu sana yaani kuna siku tutakuja kuingia chaka mazima.
 
Haya maamuzi yanaipitisha nchi ya Tanzania na Tanganyika katika majaribu magumu. Ni wakati mgumu kiroho katika Taifa letu. Toka juzi lilipopitishwa na Bunge la Tanzania, nimekuwa nikiona tu taarifa zinazohusu uuzwaji wa Bandari zetu, naishia kulia machozi kwa kushindwa kujizuia. Nikamsikiliza tena Katibu Katima, nikaishia tena kulia. Hadi sasa macho yamekuwa mekundu na naogopa tena kuisikiliza clip ya Fr. Katima.
 
Serikali inatakiwa iunde kampuni na iwe ndio inaingia mikataba kwasababu haiwezekani mtu anadai ekari 12 anaenda kuzuia ndege '[emoji419][emoji375]


Sent using Jamii Forums mobile app
 
"Black people are not complete human beings because they don't have a good brain to govern the society as white people are. They are still under the process of becoming the complete human beings".
Pieter W. Botha, a former President of South Africa during the Apartheid era.
 
Mshana Jr! Mauudhui ya andiko lako ni nini haswa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…