Poleni Watanganyika, Umakamu wa Rais umewalazimu muwe watulivu

Poleni Watanganyika, Umakamu wa Rais umewalazimu muwe watulivu

Bahati mbaya huwajui wazenji vizuri hasa wapemba ni noma kwa swala la akili za darasani huwezi kujifananisha nao hata kidogo

Kwa wale wanao wafahamu vizuri watu hawa ikitokea mnasoma darasan moja na mpemba basi jua atawakimbiza darasani vibaya sana

Hawa watu ikitokea anaipenda shule basi huwa wana akili sana darasani fanya tathmini au uliza walio bahatika kusoma na wapemba darasa moja watakwambia

Hakunaga mpemba mzembe darasani
wapemba ni vilaza, tena sana.

Tanzania watu wenye akili exceptional kila chuo kila kozi wapo ni watu wa Kanda ya ziwa tu
 
1. Zanzibar si mkoa maalum, ni semi-autonomuous part of a union.
2.Serikali ya Muungano ina mamlaka kuhusu Zanzibar kwenye mambo machache tu yaliyoainishwa katika Katiba ya Jamhuri ya Muungano.
3.Hakuna serikali ya Tanganyika.
Nimesema unakuwa kama mkoa maalum wa Tanganyika kutokana na arrangements zilizopo, na sio equal patner kama Nyerere anavyodai,

Kwenye makaratasi, Serikali yaMuungano inaweza kuonekana ina mamlaka machache kwenye maamuzi ya serikali ya Zanzibar, lakini mambo hayo ni yale ya muhimu mfano uhusiano na nchi za nje, mikopo kwenye taasisi za fedha, mambo ya ndani n.k, Mambo yasiyo ya Muungano ni machache ambayo hayana umuhimu

na pia Chama cha Mapinduzi CCM ambacho ndio huendeshesaha Serikali zote mbili kina influence maamuzi ya Serikali ya Zanzibar hata kwenye mambo yasiyo ya Muungano, mfano Waziri Mkuu anasema hana Mamlaka Znzibar lakini kwa kutumia kofia ya mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM alienda Zanzibar na kutoa Maagizo,

Serikali ya Muungano ndio practically serikali ya Tnganyika, sababu 90% ya wanaomchagua rais wa Muungano ni wataganyika, wazanibar hata wakimkataa hata wote bado atakuwa rais wao kama Watanganyika watampigia kura za kutosha, Barazala Mawaziri, na waBunge wote hawa kwa 90% ni watanganyika. Yaani Zanzibar ingekuwepo ama isingekuwepo still serikali yetu ningekua practicaly the same

so unaweza kuiita serikali ya Muungano ila in practice ni serikali ya Tananyika
 
Kifo cha magufuli kimeniuma.hamuwezi kwa sasa kuona umuhimu wa magufuli lakini mtamkumbuka.

Jitu linatoka kanda ya ziwa kwa ujinga linafurahia kifo cha rais? Its stupid kabisa.

hamuoni mbali ni wapi magufuli alikuwa akiangali? Hii miradi yote ilikuwa ni kuturahisishia usafiri watu wafanye biashara zao kwa uaraka zaidi. Hilo kweli hamlioni?

Watu wanaomchukia magufuli juwa kwa maendeleo wako mbali, so wanaona wivu kuwa magufuli alikuwa akitupeleka sehemu salama.

Mnatia aibu kweli mtu ambae haoni uzuri wa magufuli.
Kwenye maendeleo alifanya bila ubaguzi kila kona aligusa.

Mbaya zaidi wafanyakazi wa serikali ndo wanamchukia magufuli.utadhani walikuwa hawalipwi mishahara.

Ee mungu mpumuzishe magufuli.
We fala. Huyu Magufuli unajua ameumiza watu wangapi?, tena wengine hatuna wala hatia, Unafukuzwa kazi na unaenda kuvunjiwa nyumba, unajua Maumivu yake we mat*k*.Huyu kawaponza watu wamekufa kwa Corona kwa Kudanganya wajifukize, huyu kasababisha pesa isiwepo mitaani, huyo fala wako kasababisha biashara nyingi zifungwe. Hakuna mfanyakazi ambaye hajafurahi kwa kifo cha huyo unayemtetea, maana hawakuwahi kufaidika na utawala wake. Posho zilifutwa, mishahara haiku panda, wastaafu wamedhulumiwa stahiki zao. Hebu acha ujinga nisije kukutukania wazazi wako
 
Kama huna pesa ni wewe, mbona kuna watu wanawapa wadangaji hadi 1M na zaidi
 
Manaccm majitu ya ajabu sana , wakati wanaambiwa hitaji la katiba mpya , walikataa kata kata , Sasa baada ya mwendazake Zanzimana kufa ndio wakaanza vitimbi mara , Mara hawataki mama Samia awe rais , mara mwanamke, mara Mzanzibar , tulieni tu mataga si hamtaki katiba mpya kubali yote .
 
