Polepole alishaona "He is Going Nowhere", hivyo bora ajipe kadi nyekundu lakini itakayoacha madhara kwa golikipa.

Kwa kutumia common sense tu hata wewe ungekuwa Polepole ungeona hauna lako tena ndani ya "2025 -2030 Dream Team".

Bashiru nje❌

Majaliwa nje❌

Ndugai nje❌

Mpango nje❌

Sasa Polepole bado ana chake hapo? Tena ametupwa huko Cuba, hopeless region!

Nasema hivi kwa sababu hata sababu za kujiuzulu alizotoa hazina mashiko yoyote kwa mtu kama yeye, hasa ikizingatiwa yeye na hao hapo juu ndiyo waaasisi wa aina hii ya uongozi tulionao kwa sasa, uongozi uliokaa ki imla imla!

Mwamba kaamua tu kama mbwai na iwe mbwai, bora niyamwage angali ya moto ila nitahakikisha yanamrukia na mpishi kiaina.

View attachment 3404440
Hata kama haya unayosema ni ya kweli, lakini bado amefanya jambo zuri. Ni wangapi wenye ujasiri wa kumkabili mungu mdogo wa Tanzania (rais) kama huyu?
 
Kwa kutumia common sense tu hata wewe ungekuwa Polepole ungeona hauna lako tena ndani ya "2025 -2030 Dream Team".

Bashiru nje❌

Majaliwa nje❌

Ndugai nje❌

Mpango nje❌

Sasa Polepole bado ana chake hapo? Tena ametupwa huko Cuba, hopeless region!

Nasema hivi kwa sababu hata sababu za kujiuzulu alizotoa hazina mashiko yoyote kwa mtu kama yeye, hasa ikizingatiwa yeye na hao hapo juu ndiyo waaasisi wa aina hii ya uongozi tulionao kwa sasa, uongozi uliokaa ki imla imla!

Mwamba kaamua tu kama mbwai na iwe mbwai, bora niyamwage angali ya moto ila nitahakikisha yanamrukia na mpishi kiaina.

View attachment 3404440
KArma
 
Kwa kiongozi mwenye akili timamu na mwenye kufuata Sheria lazima atajiuzulu ili kujitenga na hii awamu ya sita Kwa kuwa imeonesha uwezo mdogo wa kuongoza.
 
Mleta bandiko unajitahidi sana kujipa moyo lkn hii imeenda hairudi tena. Tajiri kapewa makavu moja Kwa moja.
 
Ingekua wewe ungeweza? Kuachia salary, privilege na miposhoposho kibao au njaa ingekuuwa?
 
Kwa kutumia common sense tu hata wewe ungekuwa Polepole ungeona hauna lako tena ndani ya "2025 -2030 Dream Team".

Bashiru nje❌

Majaliwa nje❌

Ndugai nje❌

Mpango nje❌

Sasa Polepole bado ana chake hapo? Tena ametupwa huko Cuba, hopeless region!

Nasema hivi kwa sababu hata sababu za kujiuzulu alizotoa hazina mashiko yoyote kwa mtu kama yeye, hasa ikizingatiwa yeye na hao hapo juu ndiyo waaasisi wa aina hii ya uongozi tulionao kwa sasa, uongozi uliokaa ki imla imla!

Mwamba kaamua tu kama mbwai na iwe mbwai, bora niyamwage angali ya moto ila nitahakikisha yanamrukia na mpishi kiaina.

View attachment 3404440
Sahihi kabisa maana kaona kundi lake lote limebwagwa sasa kama mbwai na iwe bwai
 
Ndugai hakuwahi kuwa kwenye hiyo timu uliyompachika alikuwa ana-hang hang tu.

Kama utakumbuka aliwahi kukandia ujenzi wa SGR kabla ya kujenga Bagamoyo port baada ya kifo ya Magu.

Huyo mtoe hapo kama ambavyo hujamjumuisha Kinana!!
 
Tanzania tuna wanasiasa waoga sana, kule Kenya ile tokea JPM amefariki ilipaswa hao watu wake waunde chama au walau waandae mgombea wa kuchukua fomu 2025. Cha ajabu wamebaki ndani kulinda vyeo hadi leo wanajistaafisha kwa aibu.

Hopeless politicians
 
Mama yako kadondoka Leo Huko ikulu....wewe lofa endelea kujipa moyo, Hadi muda huu gerson msigwa ameshapiga siku Kwa wahariri wa vyombo vyote vya habari wasitoe habari kesho
 
Kwa kutumia common sense tu hata wewe ungekuwa Polepole ungeona hauna lako tena ndani ya "2025 -2030 Dream Team".

Bashiru nje❌

Majaliwa nje❌

Ndugai nje❌

Mpango nje❌

Sasa Polepole bado ana chake hapo? Tena ametupwa huko Cuba, hopeless region!

