Uchaguzi 2020 Polepole acha kuruka viunzi, tunataka utuambie kwa nini maisha yamekuwa magumu uraiani

Uchaguzi 2020 Polepole acha kuruka viunzi, tunataka utuambie kwa nini maisha yamekuwa magumu uraiani

Kwenye sanduku la kura na huko kwingineko mnakowaza hamtafua dafu... Yaani this time ujinga na upuuzi wenu wa miaka yote tutashugulika nao sisi wenyewe... Hatumwachii Mungu...!!
Mboga moto, ugali moto, mchuzi moto, kiti moto...
jaribu tuone
 
Na alowaambia mje na huyu Mrundi wenu aliwadanganya sana... Kichwa bure kabisaaaa!!
bora sisi tulie na huyo mnae mwita mrundi lakini mpka leo hii tuko na amani tele na maisha yanasonga kuliko nyinyi mliona furaha ya kinafiki na kila saa mnawindana
 
mzee ningekuona wa maana kama usingekuwa unanijibu humu huku unalalamika hali ngumu wakati muda unaoupoteza sasa hiv ungekuwa unafnya kazi yoyote ya kukupa hata buku ya kula
Kazi gani fala wewe,mafundi magari na mafundi ujenzi wamekaa vijiweni hamna kazi. Watu siku hizi hata oil za gari hawamwagi.

Mtoto wa mama unajua maisha au upo tu humu Jf kuuza makalio yako kwa mabasha. Nenda forum ya mahusiano ukatafute bwana mse..ng mkubwa wewe.
 
Ugumu wa maisha ni relative.

Wewe kama yamekupiga, it's you haimaanishi wote tupo kwenye hali hiyo uraiani.

USA kwenyewe kuna wazungu homeless/bums.

Biashara mpya zinasajiliwa daily BRELA,

Nyumba za kisasa zinajengwa daily mtaani hadi kuna uhaba wa cement nchini,

Usajili wa Magari sasa tupo kwenye T .....DU means watu wanaagiza kama kawaida.

Kama upo tu unategeneza "Butt prints" kwa shemeji,Yesu atarudi akukute umepigika hivyohivyo achilia mbali Lisu kuwa Rais!
 
Unazungumzia mambo ambayo yapo wazi kama ukaguzi wa ATCL, deni la taifa, sera za majimbo za CHADEMA hizi ni hoja zipo wazi. Na mwananchi wa kawaida sasa ambae maisha yake yamekuwa duni haya masuala uliofafanua hayana msaada kwake.

Tunataka utuambie kwa nini maisha yamekuwa magumu uraiani na kwa nini CCM haisadii wananchi?

Watu wana maisha magumu wanashindia mihogo ya kukaanga. Biashara zimefungwa na watu wanashindwa kujiajiri maana hamna uwezo wa watu kununua, ndio maana biashara zinakufa. Mbona haya hujafafanua na kutoa majibu maana wananchi wana hali mbaya sana. Alafu unaleta tabasamu la kinafiki sababu wewe una uhakika wa maisha.

kama uraiani magumu hamia unakoona rahisi
 
bora sisi tulie na huyo mnae mwita mrundi lakini mpka leo hii tuko na amani tele na maisha yanasonga kuliko nyinyi mliona furaha ya kinafiki na kila saa mnawindana

Tofautisha amani na usalama wa taifa...
Human security and state security...
Bwege Sana we jamaaa...
Hivi na we ni muuza ndizi au wa jalalani???
 
karibu kazini maana nashangaa inakuwaje wanyarwanda wapo interested sana na mambo yetu kuliko sisi tulivyo interested na mambo yenu
Hapohapo nashangaa pia wanyarwanda mnakuaje madalali Tz hii hii badala mkajae pale Kigali?
 
Kazi gani fala wewe,mafundi magari na mafundi ujenzi wamekaa vijiweni hamna kazi. Watu siku hizi hata oil za gari hawamwagi.

Mtoto wa mama unajua maisha au upo tu humu Jf kuuza makalio yako kwa mabasha. Nenda forum ya mahusiano ukatafute bwana mse..ng mkubwa wewe.
maisha kama yamekuchapa ni wewe ndugu,njoo huku gerege zmejaa magari mpaka mengine yanakosa mafundi na magari kila siku yanaingia maana mpka sasa ipo no DU, na hizo oil zmejaa kibao sku hizi service ya gari imekuwa siyo issue so fanya kazi kijana hata aje malaika awe rais hawezi kukuletea chakula mezani
 
Hujui unachosema, labda unaongelea garage za mama yako na baba yako.
Hali ya uchumi ni mbaya sana,Ccm wanafumba macho tu. Ungekuwa na akili usingejinasibu kujibu huu upuuzi unaojibu.
 
Ugumu wa maisha ni relative.

Wewe kama yamekupiga, it's you haimaanishi wote tupo kwenye hali hiyo uraiani.

USA kwenyewe kuna wazungu homeless/bums.

Biashara mpya zinasajiliwa daily BRELA,

Nyumba za kisasa zinajengwa daily mtaani hadi kuna uhaba wa cement nchini,

Usajili wa Magari sasa tupo kwenye T .....DU means watu wanaagiza kama kawaida.

Kama upo tu unategeneza "Butt prints" kwa shemeji,Yesu atarudi akukute umepigika hivyohivyo achilia mbali Lisu kuwa Rais!

Ulichoongea hapo ni ujinga kabisa... Hizo nyumba na hayo magari yapo kule kijijini kwa babu yako??
Punguzeni hizi mediocre reasonings aisee...
Mmefilisi mashirika ya mafao...
Mmewabebesha wasomi mizigo mizito ya marejesho...
Mmesababisha ndugu zetu kibao wakose ajira...
Shame on you...!!
Mashetwani wakubwa...!!!
 
Ugumu wa maisha ni relative.

Wewe kama yamekupiga, it's you haimaanishi wote tupo kwenye hali hiyo uraiani.

USA kwenyewe kuna wazungu homeless/bums.

Biashara mpya zinasajiliwa daily BRELA,

Nyumba za kisasa zinajengwa daily mtaani hadi kuna uhaba wa cement nchini,

Usajili wa Magari sasa tupo kwenye T .....DU means watu wanaagiza kama kawaida.

Kama upo tu unategeneza "Butt prints" kwa shemeji,Yesu atarudi akukute umepigika hivyohivyo achilia mbali Lisu kuwa Rais!
Katika watanzania wajinga wewe ndio wa kwanza,yaani nyumba zikijengwa kunakuwa na uhaba wa Cement?

Hapa sizungumzii habari ya mtu mmoja,ingia mtaani uliza kila mfanya biashara atakupa hali hali halisi. Ishu kubwa ni kuwa hakuna mzunguko wa pesa ambao umesababisha kusinyaa kwa biashara.

Kuwa Usa kuna watu kapuku sio sababu ya kusem eti mbo ni mazuri hapa Tanzania. Suala la msingi vichocheo vya kuamsha uchumi vimebanwa na Ccm
 
pesa imesinyaa lakini siyo kwa kiasi tunachoaminishwa,fedha ipo na watu wanatumia fedha,na hata hela iliyotumika yote ipo kwenye miradi mikubwa ambayo mingi ishaaanza kurudisha fedha na mingine soon itaanza kutoa fedha katika kipindi kifupi kama Air tanzania,stiglor gorge n.k
Stiglor gorge ndio nini wewe malaya unaedai upo vizuri. Ungekuwa na maisha mazuri ungekuwa hujui kuandika?
Air Tanzania inamnufaisha vipi muuza uji kariakoo? Pumbavu huna akili.
 
Back
Top Bottom