Tetesi: Polepole ahaha kumtafuta Bondia Hassan Mwakinyo

Sikumbuki ila ni kisa cha kweli. Ndio kisa hasa cha yeye jina la Tyson lilianzia hapo.
NB: kama wewe ni mtoto wa kizazi cha Jakaya itakuwa ngumu kwako mkuu kujua hiyo story
Jina lake nani? Hatuwezi kukumbuka kila kitu. Anayekumbuka atukumbushe
 
Diamond CCM ilimkuta tayari keshainuka,muacheni kijana apambane kwa ajili y famiilia yake na taifa msianze kumfanya awe bias au achukiwe na watu fulani either CCM au CDM acha awe free,akiamua kujiunga iwe ni siri yake,acaheni huo ujinga wote CCM na CDM
 
Ni usajili mzuri polepole akifanikisha atatusaidia kuongeza nguvu ktk jeshi letu la GG
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Inaonyesha chama kubwa wanataka kuanzisha kitengo cha ngumi, hoja zikigoma zinapigwa ngumi [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Alipokuwa akihojiwa bbc alisema hajawahu kupata msaada wowote serikalini...zaidi ya jutembelewa na mwenyekiti wa mtaa...!! Na leo akiwa bungeni amemwambia w.mkuu kuwa alipata taabu sana kupata visa..pamoja na nauli kwamba alikopa kwa mwanafunzi...leo serikali inajifanya inamjua sana..***** zeny
 
Maniner zao, wanataka aporomoke, then wamtupe kwenye dustbin. Atakuwa kama bongo movie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…