Uchaguzi 2020 Polepole acha kuruka viunzi, tunataka utuambie kwa nini maisha yamekuwa magumu uraiani

Hahhhaa...naye aonekane ccm ni ya watu wenye pesa mingi. Shenz kbs
 
Wewe na wewe na bichwa lako kama jiwe,hawa mama ntilie,wamachinga ambao wanalia soko kuwa gumu kwa kukosa wateja na wafanyakazi waliopunguzwa kazi sababu uzalishaji umeshuka walikuwa wapiga dili?
 
Hahhhaa...naye aonekane ccm ni ya watu wenye pesa mingi. Shenz kbs
 
kwa ulivyoandika tu nadhani tumekuelewa vema.
Habari za Burundi?
 
H
Ivi huyu ni mzee au kijana au hainihusu.
Nikiambiwa umri wake itapendeza zaidi.
 
Unapohamisha magoli kuhusu ununuzi wa ndege na kile mgombea kilaza asiyekuwa na kumbukumbu juu ya kibali cha ununuzi huo wa ndege kupitishwa na Bunge, ni lazima Kwanza ukubaliane na hoja ya Polepole kwamba, Bunge lilipitisha ununuzi wa ndege

Je,sasa mnakubali kwamba mgombea wenu ni kilaza na nitapeli wa kisiasa asiyekuwa na kumbukumbu na Hilo?

Polepole buana!!😂
 
Kwenye sanduku la kura na huko kwingineko mnakowaza hamtafua dafu... Yaani this time ujinga na upuuzi wenu wa miaka yote tutashugulika nao sisi wenyewe... Hatumwachii Mungu...!!
Mboga moto, ugali moto, mchuzi moto, kiti moto...
Hayo mambo moto moto uyafanye ukiwa umemuaga mkeo na watoto uingie front line. Usije ukafanya ushuzi online na mabiti ya kiwaki.
 
Jibu hoja yangu wewe mpuuzi. Mimi nimesema amejibu hizo hoja zipo wazi sana na hazina manufaa kwa mama muuza dagaa au mkaanga miogo ambae sasa hali ni ngumu kwake maana ni ngumu kupata wateja.

Sasa hili la ugumu wa maisha ambalo sasa ni kilio cha taifa kwa nini hajatuambia, hawalifanyii kazi. Au ccm inafurahi watu kuishi maisha magumu?
 
Wewe pimbi mbona unalazimisha Watanzania wote tuwe na maisha magumu?

Hutaki tujadili mtu mmojammoja ila unaniambia habari za mmeo mwenye gari aliyefunga duka Kariakoo!

Isitoshe si kila mkulima ama mfanyabiashara kaathirika na utawala huu japokuwa wahanga athari kwenye biashara zimegusa watu.

All generalizations are wrong.
 
Pole pole bado hajibu hoja ya Lissu..kwanin amekwepa?Bunge ndy linaitisha tenda za kujenga miradi mkuu ya serkali?ikiwemo Chato a Airport?

Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
 
Hoja za kijinga hujibiwa kijinga!
 
We kenge kweli,mimi nazungumzia wastani wa watu wapata magumu ni kama wote tu,hata watumishi wa umma wanakopa madukani kama sisi tu.

Unakiri watu wameathirika kibiashara alafu unajinasibu upo vizuri, hii ni kwa sababu huna akili. Kwa taarifa yako kila mtu ameathirika kiuchumi fanya utafiti acha kukariri.
Huo ni mfano tu nimekupa malaya wewe.
 
Nikupe pole kama kweli wewe na familia yako (kama unayo) mnashindia mihogo. Mnashindia mihogo kwa sababu ya uvivu wenu kiakili kwani imeandikwa kwenye Kitabu Kitakatifu 2 Wathesalonike 3:10 Kwa kuwa hata wakati ule tulipokuwapo kwenu tuliwaagiza neno hili, kwamba ikiwa mtu hataki kufanya kazi, basi, asile chakula.
 
Malalamiko fc
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…