Tetesi: Polepole ahaha kumtafuta Bondia Hassan Mwakinyo

Hata Diamond kachujuka baada ya kushirikiana na wanasiasa uchwara.
 
Ukiwa rafiki wa siasa lazima utumike kama wanavyo taka

Tuwe wa kweli
 
Dhuu akae mbali kabisa na wanasihasa ebu ona were wasanii wa bongo mavi walivyojichokea yaani wamechoka wamechakaaaπŸ˜›πŸ˜›
 
[emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji817] [emoji817] [emoji817] [emoji817] [emoji817] [emoji817] [emoji817] [emoji817] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji2] [emoji2] [emoji3] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
hahahaah, baba swalehe mbona hivyo jamani hadi na mie nimecheka. Hukumbuki hilo sakata la Mzee Wasira na Mwandishi wa habari alivyompiga kwa kumuita Swahiba wa Mrema, mzee akajua swahiba maana yake ni shoga hahahahahaha
 
kwa hiyo akina gangwe mob, mabaga fresh, daz nundaz, crazy gk, d knob, jay moe, unique dadaz, mike tee, sister p, mandojo & domokaya na wengine wengi nao wamepotea kwaajili ya kuingia kwenye siasa???? tuwe tunaandika vitu tukiwa na akili huru na sio kujifunga kwenye itikadi kwenye kila kitu, Marekani kwenyewe wenye music kuna wasanii wengi tu uliokuwa unawajua miaka ya 90, 2000 - 2010 wameshapotea huwasikii tena wengine wanajitahidi kutoa nyimbo mpya lakini hazina mashiko tena so ni kawaida hali kama hiyo sehemu yoyote duniani!!!
 
U nafiki tu, kwani hawakujua kama yupo kabla yakushinda pambano? Bora akatae tu.
 
hahahaah, baba swalehe mbona hivyo jamani hadi na mie nimecheka. Hukumbuki hilo sakata la Mzee Wasira na Mwandishi wa habari alivyompiga kwa kumuita Swahiba wa Mrema, mzee akajua swahiba maana yake ni shoga hahahahahaha
unajua yan ukiona mi nmecheka aisee .... Napenda sana kuchkesha ila ni mara chache mi kucheka
 
Hao akina Nature ni wazembe wa maisha,mbona kina Sugu,Prof. J, Jokate wako kwenye siasa na wamefanikiwa sana
 

Tupe jina la mwandishi please
 
Tupe jina la mwandishi please
Sikumbuki ila ni kisa cha kweli. Ndio kisa hasa cha yeye jina la Tyson lilianzia hapo.
NB: kama wewe ni mtoto wa kizazi cha Jakaya itakuwa ngumu kwako mkuu kujua hiyo story
 
Mimi ndio mbovu kabisa wa kucheka, napenda sana kucheka, yaani hata tukionana live mie huwa ninacheka sana.
Ungekua unaish na mm mbavu zako zngekua mbili sa hivi .... Unajua ndugu zangu wte wamentenga sabab ya kuchekesha....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…