Naona baadhi yenu mumeanza kutaharuki.
Makmo wa raisi ni Msaidizi Muhimu wa Raisi ,endapo raisi atampangia ajukumuna Kumshirikisha ipasavyo.
Isome nui Katiba.
Mkamu
wa Rais, kazi
na mamlaka
yake
Sheria ya 1994
Na.34 ib.11
Sheria ya 2000
Na.3 ib.9
47.-(1) Kutakuwa na Makamu wa Rais ambaye atakuwa
ndiye Msaidizi Mkuu wa Rais kuhusu mambo yote ya Jamhuri ya
Muungano kwa jumla, na hususan-
(a) atamsaidia Rais katika kufuatilia utekelezaji wa siku
hata siku za Mambo ya Muungano;
(b) atafanya kazi zote atakazoagizwa na Rais;
(c) atafanya kazi zote za Rais kama Rais hayuko kazini
au yuko nje ya nchi.