Mfikirishi
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 8,939
- 10,403
Ila wewe kukosa ndiyo wote wamekosa?
Shida wajinga mnajiamini kishenzi!
Boya sana wewe... Yaani kwa hizo akili mgando hata ukitumka kumtega fisi hawezi kula
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila wewe kukosa ndiyo wote wamekosa?
Shida wajinga mnajiamini kishenzi!
Hahhhaa...naye aonekane ccm ni ya watu wenye pesa mingi. Shenz kbsHahah namjua sana huyo nasubiri ajichanganye tu,kuna Nissan Patrol Y60 alikua anaiuza 14.5mil wkt mwenye nayo alikua anataka 9mil tu na bado akaniuzia chini ya hio 9mil sasa huyo mwenye gari ananiambia hii gari nimekaa nayo muda mrefu kichizi haiuziki huyu dogo anasema haitoki sijui nini kumbe anaiuza pesa mingi hivi?Hahah jamaa alisikitika sana
Sasa dogo hua namcheki tu anavyovimba na kujifanya na yeye ni sehemu ya Utawala(CCM) nasema tu hiiiiiiiiiiiiiiiiii,kuna thread niliiona humu machalii wakimlalamikia na deal zake famba anazopiga.
Wewe na wewe na bichwa lako kama jiwe,hawa mama ntilie,wamachinga ambao wanalia soko kuwa gumu kwa kukosa wateja na wafanyakazi waliopunguzwa kazi sababu uzalishaji umeshuka walikuwa wapiga dili?Maisha yamekuwa magumu kkwa sababu hamkuwa mnafanya kazi toka zamani, wengi mlipata pesa kutoka serikarini kwa ufisadi,
Unamkuta mtu hana kazi lakini maisha yanazidi mfanya biashara,
Muliishi kwa madili mno, baada ya kuziba mianya ya ufisadi sasa pesa hakuna ndo maana mnaona shida.
Hahhhaa...naye aonekane ccm ni ya watu wenye pesa mingi. Shenz kbsHahah namjua sana huyo nasubiri ajichanganye tu,kuna Nissan Patrol Y60 alikua anaiuza 14.5mil wkt mwenye nayo alikua anataka 9mil tu na bado akaniuzia chini ya hio 9mil sasa huyo mwenye gari ananiambia hii gari nimekaa nayo muda mrefu kichizi haiuziki huyu dogo anasema haitoki sijui nini kumbe anaiuza pesa mingi hivi?Hahah jamaa alisikitika sana
Sasa dogo hua namcheki tu anavyovimba na kujifanya na yeye ni sehemu ya Utawala(CCM) nasema tu hiiiiiiiiiiiiiiiiii,kuna thread niliiona humu machalii wakimlalamikia na deal zake famba anazopiga.
Hahahah itakua nae anajiona labda ni mmoja wa wamiliki wa YARD hapa mjini, akitupigia kelele hapa mjini na kale ka subaru uchwara.Hahhhaa...naye aonekane ccm ni ya watu wenye pesa mingi. Shenz kbs
kwa ulivyoandika tu nadhani tumekuelewa vema.pesa imesinyaa lakini siyo kwa kiasi tunachoaminishwa,fedha ipo na watu wanatumia fedha,na hata hela iliyotumika yote ipo kwenye miradi mikubwa ambayo mingi ishaaanzakurudisha fedha na mingine soon itaanza kutoa fedha katika kipindi kifupi kama Air tanzania,stiglor gorge n.k
Ivi huyu ni mzee au kijana au hainihusu.Unazungumzia mambo ambayo yapo wazi kama ukaguzi wa ATCL, deni la taifa, sera za majimbo za CHADEMA hizi ni hoja zipo wazi. Na mwananchi wa kawaida sasa ambae maisha yake yamekuwa duni haya masuala uliofafanua hayana msaada kwake.
Tunataka utuambie kwa nini maisha yamekuwa magumu uraiani na kwa nini CCM haisadii wananchi?
Watu wana maisha magumu wanashindia mihogo ya kukaanga. Biashara zimefungwa na watu wanashindwa kujiajiri maana hamna uwezo wa watu kununua, ndio maana biashara zinakufa. Mbona haya hujafafanua na kutoa majibu maana wananchi wana hali mbaya sana. Alafu unaleta tabasamu la kinafiki sababu wewe una uhakika wa maisha.
Nani? Polepole?H
Ivi huyu ni mzee au kijana au hainihusu.
Nikiambiwa umri wake itapendeza zaidi.
Hayo mambo moto moto uyafanye ukiwa umemuaga mkeo na watoto uingie front line. Usije ukafanya ushuzi online na mabiti ya kiwaki.Kwenye sanduku la kura na huko kwingineko mnakowaza hamtafua dafu... Yaani this time ujinga na upuuzi wenu wa miaka yote tutashugulika nao sisi wenyewe... Hatumwachii Mungu...!!
Mboga moto, ugali moto, mchuzi moto, kiti moto...
