Poleni Watanganyika, Umakamu wa Rais umewalazimu muwe watulivu

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Hahahahahahahahahahahahaha.........
Hatari sana.
 
Utaifa huwa haufi kwa sheria gani?

Tanganyika ilifutwa kwa sheria ya "Union of Tanganyika and Zanzibar Act of 1964".

Umenitaka nikupe sheria iliyomaliza taifa la Tanganyika. Nimekupa.

Na wewe nipe sheria inayosema utaifa haufi.
kama Muungano ndio uliua Tanganyika basi kwa mantiki hiyo Zanzibar nayo ilitakiwa ife, ibaki hiyo nchi moja ya Tanzania
 
umenena mkuu!
Mkuki kwa nguruwe!
 
Ndiyo imetokea ivo!
No way back!
 
You don't have numbers better use your fingures with wisdom.
 
kama Muungano ndio uliua Tanganyika basi kwa mantiki hiyo Zanzibar nayo ilitakiwa ife, ibaki hiyo nchi moja ya Tanzania
Ilitakiwa ife kama tungefuata mfumo wa Muungano wa serikali moja ya Jamhuri, lakini tumefuata mfumo wa serikali mbili.

Nyerere hakutaka serikali moja, kwani aliona ni kama ukoloni wa kuimeza Zanzibar.

Tukabaki na serikali mbili.Serikali ya Jamhuri ya Muungano na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

Ndiyo maana hakuna rais wa Tanganyika, Waziri wa Tanganyika, mahakama ya Tanganyika wala Bunge la Tanganyika.

Kwa sababu hakuna nchi inayoitwa Tanganyika, kwa sasa Tanganyika ni jina la ziwa.
 
Wewe hauwezi kutuyumbisha sisi tunamfahamu Rais Samia kama Mtanzania na sio kwa kabila wala sehemu aliyotoka tunamuunga mkono katika kila atakaloamua kwa maslahi mapana ya JMT.
 
Mlikuwa mnataka sana kuuvunja Muungano, sasa Bara tumewaachia yote maana Zanzibar mnakataa tusije tawala asilani
Haya Rais Visiwani, ardhi hamna km ile ya Chato au Msoga sasa tawaleni maisha najua hamtakuwa na tamaa ila msianze kijiona mabwana?
 
Dah we nyoko kwelikweli
 
Kazi za Makamu wa Rais ni kufungua makongamano na kutembea na mikasi kufungua miradi na majengo au kuweka mawe ya msingi.
Ila sisi Watanganyika sio wa mchezo mchezo, tulimywesha pombe ya kifipa ustadh Gharib kwenye tamasha

 
Hata wakuu wa mikoa na wakurugenzi wote wawe wazenji, sisi tunachoangalia wachape kazi kwa weledi na bidii, na watende haki.
Hilo mkuu lisikusumbue.
Hoja ya serikali tatu wala si issue mama. Ni kuweka mjadara ,kujenga hoja na kisha kufikia maamuzi.
 
ukoloni kivipi? yaani nchi zikiungana kuwa kitu kimoja ni ukoloni? yaani Tanganyika inakubaliana na Zanzibar zinaungana na kuwa nchi moja ya Tanzania ambayo raia wake wote wa kutoka pande mbili wanakuwa na haki sawa, ndio ukoloni? yaani hii inafanana na ile ya Uingereza kuitawala Tanganyika?

sasa kama kuungana na kuwa nchi moja kungekuwa ukoloni kwa Zanzibar iweje sasa hii ya kuungana na kuifuta Tanganyika isiwe ni ukoloni kwa Tanganyika?
 
Kutesa kwa zamu. Hii ni zamu ya Wazanzibari. Msipotumia fursa hii vizuri, shauri yenu.
Mama akiwa katika hiyo nafasi ahakikishe katiba mpya inapatikana. Katiba hiyo itoe nafasi stahili kwa Zanzibar na Tanganyika.

Mimi sionibyatizo kabisa kuongozwa na Wazanzibari. Kwanza, kwa kiasi kikubwa ni waungwana sana. Uharamia tunafanya kuwafundisha sisi.
 
Mzee jibu Hoja, matusi hayasaidii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…