Nasema hivi kwa sababu hata sababu za kujiuzulu alizotoa hazina mashiko yoyote kwa mtu kama yeye, hasa ikizingatiwa yeye na hao hapo juu ndiyo waaasisi wa aina hii ya uongozi tulionao kwa sasa, uongozi uliokaa ki imla imla!

Mwamba kaamua tu kama mbwai na iwe mbwai, bora niyamwage angali ya moto ila nitahakikisha yanamrukia na mpishi kiaina.

View attachment 3404440
Ukweli unaonesha kuwa, mashambulizi ya ndani ni mengi, makubwa na mazito kuliko yaliyoko nje.

Hisia ni kuwa, vuguvugu hili haliko kinyume cha SSH (kwa kuwa mabaya yamekuwa yakutafutiza sana) bali nguvu inayoendelea kuwa kubwa sana ya balozi Nchimbi ndani ya chama.

Kambi yao yote imetupwa nje, huku kambi nyingine ya wanamtandao ikipumulia mashine baada ya lile shambulio la kinana. ili mwenyekiti ajiimarishe akateuliwa Nchimbi na Chongolo kuwa sacrificed kwa muda..

Lesson ni kuwa, team JPM walimchukulia poa sana SSH akiwa second in power na baadaye mwanzoni mwa uraisi wake... inaonekana hawakumkubali na hawajamkubali na hawatamkubali kama ambavyo kina kinana hawakumkubali JPM. Nadhani tumaini lao lilikuwa Ruangwa na inaonekana limefifishwa rasmi... team ya wanamtandao inaonekana wamekubali yaishe lakini wanawaza watafikaje 2030 salama...

Swali ni je yeye na Balozi watafanikiwa kuutuliza huu upepo na kuvuka salama?? Wacha tuendelee kutazama
 
Tanzania tuna wanasiasa waoga sana, kule Kenya ile tokea JPM amefariki ilipaswa hao watu wake waunde chama au walau waandae mgombea wa kuchukua fomu 2025. Cha ajabu wamebaki ndani kulinda vyeo hadi leo wanajistaafisha kwa aibu.

Hopeless politicians
Well articulated. Team JPM imekosa maslahi wametengwa na hawasikilizwi. Wanakuja kutengeneza scene unnecesaary kwenye kipindi ambacho huwezi kurekebisha chochote. Walitakiwa kufanya mapema.
 
Kwa kutumia common sense tu hata wewe ungekuwa Polepole ungeona hauna lako tena ndani ya "2025 -2030 Dream Team".

Bashiru nje❌

Majaliwa nje❌

Ndugai nje❌

Mpango nje❌

Sasa Polepole bado ana chake hapo? Tena ametupwa huko Cuba, hopeless region!

Nasema hivi kwa sababu hata sababu za kujiuzulu alizotoa hazina mashiko yoyote kwa mtu kama yeye, hasa ikizingatiwa yeye na hao hapo juu ndiyo waaasisi wa aina hii ya uongozi tulionao kwa sasa, uongozi uliokaa ki imla imla!

Mwamba kaamua tu kama mbwai na iwe mbwai, bora niyamwage angali ya moto ila nitahakikisha yanamrukia na mpishi kiaina.

View attachment 3404440
Unajifariji tu, mtu kuacha allowance ya $12,000 kwa mwezi ni uamuzi mwepesi??
 
Ametoa sababu zake kama kwako hazina mashiko ni wewe....
 
Unajifariji tu, mtu kuacha allowance ya $12,000 kwa mwezi ni uamuzi mwepesi??
Nani kakwambia watu wapo kwenye siasa kwa ajili ya posho? Huyo polepole unadhani hakuchuma mabilioni alipokua katibu mwenezi? People want power ndio maana Kimei, Mo waligombea ubunge licha ya kuwa na kila utajiri.
 
Kwa kutumia common sense tu hata wewe ungekuwa Polepole ungeona hauna lako tena ndani ya "2025 -2030 Dream Team".

Bashiru nje❌

Majaliwa nje❌

Ndugai nje❌

Mpango nje❌

Sasa Polepole bado ana chake hapo? Tena ametupwa huko Cuba, hopeless region!

Nasema hivi kwa sababu hata sababu za kujiuzulu alizotoa hazina mashiko yoyote kwa mtu kama yeye, hasa ikizingatiwa yeye na hao hapo juu ndiyo waaasisi wa aina hii ya uongozi tulionao kwa sasa, uongozi uliokaa ki imla imla!

Mwamba kaamua tu kama mbwai na iwe mbwai, bora niyamwage angali ya moto ila nitahakikisha yanamrukia na mpishi kiaina.

View attachment 3404440
Kwa sasa wale timu magu ndo wameamua kuanzisha timu yao pamoja na wanaokatwa yaani ile ccm ya 2020 kwa sasa ndowanakaq pembeni utaona ccm ya akina baba levo na jakote
 
Back
Top Bottom