Uchaguzi 2020 Polepole acha kuruka viunzi, tunataka utuambie kwa nini maisha yamekuwa magumu uraiani

Uchaguzi 2020 Polepole acha kuruka viunzi, tunataka utuambie kwa nini maisha yamekuwa magumu uraiani

maisha yashakuaga maraisi lini? we unadhan tanzania kuna maisha magumu? ulishawahi kufanya kazi anywhere kwenye states za marekani? ushawahi kulipishwa kodi 60% wewe? maisha magumu yaskie tu
Marekani na Tanzania wapi na wapi?
 
tatizo lenu ni hapo badala ya kujibu hoja mnajibu matusi na vurugu je mkipewa nchi nyie alafu akatokea mtu kama huyo lissu si mtamuua yeye mpaka na uko wake ote
Hiyo kauli yenu ya kusema 'mkipewa nchi' ni ya kijima sana mkuu.

Nyie ni akina 'nani' mpaka muwe na mamlaka ya kumpa mtu nchi?

Pathetic!
 
sekta binafsi hyo ipi iliyouliwa tutajie tupe na evidence ndo maana ya great thinkers huwa hatukaririshwi mzee

Makandarasi binafsi wapo wapi kwenye miradi tofauti na Mayanga?? Bakhresa na makampuni/mashirika binafsi kila leo wanapunguza wafanyakazi na mengine kusitisha shughuli zao!!

Idadi ya fremu tupu mijini na vijijini huioni??? Idadi ya vijana jobless huioni?? Au kwa vile Magufuli kakupa shavu basi unafikiri all is well out there!! Fuatilia happiness index na ripoti za urahisi wa uwekezaji ndio utabaini nikisemacho. Shetwani mkubwa were!!
 
Unazungumzia mambo ambayo yapo wazi kama ukaguzi wa ATCL, deni la taifa, sera za majimbo za CHADEMA hizi ni hoja zipo wazi. Na mwananchi wa kawaida sasa ambae maisha yake yamekuwa duni haya masuala uliofafanua hayana msaada kwake.

Tunataka utuambie kwa nini maisha yamekuwa magumu uraiani na kwa nini CCM haisadii wananchi?

Watu wana maisha magumu wanashindia mihogo ya kukaanga. Biashara zimefungwa na watu wanashindwa kujiajiri maana hamna uwezo wa watu kununua, ndio maana biashara zinakufa. Mbona haya hujafafanua na kutoa majibu maana wananchi wana hali mbaya sana. Alafu unaleta tabasamu la kinafiki sababu wewe una uhakika wa maisha.

Chakubanga ktk uubora wake kajifyatua akili
 
Hiyo kauli yenu ya kusema 'mkipewa nchi' ni ya kijima sana mkuu.

Nyie ni akina 'nani' mpaka muwe na mamlaka ya kumpa mtu nchi?

Pathetic!
nasikitika sana nikisikia kauli kama hii kutoka kwa mtu ambae akifika nyumbani anaamkiwa shkamoo baba na kumtwa mme wa fulani
 
mzee chama cha mapinduzi ni chama kinachozingatia sheria na mgawanyo wa madaraka ndani ya chama siyo chama chenu ambacho kinamilikiwa na mtu mmoja msemaji yeye kila kitu yeye
Mgawanyiko wa madaraka Kama milivyogawa madaraka kwa Katambi,Gwajima na wapumbavu wengine hapo CCM.

Huo ndo mgawanyo wa madaraka au siyo [emoji1][emoji1]
 
mzee chama cha mapinduzi ni chama kinachozingatia sheria na mgawanyo wa madaraka ndani ya chama siyo chama chenu ambacho kinamilikiwa na mtu mmoja msemaji yeye kila kitu yeye

Wananchi mtaani walalamika mnawachanganya... Mara mtukufu wenu aseme hivi... Mara nani adai lake...
Yaani nyie ni ukoo wa mafisi, mapanya na kwelea kwelea...
Uharibifu ndo asili yenu!!!
Kama ulisoma bora hata mzazi wako angepeleka ngombe shule...
 
Makandarasi binafsi wapo wapi kwenye miradi tofauti na Mayanga?? Bakhresa na makampuni/mashirika binafsi kila leo wanapunguza wafanyakazi na mengine kusitisha shughuli zao!!

Idadi ya fremu tupu mijini na vijijini huioni??? Idadi ya vijana jobless huioni?? Au kwa vile Magufuli kakupa shavu basi unafikiri all is well out there!! Fuatilia happiness index na ripoti za urahisi wa uwekezaji ndio utabaini nikisemacho. Shetwani mkubwa were!!
dah ndugu yangu uko mkoa gani,maana nikipata muda leo nikiwa napita kwenye mirad ya ujenzi ntakuwa nakutumia picha nikianzia na hapa nilipo kwenye mradi wa yapi markez wa reli sijaona kama kuna mayanga wala masimba hapa
 
Wananchi mtaani walalamika mnawachanganya... Mara mtukufu wenu aseme hivi... Mara nani adai lake...
Yaani nyie ni ukoo wa mafisi, mapanya na kwelea kwelea...
Uharibifu ndo asili yenu!!!
Kama ulisoma bora hata mzazi wako angepeleka ngombe shule...
mbona leo ameongea mmoja tu mmechanganyikiwa kama vile wameongea 20 tulieni umma unatakiwa kuwafahamu vizuri ili wafanye maamuzi sahihi october sasa jifanyeni miamba mjibu tuwazike kabisa kwenye sanduku la kura
 
Mgawanyiko wa madaraka Kama milivyogawa madaraka kwa Katambi,Gwajima na wapumbavu wengine hapo CCM.

Huo ndo mgawanyo wa madaraka au siyo [emoji1][emoji1]
kila mwanachama ndani ya ccm anayonafasi ya kugombea na kuchaguliwa kwenye nafasi yoyote siyo nyinyi wenye chama cha mtu fulani ambae chama mpka kitakufa yeye ndo mwenyekiti na mwenye kila kitu
 
Ngoja niendelee kukaa kijiweni nikisubiri deal za udalali wa magari za uongo na kweli labda zitanitoa.
karibu kazini maana nashangaa inakuwaje wanyarwanda wapo interested sana na mambo yetu kuliko sisi tulivyo interested na mambo yenu
 
mbona leo ameongea mmoja tu mmechanganyikiwa kama vile wameongea 20 tulieni umma unatakiwa kuwafahamu vizuri ili wafanye maamuzi sahihi october sasa jifanyeni miamba mjibu tuwazike kabisa kwenye sanduku la kura
Kutawala watu wana maisha magumu sio ufahari. Unajua nini kilitokea Tunisia?
 
Kwenye sanduku la kura na huko kwingineko mnakowaza hamtafua dafu... Yaani this time ujinga na upuuzi wenu wa miaka yote tutashugulika nao sisi wenyewe... Hatumwachii Mungu...!!
Mboga moto, ugali moto, mchuzi moto, kiti moto...
 
Kutawala watu wana maisha magumu sio ufahari. Unajua nini kilitokea Tunisia?
mzee ningekuona wa maana kama usingekuwa unanijibu humu huku unalalamika hali ngumu wakati muda unaoupoteza sasa hiv ungekuwa unafnya kazi yoyote ya kukupa hata buku ya kula
 
Back
Top Bottom