Myahudi Jr II
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 7,005
- 9,264
Afu nyie wanzanzibari mnafurahisha sana,
Awamu ya tano (hapa kazi tu) makamu wa rais hakuwa na kazi yeyote. kazi zote za uzinduzi/ufunguzi zilifanywa na jiwe hata ambazo zilistahili kufanywa na DC, jamaa alikuwa anapenda asifiwe yeye tu.Kazi za Makamu wa Rais ni kufungua makongamano na kutembea na mikasi kufungua miradi na majengo au kuweka mawe ya msingi.
Pili ilikuwa kushughulikia Mazingira .
Umesahau kuweka picha ya babu Ali na balahau dr. Omar.Ilikuw kawaida tokea Mzee Mwinyi alipomaliza muda wake wa Urais, hatukuwa na namna ya kumpata Rais mwingine toka Zanzibar.
Wazanzibar tulibakia na Umakamu tu na mpaka ikawa ndio majaliwa yetu. Lakini kifo cha Magufuli kimeleta jambo lisilozoweleka.
Kazi za Makamu wa Rais ni kufungua makongamano na kutembea na mikasi kufungua miradi na majengo au kuweka mawe ya msingi.
Pili ilikuwa kushughulikia Mazingira .
Uendeshaji wa Serikali ulikuwa chini ya Rais na Waziri Mkuu, sasa kibao kimegeuka. Najua mnatamani mbadili Katiba ili angalau Makamu aongezewe status katika maamuzi, lakini itabidi mvumilie mpaka pale mama atakapoona kuwa inafaa hivyo.
Natamani pia kuona Serikali ya mama akimteua Mkuu wa Usalama Mzanzibari, Mkuu wa Majeshi Mzanzibari na Mkuu wa Polisi Mzanzibari ili combination iwe sawia.
Ndugu zetu watanganyika wabakie na Maboksi ya Mikasi na Makamu wao ili waone ladha ya umuhimu wa Serikali Tatu zilizopendekezwa na Warioba.
Ilikuw kawaida tokea Mzee Mwinyi alipomaliza muda wake wa Urais, hatukuwa na namna ya kumpata Rais mwingine toka Zanzibar.

View attachment 1737687Umesa
Kwikwikwikwi,.......... Baba jiwe la utosi hilo ohooo,bado tunalia tuache kwanza matanga yaishe tutakuja na jawabu.Ilikuw kawaida tokea Mzee Mwinyi alipomaliza muda wake wa Urais, hatukuwa na namna ya kumpata Rais mwingine toka Zanzibar.
Wazanzibar tulibakia na Umakamu tu na mpaka ikawa ndio majaliwa yetu. Lakini kifo cha Magufuli kimeleta jambo lisilozoweleka.
Kazi za Makamu wa Rais ni kufungua makongamano na kutembea na mikasi kufungua miradi na majengo au kuweka mawe ya msingi.
Pili ilikuwa kushughulikia Mazingira .
Uendeshaji wa Serikali ulikuwa chini ya Rais na Waziri Mkuu, sasa kibao kimegeuka. Najua mnatamani mbadili Katiba ili angalau Makamu aongezewe status katika maamuzi, lakini itabidi mvumilie mpaka pale mama atakapoona kuwa inafaa hivyo.
Natamani pia kuona Serikali ya mama akimteua Mkuu wa Usalama Mzanzibari, Mkuu wa Majeshi Mzanzibari na Mkuu wa Polisi Mzanzibari ili combination iwe sawia.
Ndugu zetu watanganyika wabakie na Maboksi ya Mikasi na Makamu wao ili waone ladha ya umuhimu wa Serikali Tatu zilizopendekezwa na Warioba.
Ilikuw kawaida tokea Mzee Mwinyi alipomaliza muda wake wa Urais, hatukuwa na namna ya kumpata Rais mwingine toka Zanzibar.
Wazanzibar tulibakia na Umakamu tu na mpaka ikawa ndio majaliwa yetu. Lakini kifo cha Magufuli kimeleta jambo lisilozoweleka.
Kazi za Makamu wa Rais ni kufungua makongamano na kutembea na mikasi kufungua miradi na majengo au kuweka mawe ya msingi.
