McLaren
JF-Expert Member
- Feb 19, 2025
- 1,170
- 3,743
Wakuu,
Baada ya kuambiwa kuwa hana uhalali wa kuzungumzia masuala ya CCM maana hana muda mrefu katika chama hicho, Pole pole leo amejotokeza kuhoji kuwa walitaka akae muda gani katika chama hicho ili ndio aweze kukosoa
Polepole anasema kuwa kuna wanataka wambague kwa sababu ya hoja ya kutokaa muda mrefu mrefu ndani ya CCM