Polepole akiwataja kwa majina wanaoteka watu na mahali waliko akina Ben Saanane nchi itapona

Tunahitaji full detail
 
Tuendelee kumtomasatomasa huenda akawataja wote
 
Ukiisha kula kiapo, ni ama unanyamaza, unakwenda nacho kaburini, ama unatoa siri kisha unakwenda kuny.a debe!.
P
Atoe Siri tu akaishi uhamishoni kama osca kambona ikipinduka anarudi tena
 
Tunafanyaje Sasa stivini wasira ndio anasimamia VAR
 
Vituo vinavyofuata vipo vingi vya kutosha kwa makadirio ya uvundo wa taifa yalivyo!
 
Thubutuuuu.
Wakati Slowslow mwenyewe ni muhusika wa mauaji hayo
 
Awataje? Hawajui huyo.
 
Endelea kumsikiliza mwehu
 
Sahihi la sivyo,akubali nae ni muhusika!
 
Slow slow sio wa kumpuuza,anahoja,ajibiwe!
 
Kile kitabu cha kabendera nyuma yake alikuwepo wana mtandao kosa Eric mnalijua lakini kushirikiana na Zitto na Gazeti la The Economic. r.i.p. Magu Japokua nilikupiga spana sikujua
Ya Ben Saanane ilishaelezwa na Eric Kabendera kuwa alipigwa manati ya kizungu na yule mwovu wa Chato na maiti yake ikaenda kutupwa mto Rufiji
 
Japo anaujua ukweli huo hawezi kuusema kwasababu taarifa hizo ni privileged info alizopata kwa wadhifa wake wa mwandamizi, amekula kiapo, hivyo kamwe hawezi kukiuka kiapo chake.
P
Kwa uchungu aliona hicho kiapo ni batili, maana kumtaja Mungu Kwa uongo ni ubatili mtupu, maana maandiko yasema,usilitaje Bure jina la Bwana Mungu wako!
 
Bahati nzuri na Dada ake ni Muanga makosa kabisa walifanya kama kufungia kanisa la Gwajima unaenda kwenye uchaguzi
 

Hakuna jiwe halitageuzwa ila pa kuanzia:



Mjela awe jela na rais awe ikulu. Ndipo sasa tulale nao mbele wamrejeshe Kila aliyepotea akiwa hai.

Muhimu kutokupoteza foci.

Situxnet, Huihoi2, ChoiceVariables, Tlaatlaah, shiembe na wale wengine:

Au nasema uongo?
 
Kwa uchungu aliona hicho kiapo ni batili, maana kumtaja Mungu Kwa uongo ni ubatili mtupu, maana maandiko yasema,usilitaje Bure jina la Bwana Mungu wako!
Wabunge na viongozi wanaotaja jina la Mungu kila kukicha wamedhurika nini wanapofanya wizi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…