Polepole akiwataja kwa majina wanaoteka watu na mahali waliko akina Ben Saanane nchi itapona

Japo anaujua ukweli huo hawezi kuusema kwasababu taarifa hizo ni privileged info alizopata kwa wadhifa wake wa mwandamizi, amekula kiapo, hivyo kamwe hawezi kukiuka kiapo chake.
P
 
Siku akiwataja na sehemu wanapoendwa kuzikwa nahisi usiku uo uo watakimbia kwenda kuhamisha kama walivyo fanya Chang'ombe polisi na Ostabey kuwa kuna eneo la mateso.
 
Siku akiwataja na sehemu wanapoendwa kuzikwa nahisi usiku uo uo watakimbia kwenda kuhamisha kama walivyo fanya Chang'ombe polisi na Ostabey kuwa kuna eneo la mateso.
Ni kweli lakini tutakuwa tumejua ukweli kwamba wameuliwa hawapo Tena hivyo tumalizie matanga
 
Tanzania ni kanchi kadogo kanongozwa na watu wachache wenye hela na zero brain ikitokea unawaambia ukweli tu ujue imekula kwako , nchi haina uchaguzi bado mnahangaika tu ooh tunatiki sasa kama mnatiki , tume yenu ,nida yenu, mutungi wenu, mahakama zenu, polisiiiemu wenu, usalama wa siisiiemu wenu , bado nahangaika na Lissu mwachieni muone moto.
 
Msimchukulie poa huyo kijana asiye na nyama...anaweza akaja na data za utekaji mukabaki midomo wazi😄, ataleta sura za walioenda kuteka, plate namba za magari waliyoenda nayo, mahali walipowatupa, na mtu aliyewatuma...namba ya simu ya maelekezo kutoka juu😀..tutashangaa nchi nzima tunabanwa na haja🤔. Asipuuzwe inawezekana anazo Siri nyingi si hizi pekee
 
Mku awataje mara ngapi...yaani wewe mke wako kakimbia nyumba yake akilalamika kuwa unyanyasaji wa watoto naa mambo ya ajabu ndani ya familia yamemshinda arafu mtu anatoka pembeni anamwambia mtaje huyo anayeharibu familia kweli!!!!!!????? Watanzania tuache kujitoa akili....
 
Kama hatuwezi kuona ukubwa wa jambo alilosema polepole basi huko ni kukoso aibu na kujizima data. Hivi unajua polepole alikuwa jikoni anayajua mangapi . Hili jambo ni Zito Sana na ni hatari sio la kupuuzia
 
Akili za watanzania sijui tulirogwa na nani! Badala ya kujadiri na kupatia majibu na hitimisho la hayo aliyobumbulua, tunaanzisha vioja vingine. Hizi siyo akili za kawaida ni kurogwa au kutumika binafsi na magenge fulani ili kupindisha au kufifisha issue iliyoko mezani
 
Hayo aliyozungumza hayana maana kupita uhai wa binadamu ,wewe ndio unaakili mbaya
 
Kama hatuwezi kuona ukubwa wa jambo alilosema polepole basi huko ni kukoso aibu na kujizima data. Hivi unajua polepole alikuwa jikoni anayajua mangapi . Hili jambo ni Zito Sana na ni hatari sio la kupuuzia
Ninini utafanya ili kulizuia ?? Utafanya Nini ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…