jerryempire
JF-Expert Member
- Jan 4, 2017
- 5,530
- 9,550
jaribu tuoneKwenye sanduku la kura na huko kwingineko mnakowaza hamtafua dafu... Yaani this time ujinga na upuuzi wenu wa miaka yote tutashugulika nao sisi wenyewe... Hatumwachii Mungu...!!
Mboga moto, ugali moto, mchuzi moto, kiti moto...
Kwamba ukiuza karanga basi we ni mbobezi kibiashara?Kwenye UKOO wenu hata karanga za kukaanga hamjawahi kuuza mambo ya biashara utayajulia wapi?
jaribu tuone
bora sisi tulie na huyo mnae mwita mrundi lakini mpka leo hii tuko na amani tele na maisha yanasonga kuliko nyinyi mliona furaha ya kinafiki na kila saa mnawindanaNa alowaambia mje na huyu Mrundi wenu aliwadanganya sana... Kichwa bure kabisaaaa!!
Endelea kuranda apo kijiweni ukijipimia toti LISU ataluja kukupa pesa maisha yawe rahisiWewe dada huwezi kuelewa mambo yalivyo mtaani, tulia mpikie mumeo
Kazi gani fala wewe,mafundi magari na mafundi ujenzi wamekaa vijiweni hamna kazi. Watu siku hizi hata oil za gari hawamwagi.mzee ningekuona wa maana kama usingekuwa unanijibu humu huku unalalamika hali ngumu wakati muda unaoupoteza sasa hiv ungekuwa unafnya kazi yoyote ya kukupa hata buku ya kula
kama uraiani magumu hamia unakoona rahisiUnazungumzia mambo ambayo yapo wazi kama ukaguzi wa ATCL, deni la taifa, sera za majimbo za CHADEMA hizi ni hoja zipo wazi. Na mwananchi wa kawaida sasa ambae maisha yake yamekuwa duni haya masuala uliofafanua hayana msaada kwake.
Tunataka utuambie kwa nini maisha yamekuwa magumu uraiani na kwa nini CCM haisadii wananchi?
Watu wana maisha magumu wanashindia mihogo ya kukaanga. Biashara zimefungwa na watu wanashindwa kujiajiri maana hamna uwezo wa watu kununua, ndio maana biashara zinakufa. Mbona haya hujafafanua na kutoa majibu maana wananchi wana hali mbaya sana. Alafu unaleta tabasamu la kinafiki sababu wewe una uhakika wa maisha.
bora sisi tulie na huyo mnae mwita mrundi lakini mpka leo hii tuko na amani tele na maisha yanasonga kuliko nyinyi mliona furaha ya kinafiki na kila saa mnawindana
Hapohapo nashangaa pia wanyarwanda mnakuaje madalali Tz hii hii badala mkajae pale Kigali?karibu kazini maana nashangaa inakuwaje wanyarwanda wapo interested sana na mambo yetu kuliko sisi tulivyo interested na mambo yenu
maisha kama yamekuchapa ni wewe ndugu,njoo huku gerege zmejaa magari mpaka mengine yanakosa mafundi na magari kila siku yanaingia maana mpka sasa ipo no DU, na hizo oil zmejaa kibao sku hizi service ya gari imekuwa siyo issue so fanya kazi kijana hata aje malaika awe rais hawezi kukuletea chakula mezaniKazi gani fala wewe,mafundi magari na mafundi ujenzi wamekaa vijiweni hamna kazi. Watu siku hizi hata oil za gari hawamwagi.
Mtoto wa mama unajua maisha au upo tu humu Jf kuuza makalio yako kwa mabasha. Nenda forum ya mahusiano ukatafute bwana mse..ng mkubwa wewe.
Hujui unachosema, labda unaongelea garage za mama yako na baba yako.maisha kama yamekuchapa ni wewe ndugu,njoo huku gerege zmejaa magari mpaka mengine yanakosa mafundi na magari kila siku yanaingia maana mpka sasa ipo no DU, na hizo oil zmejaa kibao sku hizi service ya gari imekuwa siyo issue so fanya kazi kijana hata aje malaika awe rais hawezi kukuletea chakula mezani
Ugumu wa maisha ni relative.
Wewe kama yamekupiga, it's you haimaanishi wote tupo kwenye hali hiyo uraiani.
USA kwenyewe kuna wazungu homeless/bums.
Biashara mpya zinasajiliwa daily BRELA,
Nyumba za kisasa zinajengwa daily mtaani hadi kuna uhaba wa cement nchini,
Usajili wa Magari sasa tupo kwenye T .....DU means watu wanaagiza kama kawaida.
Kama upo tu unategeneza "Butt prints" kwa shemeji,Yesu atarudi akukute umepigika hivyohivyo achilia mbali Lisu kuwa Rais!
Wewe malaya umepost nini sasa?kama uraiani magumu hamia unakoona rahisi
Hahah daah.Wewe malaya umepost nini sasa?
Wewe na wewe ni binadamu au kibwengo?
Marekani na Tanzania wapi na wapi?
Katika watanzania wajinga wewe ndio wa kwanza,yaani nyumba zikijengwa kunakuwa na uhaba wa Cement?Ugumu wa maisha ni relative.
Wewe kama yamekupiga, it's you haimaanishi wote tupo kwenye hali hiyo uraiani.
USA kwenyewe kuna wazungu homeless/bums.
Biashara mpya zinasajiliwa daily BRELA,
Nyumba za kisasa zinajengwa daily mtaani hadi kuna uhaba wa cement nchini,
Usajili wa Magari sasa tupo kwenye T .....DU means watu wanaagiza kama kawaida.
Kama upo tu unategeneza "Butt prints" kwa shemeji,Yesu atarudi akukute umepigika hivyohivyo achilia mbali Lisu kuwa Rais!
Dalali wapi huyu unga unga mwana?...yaan udalalie gari upate laki nayo ndo maisha..Kama ana uvavy awe na yard Yake...mbwembwe tu..ukute hapo n alaki 3 bas anaharisha utpooloInaonekana madalali wa magari awamu hii mnapiga pesa sana.
Safi sana.
Stiglor gorge ndio nini wewe malaya unaedai upo vizuri. Ungekuwa na maisha mazuri ungekuwa hujui kuandika?pesa imesinyaa lakini siyo kwa kiasi tunachoaminishwa,fedha ipo na watu wanatumia fedha,na hata hela iliyotumika yote ipo kwenye miradi mikubwa ambayo mingi ishaaanza kurudisha fedha na mingine soon itaanza kutoa fedha katika kipindi kifupi kama Air tanzania,stiglor gorge n.k