We fala. Huyu Magufuli unajua ameumiza watu wangapi?, tena wengine hatuna wala hatia, Unafukuzwa kazi na unaenda kuvunjiwa nyumba, unajua Maumivu yake we mat*k*.Huyu kawaponza watu wamekufa kwa Corona kwa Kudanganya wajifukize, huyu kasababisha pesa isiwepo mitaani, huyo fala wako kasababisha biashara nyingi zifungwe. Hakuna mfanyakazi ambaye hajafurahi kwa kifo cha huyo unayemtetea, maana hawakuwahi kufaidika na utawala wake. Posho zilifutwa, mishahara haiku panda, wastaafu wamedhulumiwa stahiki zao. Hebu acha ujinga nisije kukutukania wazazi wako
Aliyotafanya mazuri nayo weka hapa.
 
Ilikuw kawaida tokea Mzee Mwinyi alipomaliza muda wake wa Urais, hatukuwa na namna ya kumpata Rais mwingine toka Zanzibar.
Wazanzibar tulibakia na Umakamu tu na mpaka ikawa ndio majaliwa yetu. Lakini kifo cha Magufuli kimeleta jambo lisilozoweleka.

Kazi za Makamu wa Rais ni kufungua makongamano na kutembea na mikasi kufungua miradi na majengo au kuweka mawe ya msingi.
Pili ilikuwa kushughulikia Mazingira.

Uendeshaji wa Serikali ulikuwa chini ya Rais na Waziri Mkuu, sasa kibao kimegeuka. Najua mnatamani mbadili Katiba ili angalau Makamu aongezewe status katika maamuzi, lakini itabidi mvumilie mpaka pale mama atakapoona kuwa inafaa hivyo.

Natamani pia kuona Serikali ya mama akimteua Mkuu wa Usalama Mzanzibari, Mkuu wa Majeshi Mzanzibari na Mkuu wa Polisi Mzanzibari ili combination iwe sawia.

Ndugu zetu watanganyika wabakie na Maboksi ya Mikasi na Makamu wao ili waone ladha ya umuhimu wa Serikali Tatu zilizopendekezwa na Warioba.

Upuuzi mtupu. Nyie chenu kipande cha nchi tena kidogo kuliko hata baadhi ya wilaya zetu. Tunawapa kuwazuga ili tuendelee kuwakalia na kuwatawala kinyume na mtakacho. Faida ya kuendelea kuwakalia ni kufunga mlango wa ugaidi ambao mgeeneza Afrika tusingewatawaleni kumbaff zetu,
 
😆😅😄😃😂😁😀
Migambo Wanaruka Na Kukanyagana.
 
Kifo cha magufuli kimeniuma.hamuwezi kwa sasa kuona umuhimu wa magufuli lakini mtamkumbuka.

Jitu linatoka kanda ya ziwa kwa ujinga linafurahia kifo cha rais? Its stupid kabisa.

hamuoni mbali ni wapi magufuli alikuwa akiangali? Hii miradi yote ilikuwa ni kuturahisishia usafiri watu wafanye biashara zao kwa uaraka zaidi. Hilo kweli hamlioni?

Watu wanaomchukia magufuli juwa kwa maendeleo wako mbali, so wanaona wivu kuwa magufuli alikuwa akitupeleka sehemu salama.

Mnatia aibu kweli mtu ambae haoni uzuri wa magufuli.
Kwenye maendeleo alifanya bila ubaguzi kila kona aligusa.

Mbaya zaidi wafanyakazi wa serikali ndo wanamchukia magufuli.utadhani walikuwa hawalipwi mishahara.

Ee mungu mpumuzishe magufuli.
Mishaara alikuwa analipa ila hajawahi kuongezwa kwa kipindi chake chote wakati gharama za maisha zinapanda kila siku.
 
Nimeona kamati maalum ya CCM nayo Ina majority ya wazanzibar. Sasa baada ya awamu hii, tusisikie tena kelele zenu mkidai Uamsho waachiwe huru, sijui muungano imekuwaje. Mjue kabisa 2025 mnaturudishia nchi yetu. Watu mil 60 hatuwezi kutawaliwa na ka kisiwa ka watu wasiofika hata mil 4
 
Back
Top Bottom