Jibu hoja yangu wewe mpuuzi. Mimi nimesema amejibu hizo hoja zipo wazi sana na hazina manufaa kwa mama muuza dagaa au mkaanga miogo ambae sasa hali ni ngumu kwake maana ni ngumu kupata wateja.Unapohamisha magoli kuhusu ununuzi wa ndege na kile mgombea kilaza asiyekuwa na kumbukumbu juu ya kibali cha ununuzi huo wa ndege kupitishwa na Bunge, ni lazima Kwanza ukubaliane na hoja ya Polepole kwamba, Bunge lilipitisha ununuzi wa ndege
Je,sasa mnakubali kwamba mgombea wenu ni kilaza na nitapeli wa kisiasa asiyekuwa na kumbukumbu na Hilo?
Polepole buana!!😂
Yeah PolepoleNani? Polepole?
Ahaaaa,sijui naona ni mzee. Kijana huwezi kuwa na roho isiyo na huruma kwa watanzania.Yeah Polepole
Wewe pimbi mbona unalazimisha Watanzania wote tuwe na maisha magumu?Hapa hatuzungumzii habari ya mtu mmoja,bali tunazungumzia habari ya taifa kwa ujumla. Hali ni ngumu kwa kila mtanzania sasa hivi. Kumbuka 80% ni wakulima na wafanya biashara.
Wewe kumiliki huo mkweche sio sababu ya kujiona una mafanikio.
Kuna watu wamefunga maduka kariakoo na bidhaa wamezifungia ndani makwao na wana magari ya thamani kuliko huo mkweche wako. Tumia akili we bwege.
Pole pole bado hajibu hoja ya Lissu..kwanin amekwepa?Bunge ndy linaitisha tenda za kujenga miradi mkuu ya serkali?ikiwemo Chato a Airport?jamaaa ameongea point mno zote with evidence huenda kuna mengi wanayajua sema tumpe muda chadema wafakapo jibu tena fyoko atupe memgine zaid na kama wasipojibu watakuwa waongo kweli, na kama wakijibu wajiandae kupasuliwa zaid tena dakika za lala salama
Hoja za kijinga hujibiwa kijinga!Jibu hoja yangu wewe mpuuzi. Mimi nimesema amejibu hizo hoja zipo wazi sana na hazina manufaa kwa mama muuza dagaa au mkaanga miogo ambae sasa hali ni ngumu kwake maana ni ngumu kupata wateja.
Sasa hili la ugumu wa maisha ambalo sasa ni kilio cha taifa kwa nini hajatuambia, hawalifanyii kazi. Au ccm inafurahi watu kuishi maisha magumu?
Yuko under 40! Lakini Bahati mbaya ashazeekaH
Ivi huyu ni mzee au kijana au hainihusu.
Nikiambiwa umri wake itapendeza zaidi.
We kenge kweli,mimi nazungumzia wastani wa watu wapata magumu ni kama wote tu,hata watumishi wa umma wanakopa madukani kama sisi tu.Wewe pimbi mbona unalazimisha Watanzania wote tuwe na maisha magumu?
Hutaki tujadili mtu mmojammoja ila unaniambia habari za mmeo mwenye gari aliyefunga duka Kariakoo!
Isitoshe si kila mkulima ama mfanyabiashara kaathirika na utawala huu japokuwa wahanga athari kwenye biashara zimegusa watu.
All generalizations are wrong.
Nikupe pole kama kweli wewe na familia yako (kama unayo) mnashindia mihogo. Mnashindia mihogo kwa sababu ya uvivu wenu kiakili kwani imeandikwa kwenye Kitabu Kitakatifu 2 Wathesalonike 3:10 Kwa kuwa hata wakati ule tulipokuwapo kwenu tuliwaagiza neno hili, kwamba ikiwa mtu hataki kufanya kazi, basi, asile chakula.Unazungumzia mambo ambayo yapo wazi kama ukaguzi wa ATCL, deni la taifa, sera za majimbo za CHADEMA hizi ni hoja zipo wazi. Na mwananchi wa kawaida sasa ambae maisha yake yamekuwa duni haya masuala uliofafanua hayana msaada kwake.
Tunataka utuambie kwa nini maisha yamekuwa magumu uraiani na kwa nini CCM haisadii wananchi?
Watu wana maisha magumu wanashindia mihogo ya kukaanga. Biashara zimefungwa na watu wanashindwa kujiajiri maana hamna uwezo wa watu kununua, ndio maana biashara zinakufa. Mbona haya hujafafanua na kutoa majibu maana wananchi wana hali mbaya sana. Alafu unaleta tabasamu la kinafiki sababu wewe una uhakika wa maisha.
Malalamiko fcUnazungumzia mambo ambayo yapo wazi kama ukaguzi wa ATCL, deni la taifa, sera za majimbo za CHADEMA hizi ni hoja zipo wazi. Na mwananchi wa kawaida sasa ambae maisha yake yamekuwa duni haya masuala uliofafanua hayana msaada kwake.