Uchaguzi 2020 Polepole acha kuruka viunzi, tunataka utuambie kwa nini maisha yamekuwa magumu uraiani

Kwenye press conference ya leo wanahabari wameshindwa kuchomekea?
 
Aliyekuambia babu yangu yupo kijijini ni nani?

Gari na nyumba hazina kijiji wala mjini ni juhudi na priorities za mtu tu.

Msilazimishe watu wote wana maisha magumu uraiani,kisa nyinyi yamewapiga.

Kama hao ndugu zako wamekosa ajira basi kuna ndugu wa wengine wengi tu wamepata.
 
baada ya makamanda kuonyeshwa "dokumenti" za bunge zinazohusu kupitishwa kwa bajeti za ujenzi wa Chato international airport, ununuzi wa ndege, ujenzi wa bwawa la kufua umeme la JK Nyerere nk sasa mmeamia kwenye "hela mfukoni" hahaha
Wazee wa kuhamisha magoli😂😂.
 

Una akili mgando sana... Kwa hiyo wewe kupata unahisi wote wamepata???
 
Dalali wapi huyu unga unga mwana?...yaan udalalie gari upate laki nayo ndo maisha..Kama ana uvavy awe na yard Yake...mbwembwe tu..ukute hapo n alaki 3 bas anaharisha utpoolo

Hahah namjua sana huyo nasubiri ajichanganye tu,kuna Nissan Patrol Y60 alikua anaiuza 14.5mil wkt mwenye nayo alikua anataka 9mil tu na bado akaniuzia chini ya hio 9mil sasa huyo mwenye gari ananiambia hii gari nimekaa nayo muda mrefu kichizi haiuziki huyu dogo anasema haitoki sijui nini kumbe anaiuza pesa mingi hivi?Hahah jamaa alisikitika sana

Sasa dogo hua namcheki tu anavyovimba na kujifanya na yeye ni sehemu ya Utawala(CCM) nasema tu hiiiiiiiiiiiiiiiiii,kuna thread niliiona humu machalii wakimlalamikia na deal zake famba anazopiga.
 
Hapa hatuzungumzii habari ya mtu mmoja,bali tunazungumzia habari ya taifa kwa ujumla. Hali ni ngumu kwa kila mtanzania sasa hivi. Kumbuka 80% ni wakulima na wafanya biashara.

Wewe kumiliki huo mkweche sio sababu ya kujiona una mafanikio.
Kuna watu wamefunga maduka kariakoo na bidhaa wamezifungia ndani makwao na wana magari ya thamani kuliko huo mkweche wako. Tumia akili we bwege.
 
Kumbe fala tu anaishi kwa udalali ndio anaona mama ntilie na machinga ni wapuuzi.
 
baada ya makamanda kuonyeshwa "dokumenti" za bunge zinazohusu kupitishwa kwa bajeti za ujenzi wa Chato international airport, ununuzi wa ndege, ujenzi wa bwawa la kufua umeme la JK Nyerere nk sasa mmeamia kwenye "hela mfukoni" hahaha
1.Fact
2.Reality
3.Perception
 
Kama hujui hata uhusiano kati ya demand&supply, cement &ujenzi then utakuwa na mtindio wa ubongo.

Niingie mtaani wakati naishi mtaani siku zote!

Kuna wafanyabiashara wamefanikiwa awamu hii kuliko awamu iliyopita na wapo walioanguka pia ila kusema maisha ni magumu kwa wote ni uhayawani.

Wekeni takwimu hapa tuone kipi ni kipi,uchumi siyo porojo na soga tu.
 
Inaonekana madalali wa magari awamu hii mnapiga pesa sana.

Safi sana.
Dalali wapi huyu unga unga mwana?...yaan udalalie gari upate laki nayo ndo maisha..Kama ana uvavy awe na yard Yake...mbwembwe tu..ukute hapo ana laki 3 bas anaharisha utpoolo
 
Maisha yamekuwa magumu kkwa sababu hamkuwa mnafanya kazi toka zamani, wengi mlipata pesa kutoka serikarini kwa ufisadi,
Unamkuta mtu hana kazi lakini maisha yanazidi mfanya biashara,
Muliishi kwa madili mno, baada ya kuziba mianya ya ufisadi sasa pesa hakuna ndo maana mnaona shida.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…