Polepole alikua Mbele ya mda Sana CCM kwa sasa tunaongea Lugha moja Chama Kimekufa kwa Wananchi maskini kimebaki kwa Mabwanyenye

Polepole alikua Mbele ya mda Sana CCM kwa sasa tunaongea Lugha moja Chama Kimekufa kwa Wananchi maskini kimebaki kwa Mabwanyenye

baz kaiza

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2015
Posts
14,971
Reaction score
18,641
Polepole alipambania chama kurudi kwenye misingi ya Huanzishwaji wake chama cha wafanyakazi na wakulima kiwatumikie wananchi lakini mkaona mkikabizi chama wakini Seth IPTL na na mabwanyenye wengine

Hawa Gen-Z ni vijana watoto wa maskini ambao kwao hawajui Cadillac Escalade wala roiz roiz sio Bentry, Wala LC land cruise 600 Kwasababu nyie mmeshindwa kuwaletea kesho ilio bora kuwaletea kesho yenye matumaini wakati nyie watoto wenu wanaogelea kwenye utajiri wa kutisha tukisema tunaonekana tuna wivu na watoto wenu

Sasa Gen-Z wanataka kuweka viongozi wataoweza kuwajibika na kuwajibishwa na Gen-Z CCM sasa hivi kinaonekana ni chama cha wapigaji wezi mafisadi wakina matapeli wakina Goodlove kweli CCM?

Kwa sasa ni kinaonekana ni chamba ambacho kiko mwisho kimawazo na mtazamo hakiendani na kizazi cha Gen-Z kimebaki kua chama cha Dola na mabwanyenye Sasa kimekua chama cha Mapinduzi kweli kweli kinapindua hata matokeo ya uchaguzi kimeshidwa kupindua maisha ya wananchi maskini CCM inawaza kubaki madarakani tu sasa kimegeuka kua chama cha dola na Mabwanyenye sio wananchi maskini

CCM itaendelea kukabilia na upinzani mkubwa sio Gen-Z Pekee watu wote waliochoshwa na sura zile zile kwenye ccm waliochoshwa na Utekaji, Mauaji, Ufisadi, ukosefu wa Haki, ukosefu wa uwajibikaji na ajira.

CCM kwa sasa inatia huruma mpaka unaogopa kujitambulisha mwana CCM kila mtu sasa kila mtu anajua kwamba CCM itaondoka madarakani kwa nguvu ya umma ndo kilichobaki kwa hiyo maadui wa CCM kwa sasa ni wengi mmefanya mpaka utekaji wa wapendwa wao ndani ya chama kama Polepole, Gwajima anaishi kama digi digi
 
Back
Top Bottom