OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Imeelezwa kuwa karibu mwenezi wa CCM ndugu Humphrey Polepole amekuwa akihaha kumnasa bondia Hasan Mwakinyo ili kumkaribisha chamani pamoja
Mtanzania Hassan Mwakinyo mwenye umri wa miaka 23 usiku wa kuamkia tarehe 9/9/2018 amefanikiwa kumpiga Bondia Mwingereza Sam Eggington katika round ya pili ya pambano hilo liliofanyika katika ukumbi wa 'ARENA BIRMINGHAM'
Baada ya kurejea nchini bondia huyu alipata mwaliko bungeni. Watu wa karibu wa bondia huyu wamekuwa wakimshauri akatae kujizogeza karibu na wanasiasa wa vyama. Wengine wamekuwa wakimpa mifano ya wanasanii waliofulia baada ya kujishirikisha na CCM ikiwemo Juma Nature, Bushoke,Marlow na wengine wakielekea kufulia kama kina Daimondi na Kiba