Wakusoma 12
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 5,503
- 15,858
Hivi akitaja sehemu fulani kuna kaburi la pamoja unahisi nini kitatokea?Watmbe kwa sababu ya Polepole?
Hivi akitaja sehemu fulani kuna kaburi la pamoja unahisi nini kitatokea?Watmbe kwa sababu ya Polepole?
Japo anaujua ukweli huo hawezi kuusema kwasababu taarifa hizo ni privileged info alizopata kwa wadhifa wake wa mwandamizi, amekula kiapo, hivyo kamwe hawezi kukiuka kiapo chake.Haitoshi tu kuelezea mambo ya kisiasa ama Kura zinavyoibiwa, tunataka pia kujua uhai wa watanzania wenzetu waliopotezwa na wanaoendelea kupotea ninani anawateka na wanawekwa ama wako wapi na kama wanauliwa wanazikwa wapi ? Pole pole ukieleza ukweli huu nchi itapona
Chief kuna watu hamnazo unapoteza nguvu bureeLakini sijauliza swali hapa mkuu wangu.
Ni kweli lakini tutakuwa tumejua ukweli kwamba wameuliwa hawapo Tena hivyo tumalizie matangaSiku akiwataja na sehemu wanapoendwa kuzikwa nahisi usiku uo uo watakimbia kwenda kuhamisha kama walivyo fanya Chang'ombe polisi na Ostabey kuwa kuna eneo la mateso.
Ukiisha kula kiapo, ni ama unanyamaza, unakwenda nacho kaburini, ama unatoa siri kisha unakwenda kuny.a debe!.Angetusaidia hata kidogo tu
Mku awataje mara ngapi...yaani wewe mke wako kakimbia nyumba yake akilalamika kuwa unyanyasaji wa watoto naa mambo ya ajabu ndani ya familia yamemshinda arafu mtu anatoka pembeni anamwambia mtaje huyo anayeharibu familia kweli!!!!!!????? Watanzania tuache kujitoa akili....Haitoshi tu kuelezea mambo ya kisiasa ama Kura zinavyoibiwa, tunataka pia kujua uhai wa watanzania wenzetu waliopotezwa na wanaoendelea kupotea ninani anawateka na wanawekwa ama wako wapi na kama wanauliwa wanazikwa wapi ? Pole pole ukieleza ukweli huu nchi itapona
Lakini ni komeredi mwenzetuMaskini Watanganyika kweli wamerogwa akili na ufahamu.
Leo hii Polepole kawa hero wao daahh 😂 😂 😂
Akili za watanzania sijui tulirogwa na nani! Badala ya kujadiri na kupatia majibu na hitimisho la hayo aliyobumbulua, tunaanzisha vioja vingine. Hizi siyo akili za kawaida ni kurogwa au kutumika binafsi na magenge fulani ili kupindisha au kufifisha issue iliyoko mezaniHaitoshi tu kuelezea mambo ya kisiasa ama Kura zinavyoibiwa, tunataka pia kujua uhai wa watanzania wenzetu waliopotezwa na wanaoendelea kupotea ninani anawateka na wanawekwa ama wako wapi na kama wanauliwa wanazikwa wapi ? Pole pole ukieleza ukweli huu nchi itapona
Hayo aliyozungumza hayana maana kupita uhai wa binadamu ,wewe ndio unaakili mbayaAkili za watanzania sijui tulirogwa na nani! Badala ya kujadiri na kupatia majibu na hitimisho la hayo aliyobumbulua, tunaanzisha vioja vingine. Hizi siyo akili za kawaida ni kurogwa au kutumika binafsi na magenge fulani ili kupindisha au kufifisha issue iliyoko mezani
Ninini utafanya ili kulizuia ?? Utafanya Nini ?Kama hatuwezi kuona ukubwa wa jambo alilosema polepole basi huko ni kukoso aibu na kujizima data. Hivi unajua polepole alikuwa jikoni anayajua mangapi . Hili jambo ni Zito Sana na ni hatari sio la kupuuzia