Polepole akiwataja kwa majina wanaoteka watu na mahali waliko akina Ben Saanane nchi itapona

Kile kitabu cha kabendera nyuma yake alikuwepo wana mtandao kosa Eric mnalijua lakini kushirikiana na Zitto na Gazeti la The Economic. r.i.p. Magu Japokua nilikupiga spana sikujua
Kosa la Magu ilikuwa kuua upinzani na kutuachia bunge la vilaza wa CCM aliowaweka ili wamwandalie urais wa maisha. Angewaacha Wapinzani waendesha siasa zao za kuikosoa serikali yake na yeye kazi yake ingekuwa kunyoosha pale anapokosolewq ndiyo wangekuwa msaada mkubwa kwake na angekuwa bonge moja la presidaa
 
Wakina Mbowe mtandao na zitto ndo angewaacha?
 
Back
Top Bottom