Poleni Watanganyika, Umakamu wa Rais umewalazimu muwe watulivu

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Unatupa pole watanganyika kwa lipi mbona sis icho kitu hatujakiwaza kabisa mihemko ya kimadaraka isikupotoshe na kutaka teuzi kiholela huu sio mda wa praise and worship.

Nonsense # Penda nchi yako

# Mungu ibariki Tz
Sawa, kitoto kikishiba husahau hata kusalimia aliyempikia.
 
Mkuu ingekuwa unachosema ni kweli, wa nigeria wasingeaumbua duniani.
Nigeriaans are super bright , na huwa wana kawaida ya ku shape vichwa vya watoto wao wakiwa wachanga ili wasiwe na kisogo,
 
Wakati unaumia na kifo cha muheshimiwa sana, umepata kusikia ripoti ya Cag?
Nai hii ni hata wiki haijaisha
 
Thread inahitaji comment fupifupi ili kuendana na upeo mfupi wa mleta hoja
 
Usitukane watu aisee
 
mmesahau kuwa bila Tanganyika mngekuwa mmekupigwa vibaya na wakoloni na kanchi kenu hata kasingekuwepo.
 
Katiba mpya hawataki kuisikia.. Muungano hawataki ujadiliwe... Takwimu ziligomewa kuchunguzwa, kutolewa au kujadiliwa na walalahoi...
 

Kwani huyu mwendazake,alieitawala nchi hii Kama vile anatawala kitongoji Cha chato na ikamshida ametokea zanzibar?

Mbona bichwa lake lilikuwa na uvimbe mbele na nyuma na bado hakuwa na akili?
 
Hii ni kweli kabisa.
Tumekubali
 
Naona sasa Wazanzibari Mmepata Fursa,Mshindwe wenyewe.Nchi sasa,Itakuwa na Operation Crisis,Constitutional Crisis na Cultural Crisis
 
Akiteua kama ulivyoshauri maanake hatuzimi moto ule wa kutoangalia jiografia na plurality ya nchi katika teuzi , badala ya kuuzima.
 
Usisahau hata Mzee Mwinyi hakuwa mnzanzibar kama unavyosema. Mzee mwinyi ni Mzaramo wa mkuranga, au hilo nalo ulikuwa ulijui? Zanzibar yenyewe imejaa wazaramo, wanadengereko, wasukuma, wanyamwezi na wamakonde. Na siku hizi hata wamasai nao wameanzaa kuja huko na wao wanajiita wanzanzibar. Wenye Zanzibar yao ukiwataka miaka hii lazima uwatafute sana na unaweza usiwapate kabisa.
 
Mama atolewe ukomo wa utawala! Katiba ibadilishwe atawale milele! Hata asipotaka tutamlazimisha!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 

Low thinking capacity eh?
Hayo ni matusi yakhe!!!!
 
Umeongea kwa hasira ,pole Sana.
 
Tanzania ni taifa lililokomaa kisiasa kuliko mataifa zaidi ya 98% hapa Africa
1. A peaceful transition ilihakikisha Samia anakuwa Rais
2. Tanzania hakuna ukabila au ubaguzi wa aina yoyote. Nenda kenya au Rwanda watu ofisini counter ya Benki wanaongea kilugha, huwezi kukuta duka la Mkikuyu anayeuza ni mjaluo, never.

Watanzania hawjali kabila gani ni Rais. na baada ya Samia Rais ni Mzanzibar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…