Tetesi: Polepole ahaha kumtafuta Bondia Hassan Mwakinyo

View attachment 865995

Imeelezwa kuwa karibu mwenezi wa CCM ndugu Humphrey Polepole amekuwa akihaha kumnasa bondia Hasan Mwakinyo ili kumkaribisha chamani pamoja

Mtanzania Hassan Mwakinyo mwenye umri wa miaka 23 usiku wa kuamkia tarehe 9/9/2018 amefanikiwa kumpiga Bondia Mwingereza Sam Eggington katika round ya pili ya pambano hilo liliofanyika katika ukumbi wa 'ARENA BIRMINGHAM'

Baada ya kurejea nchini bondia huyu alipata mwaliko bungeni. Watu wa karibu wa bondia huyu wamekuwa wakimshauri akatae kujizogeza karibu na wanasiasa wa vyama. Wengine wamekuwa wakimpa mifano ya wanasanii waliofulia baada ya kujishirikisha na CCM ikiwemo Juma Nature, Bushoke,Marlow na wengine
Hata Diamond kachujuka baada ya kushirikiana na wanasiasa uchwara.
 
Ukiwa rafiki wa siasa lazima utumike kama wanavyo taka

Tuwe wa kweli
 
Dhuu akae mbali kabisa na wanasihasa ebu ona were wasanii wa bongo mavi walivyojichokea yaani wamechoka wamechakaaa😛😛
 
Unamuogopa alivyompiga yule mwandishi wa habari miaka ilee😀😀😀😀😀

Mwandishi: Tunasikia wewe ni SWAHIBA wa Agustino Lyatonga Mrema?
Wasira: @#$%(*&^%$# p.u.mb.vu. (makofi, ngumi, mateke nk.)
Mwandishi: Vipi mzee mbona unanipiga?
Wasira: Yaani umeniona mimi ni SHOGA? una maana mimi nafanya mapenzi na Mrema kinyume cha maumbile
Mwandishi: Nisamehe mzee, Swahiba sio kwamba wewe ni shoga
Wasira: 😀😀😀😀😀 Nisamehe kijana, mie mtu wa Mara sijui kiswahili vizuri. Nilijua swahiba ni kama umeniita Shoga
[emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji817] [emoji817] [emoji817] [emoji817] [emoji817] [emoji817] [emoji817] [emoji817] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji2] [emoji2] [emoji3] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
hahahaah, baba swalehe mbona hivyo jamani hadi na mie nimecheka. Hukumbuki hilo sakata la Mzee Wasira na Mwandishi wa habari alivyompiga kwa kumuita Swahiba wa Mrema, mzee akajua swahiba maana yake ni shoga hahahahahaha
 
View attachment 865995

Imeelezwa kuwa karibu mwenezi wa CCM ndugu Humphrey Polepole amekuwa akihaha kumnasa bondia Hasan Mwakinyo ili kumkaribisha chamani pamoja

Mtanzania Hassan Mwakinyo mwenye umri wa miaka 23 usiku wa kuamkia tarehe 9/9/2018 amefanikiwa kumpiga Bondia Mwingereza Sam Eggington katika round ya pili ya pambano hilo liliofanyika katika ukumbi wa 'ARENA BIRMINGHAM'

Baada ya kurejea nchini bondia huyu alipata mwaliko bungeni. Watu wa karibu wa bondia huyu wamekuwa wakimshauri akatae kujizogeza karibu na wanasiasa wa vyama. Wengine wamekuwa wakimpa mifano ya wanasanii waliofulia baada ya kujishirikisha na CCM ikiwemo Juma Nature, Bushoke,Marlow na wengine
kwa hiyo akina gangwe mob, mabaga fresh, daz nundaz, crazy gk, d knob, jay moe, unique dadaz, mike tee, sister p, mandojo & domokaya na wengine wengi nao wamepotea kwaajili ya kuingia kwenye siasa???? tuwe tunaandika vitu tukiwa na akili huru na sio kujifunga kwenye itikadi kwenye kila kitu, Marekani kwenyewe wenye music kuna wasanii wengi tu uliokuwa unawajua miaka ya 90, 2000 - 2010 wameshapotea huwasikii tena wengine wanajitahidi kutoa nyimbo mpya lakini hazina mashiko tena so ni kawaida hali kama hiyo sehemu yoyote duniani!!!
 
U nafiki tu, kwani hawakujua kama yupo kabla yakushinda pambano? Bora akatae tu.
 
hahahaah, baba swalehe mbona hivyo jamani hadi na mie nimecheka. Hukumbuki hilo sakata la Mzee Wasira na Mwandishi wa habari alivyompiga kwa kumuita Swahiba wa Mrema, mzee akajua swahiba maana yake ni shoga hahahahahaha
unajua yan ukiona mi nmecheka aisee .... Napenda sana kuchkesha ila ni mara chache mi kucheka
 
View attachment 865995

Imeelezwa kuwa karibu mwenezi wa CCM ndugu Humphrey Polepole amekuwa akihaha kumnasa bondia Hasan Mwakinyo ili kumkaribisha chamani pamoja

Mtanzania Hassan Mwakinyo mwenye umri wa miaka 23 usiku wa kuamkia tarehe 9/9/2018 amefanikiwa kumpiga Bondia Mwingereza Sam Eggington katika round ya pili ya pambano hilo liliofanyika katika ukumbi wa 'ARENA BIRMINGHAM'

Baada ya kurejea nchini bondia huyu alipata mwaliko bungeni. Watu wa karibu wa bondia huyu wamekuwa wakimshauri akatae kujizogeza karibu na wanasiasa wa vyama. Wengine wamekuwa wakimpa mifano ya wanasanii waliofulia baada ya kujishirikisha na CCM ikiwemo Juma Nature, Bushoke,Marlow na wengine
Hao akina Nature ni wazembe wa maisha,mbona kina Sugu,Prof. J, Jokate wako kwenye siasa na wamefanikiwa sana
 
Unamuogopa alivyompiga yule mwandishi wa habari miaka ilee😀😀😀😀😀

Mwandishi: Tunasikia wewe ni SWAHIBA wa Agustino Lyatonga Mrema?
Wasira: @#$%(*&^%$# p.u.mb.vu. (makofi, ngumi, mateke nk.)
Mwandishi: Vipi mzee mbona unanipiga?
Wasira: Yaani umeniona mimi ni SHOGA? una maana mimi nafanya mapenzi na Mrema kinyume cha maumbile
Mwandishi: Nisamehe mzee, Swahiba sio kwamba wewe ni shoga
Wasira:😀😀😀😀😀 Nisamehe kijana, mie mtu wa Mara sijui kiswahili vizuri. Nilijua swahiba ni kama umeniita Shoga

Tupe jina la mwandishi please
 
Tupe jina la mwandishi please
Sikumbuki ila ni kisa cha kweli. Ndio kisa hasa cha yeye jina la Tyson lilianzia hapo.
NB: kama wewe ni mtoto wa kizazi cha Jakaya itakuwa ngumu kwako mkuu kujua hiyo story
 
Mimi ndio mbovu kabisa wa kucheka, napenda sana kucheka, yaani hata tukionana live mie huwa ninacheka sana.
Ungekua unaish na mm mbavu zako zngekua mbili sa hivi .... Unajua ndugu zangu wte wamentenga sabab ya kuchekesha....
 
Back
Top Bottom