Kosa la Magu ilikuwa kuua upinzani na kutuachia bunge la vilaza wa CCM aliowaweka ili wamwandalie urais wa maisha. Angewaacha Wapinzani waendesha siasa zao za kuikosoa serikali yake na yeye kazi yake ingekuwa kunyoosha pale anapokosolewq ndiyo wangekuwa msaada mkubwa kwake na angekuwa bonge moja la presidaa