Dr Adam Francis
JF-Expert Member
- Aug 12, 2011
- 790
- 1,316
Bila shaka Wewe ni miongoni mwa wale wa 7k/dayKatika desturi za kimahakama, uamuzi ukisha fikiwa baina ya watu wawili kuhusu shauri fulani, mahakama hiyo hiyo hairuhusiwi tena kurudia kulisikiliza shauri hilo hilo baina ya watu hao hao tena. Hiyo ndio maana ya Res judicata.
Sasa hivi CCM tayari tuna mgombea urais, Dkt Samia, mchakato majimboni umepamba moto, uteuzi wa madiwani ndio unaelekea tamati. Ni ukweli uliowazi kuwa sasa haiwezekani kurudia huu mchakato. Kupinga uamuzi wa mkutano mkuu kumteua Dkt Samia sasa hivi ni usaliti. Samia ni mgombea wa CCM na wana CCM wote lazima tumtetee.
Ni ukweli, kukosoa, kujikosoa na kukosoana ni nyenzo ya mapinduzi, lakini wakati gani, mahali gani na kwa njia gani hilo linafanyika ni jambo la muhimu pia. Hili lisipozingatiwa tutashindwa kutofautisha kati ya kukosoana na kushambuliana.
Jambo la muhimu kwa sasa ni kuona ni namna gani tutavuka kivuko cha uchaguzi bila kupoteza umoja wa kitaifa, amani na utulivu wetu.
Usilazimishe msimamo wako na mwingine akuunge mkono. Haramu ni haramu tu haijalishi ni' res judicata' au ni 'res integra' vyote ni useless kama matakwa ya katiba na hisia za wananchi zimekiukwa.Katika desturi za kimahakama, uamuzi ukisha fikiwa baina ya watu wawili kuhusu shauri fulani, mahakama hiyo hiyo hairuhusiwi tena kurudia kulisikiliza shauri hilo hilo baina ya watu hao hao tena. Hiyo ndio maana ya Res judicata.
Sasa hivi CCM tayari tuna mgombea urais, Dkt Samia, mchakato majimboni umepamba moto, uteuzi wa madiwani ndio unaelekea tamati. Ni ukweli uliowazi kuwa sasa haiwezekani kurudia huu mchakato. Kupinga uamuzi wa mkutano mkuu kumteua Dkt Samia sasa hivi ni usaliti. Samia ni mgombea wa CCM na wana CCM wote lazima tumtetee.
Ni ukweli, kukosoa, kujikosoa na kukosoana ni nyenzo ya mapinduzi, lakini wakati gani, mahali gani na kwa njia gani hilo linafanyika ni jambo la muhimu pia. Hili lisipozingatiwa tutashindwa kutofautisha kati ya kukosoana na kushambuliana.
Jambo la muhimu kwa sasa ni kuona ni namna gani tutavuka kivuko cha uchaguzi bila kupoteza umoja wa kitaifa, amani na utulivu wetu.
CHADEMA sio tu ni muhimu wapewe fursa ya kugombea bali madai yao ya reforms natamani yafanyiwe kazi, inaweza isiwe kwa asilimia mia lakini angalau minimum reforms zitakazowezesha uchaguzi huru na haki kufanyika. Hivyo ndivyo tutakavyodumisha umoja wa Taifa letu.Je Chadema wanastahili kunyimwa haki ya kugombea?
Kama kuna haki ya kushiriki uchaguzi, kuna haki pia ya kutokushiriki uchaguzi. Hakuna mtu huadhibiwa kwa kushiriki au kutokushiriki uchaguzi.Je Chadema wanastahili kunyimwa haki ya kugombea?
Katika desturi za kimahakama, uamuzi ukisha fikiwa baina ya watu wawili kuhusu shauri fulani, mahakama hiyo hiyo hairuhusiwi tena kurudia kulisikiliza shauri hilo hilo baina ya watu hao hao tena. Hiyo ndio maana ya Res judicata.
Sasa hivi CCM tayari tuna mgombea urais, Dkt Samia, mchakato majimboni umepamba moto, uteuzi wa madiwani ndio unaelekea tamati. Ni ukweli uliowazi kuwa sasa haiwezekani kurudia huu mchakato. Kupinga uamuzi wa mkutano mkuu kumteua Dkt Samia sasa hivi ni usaliti. Samia ni mgombea wa CCM na wana CCM wote lazima tumtetee.
Ni ukweli, kukosoa, kujikosoa na kukosoana ni nyenzo ya mapinduzi, lakini wakati gani, mahali gani na kwa njia gani hilo linafanyika ni jambo la muhimu pia. Hili lisipozingatiwa tutashindwa kutofautisha kati ya kukosoana na kushambuliana.
Jambo la muhimu kwa sasa ni kuona ni namna gani tutavuka kivuko cha uchaguzi bila kupoteza umoja wa kitaifa, amani na utulivu wetu.
Hiyo Res judicata mbona hamkuitumia kwa katibu mkuu wa chadema John Mnyika? Wanachadema walikubaliana awe katibu mkuu, mbona sasa mmewazuia kufanya siasa?
