Poleni Watanganyika, poleni sana

Mtu wa kwanza kulaumiwa kuhusu bunge hili, ni hayati magufuri, kutuletea wabunge hawa, wao kazi yao ni kusifu na kuabudu..

Leo hii hata rais aseme, anataka kubinafsisha serikali, wao watasifu na kupiga makofi...
 
Mkuu yaani nimekuweka kundi la zero brain kabisa. Kwanini uwe mpinzani wa serikali???? Huna adabu kabisa. Mkataba ulishaambiwa ni makubaliano ya awali mnaanza kulalama ebo! Tutawashughulikia!
 
Ukishaitwa tanganyika utapata faida gani? Wabongo mnapenda kuhangaika na mambo ya kipuuzi sana
 
Mkuu yaani nimekuweka kundi la zero brain kabisa. Kwanini uwe mpinzani wa serikali???? Huna adabu kabisa. Mkataba ulishaambiwa ni makubaliano ya awali mnaanza kulalama ebo! Tutawashughulikia!
Tutawashughulikia[emoji3064][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu yaani nimekuweka kundi la zero brain kabisa. Kwanini uwe mpinzani wa serikali???? Huna adabu kabisa. Mkataba ulishaambiwa ni makubaliano ya awali mnaanza kulalama ebo! Tutawashughulikia!
Acha vitisho basi, twende hoja Kwa hoja. Hoja za mshana zinapaswa kujibiwa Kwa hoja na siyo vitisho. Mimi ni UVCCM niliyekunywa Maji ya kijani ingawa mkeka wa Ma-DAS na Wakurugenzi umenipita juzi kati
 
Sijui kama lile tamko la wanazuoni wamelisoma na kulielewa, huwezi kuwekeza kuendeleza bandari kwa zaidi ya miaka 60 leo uje kusema imekushinda kuendesha amilikishwe mgeni.

Kinachotakiwa ni kununua teknolojia au kutoa tender kwa kampuni binafsi iwe za nje au ndani kufanya operation za bandari na siyo kumilikisha bandari kwa kampuni au nchi ya kigeni, hiyo ni sawa na kuuza nchi.​
 
Ndugai hana ujembe wowote, aliteleza tu kusema vile, angalia rekodi ya uendeshaji bunge awamu ya 5 ni mmoja wa maspika wabovu kutokea
Kwa maoni yako na wewe tereza beba bango la kupinga Mambo yanayohusu bandari.
 
wa kulaumiwa wa kwanza ni mwendazake....nasema "mwendaZake"...... yeye ndie alieHARAMISHA uchaguzi....akahakikisha wanaingia BUNGENI ni WAPUMBAVU wenye njaa na MAIGIZO na vichaaa.....yeye kawaweka ili kila atakalo LIFANYIKE....... na ndio haya sasa....atakayepinga harudi BUNGE lijalo.....TUINUKE TUANZE KUIPIGANIA TANGANYIKA YETU KWANZA.....
 
Kuna shehe mbuzi jana zimetoa tamko
yule umbwa hakutumwa na waislamu wala uislamu hautambui unafiq, yule aliharisha maneno baada ya kuona maslaha ya unguja yameguswa kimsingi yule ni hayawani kama wengine tu bora hata sheikh alhad musa saad alikuwa na kiakili kidogo hata cha kuvukia barabara. laanatulayhi wale umbwa koko, naumia sana kuona jitu nafiq kwa ajili ya tumbo tu.
 
Wanajiandaa na Uchaguzi mwakani sasa wasiokubali wakale wap kwan Wabunge wa Jamuhuri ya Muungano wapo kwaajili ya Kutetea Wananchi na Maslahi ya Taifa Au n Matumbo yao tuu Tanzania bado saaaaaana kuendelea na kuwa na Akili timamu wacha tupigwe tuu hakuna namna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…