Pili ilikuwa kushughulikia Mazingira .
Uendeshaji wa Serikali ulikuwa chini ya Rais na Waziri Mkuu, sasa kibao kimegeuka. Najua mnatamani mbadili Katiba ili angalau Makamu aongezewe status katika maamuzi, lakini itabidi mvumilie mpaka pale mama atakapoona kuwa inafaa hivyo.
Natamani pia kuona Serikali ya mama akimteua Mkuu wa Usalama Mzanzibari, Mkuu wa Majeshi Mzanzibari na Mkuu wa Polisi Mzanzibari ili combination iwe sawia.
Ndugu zetu watanganyika wabakie na Maboksi ya Mikasi na Makamu wao ili waone ladha ya umuhimu wa Serikali Tatu zilizopendekezwa na Warioba.
Tena ikiwezekana PM na VC wawe wazanzibar pia. Hawa watu ya kanda ya ziwa wametuonesha umuhimu wa kuwa na viongozi waungwanaIlikuw kawaida tokea Mzee Mwinyi alipomaliza muda wake wa Urais, hatukuwa na namna ya kumpata Rais mwingine toka Zanzibar.
Wazanzibar tulibakia na Umakamu tu na mpaka ikawa ndio majaliwa yetu. Lakini kifo cha Magufuli kimeleta jambo lisilozoweleka.
Kazi za Makamu wa Rais ni kufungua makongamano na kutembea na mikasi kufungua miradi na majengo au kuweka mawe ya msingi.
Pili ilikuwa kushughulikia Mazingira.
Uendeshaji wa Serikali ulikuwa chini ya Rais na Waziri Mkuu, sasa kibao kimegeuka. Najua mnatamani mbadili Katiba ili angalau Makamu aongezewe status katika maamuzi, lakini itabidi mvumilie mpaka pale mama atakapoona kuwa inafaa hivyo.
Natamani pia kuona Serikali ya mama akimteua Mkuu wa Usalama Mzanzibari, Mkuu wa Majeshi Mzanzibari na Mkuu wa Polisi Mzanzibari ili combination iwe sawia.
Ndugu zetu watanganyika wabakie na Maboksi ya Mikasi na Makamu wao ili waone ladha ya umuhimu wa Serikali Tatu zilizopendekezwa na Warioba.
Mama kama vip ateue tu Wazanzibari wenzake Nina uhakakika hawatakuwa wajivuni na makatili
Kifo cha magufuli kimeniuma.hamuwezi kwa sasa kuona umuhimu wa magufuli lakini mtamkumbuka.
Jitu linatoka kanda ya ziwa kwa ujinga linafurahia kifo cha rais? Its stupid kabisa.
hamuoni mbali ni wapi magufuli alikuwa akiangali? Hii miradi yote ilikuwa ni kuturahisishia usafiri watu wafanye biashara zao kwa uaraka zaidi. Hilo kweli hamlioni?
Watu wanaomchukia magufuli juwa kwa maendeleo wako mbali, so wanaona wivu kuwa magufuli alikuwa akitupeleka sehemu salama.
Mnatia aibu kweli mtu ambae haoni uzuri wa magufuli.
Kwenye maendeleo alifanya bila ubaguzi kila kona aligusa.
Mbaya zaidi wafanyakazi wa serikali ndo wanamchukia magufuli.utadhani walikuwa hawalipwi mishahara.
Ee mungu mpumuzishe magufuli.
Utaifa huwa haufi kwa sheria gani?Utaifa huwa haufi,
Tanganyika ilifutwa kwa sheria gani? na Kwa makubaliano gani yaliyofikiwa katika Muungano wView attachment 1737743etu ?
Duh kumbe hii ndio thinking yako aisee tuna safari ndefu sana wajuba.
Itapendeza sana.
Ni kweli wanabonyeza visogo?Unajua kwanini wazanzibar wengi uwezo wao wa kufikiri Ni mdogo? It's simple wale wakizaliwa wanabonyezwa kisogoni ili wasiwe na kisogo wasijue kwamba wanaharibu central processing ya Brain at the end wanaishia kuwa matahira au people with low thinking capacity.
Kupewa nchi Mzanzibar atawale bara na visiwani itokee tu Kama hivi ila haiwezekani.