Imagine kama CHADEMA wangekiuka katiba yao kama ccm....just imagine....Katika desturi za kimahakama, uamuzi ukisha fikiwa baina ya watu wawili kuhusu shauri fulani, mahakama hiyo hiyo hairuhusiwi tena kurudia kulisikiliza shauri hilo hilo baina ya watu hao hao tena. Hiyo ndio maana ya Res judicata.
Sasa hivi CCM tayari tuna mgombea urais, Dkt Samia, mchakato majimboni umepamba moto, uteuzi wa madiwani ndio unaelekea tamati. Ni ukweli uliowazi kuwa sasa haiwezekani kurudia huu mchakato. Kupinga uamuzi wa mkutano mkuu kumteua Dkt Samia sasa hivi ni usaliti. Samia ni mgombea wa CCM na wana CCM wote lazima tumtetee.
Ni ukweli, kukosoa, kujikosoa na kukosoana ni nyenzo ya mapinduzi, lakini wakati gani, mahali gani na kwa njia gani hilo linafanyika ni jambo la muhimu pia. Hili lisipozingatiwa tutashindwa kutofautisha kati ya kukosoana na kushambuliana.
Jambo la muhimu kwa sasa ni kuona ni namna gani tutavuka kivuko cha uchaguzi bila kupoteza umoja wa kitaifa, amani na utulivu wetu.
CHADEMA walinyimwa haki au walijitoa kwenye kushiriki uchaguzi?Je Chadema wanastahili kunyimwa haki ya kugombea?
Haya ndiyo Makosa yaliyoifikisha nchi hapa ilipo...Waovu na mafisadi wanalijua Hilo fika ndiyo sababu hawaogopi kufanya Makosa tena mengine ya wazi kabisa kwakulazimisha pasipo kujali na kwakiburi Cha hali ya juu, wakijua Makosa Yao huwa hayarekebishwi itaamuliwa tu acha tuendelee tutarekebisha mbele ya safari...Hii ni cancer mbaya sana na imesha set precedence mbovu sana sana kiasi ambacho wanaobeba gharama ni jamii nzima wakati wakosefu hawawajibiki kwa lolote na popote Kwa Makosa Yao....STOP THIS NONSENSE!Katika desturi za kimahakama, uamuzi ukisha fikiwa baina ya watu wawili kuhusu shauri fulani, mahakama hiyo hiyo hairuhusiwi tena kurudia kulisikiliza shauri hilo hilo baina ya watu hao hao tena. Hiyo ndio maana ya Res judicata.
Sasa hivi CCM tayari tuna mgombea urais, Dkt Samia, mchakato majimboni umepamba moto, uteuzi wa madiwani ndio unaelekea tamati. Ni ukweli uliowazi kuwa sasa haiwezekani kurudia huu mchakato. Kupinga uamuzi wa mkutano mkuu kumteua Dkt Samia sasa hivi ni usaliti. Samia ni mgombea wa CCM na wana CCM wote lazima tumtetee.
Ni ukweli, kukosoa, kujikosoa na kukosoana ni nyenzo ya mapinduzi, lakini wakati gani, mahali gani na kwa njia gani hilo linafanyika ni jambo la muhimu pia. Hili lisipozingatiwa tutashindwa kutofautisha kati ya kukosoana na kushambuliana.
Jambo la muhimu kwa sasa ni kuona ni namna gani tutavuka kivuko cha uchaguzi bila kupoteza umoja wa kitaifa, amani na utulivu wetu.
Wewe ni mwehu.Katika desturi za kimahakama, uamuzi ukisha fikiwa baina ya watu wawili kuhusu shauri fulani, mahakama hiyo hiyo hairuhusiwi tena kurudia kulisikiliza shauri hilo hilo baina ya watu hao hao tena. Hiyo ndio maana ya Res judicata.
Sasa hivi CCM tayari tuna mgombea urais, Dkt Samia, mchakato majimboni umepamba moto, uteuzi wa madiwani ndio unaelekea tamati. Ni ukweli uliowazi kuwa sasa haiwezekani kurudia huu mchakato. Kupinga uamuzi wa mkutano mkuu kumteua Dkt Samia sasa hivi ni usaliti. Samia ni mgombea wa CCM na wana CCM wote lazima tumtetee.
Ni ukweli, kukosoa, kujikosoa na kukosoana ni nyenzo ya mapinduzi, lakini wakati gani, mahali gani na kwa njia gani hilo linafanyika ni jambo la muhimu pia. Hili lisipozingatiwa tutashindwa kutofautisha kati ya kukosoana na kushambuliana.
Jambo la muhimu kwa sasa ni kuona ni namna gani tutavuka kivuko cha uchaguzi bila kupoteza umoja wa kitaifa, amani na utulivu wetu.
Hiyo inatumika upande wao tuHiyo Res judicata mbona hamkuitumia kwa katibu mkuu wa chadema John Mnyika? Wanachadema walikubaliana awe katibu mkuu, mbona sasa mmewazuia kufanya siasa?