Nafasi anayo tele atuambie sasa watekaji ni akina nani.. Wanatumwa na nani mfadhili mkuu ni nani na waliopotea wako wapiPolepole anaendelea kulifungua Taifa polepole.
Polepole ni kada wa juu wa CCM na anafahamu mambo mengi sana ya ndani kuhusu CCM. Ni vyema tukampa nafasi apate kutufahamisha mengi tusiyoyajua kuhusu uhuni wa CCM katika nchi hii.
Karibu ndugu Polepole tunakusikiliza kwa makini.
Uzuri wa Balozi Pole Pole hana mgongano wa maslahi wala utajiri binafsi useme watapata pa-kumbania.Polepole anaendelea kulifungua Taifa polepole.
Polepole ni kada wa juu wa CCM na anafahamu mambo mengi sana ya ndani kuhusu CCM. Ni vyema tukampa nafasi apate kutufahamisha mengi tusiyoyajua kuhusu uhuni wa CCM katika nchi hii.
Karibu ndugu Polepole tunakusikiliza kwa makini.
Ni Samia huyu huyu alichakachua akiwa mgombea mwenza.Mbona hajasema uchaguzi wa 2020 nani aliuchakachua? Au walishinda kwa kishindo? Hapa kuna kitu mnatapeliwa
mbona halishasema sanaAgusie mazingira ya kifo cha Rais John Pombe Magufuli na upatikanaji wa awamu ya sita kama havina uhusiano na wahuni.
Huu ndio muda mzuri wa kufunguka na kuweka hadharani yote yaliyo sirini.
na bado anakipigia chama chake chapuo kuendelea kuongoza nchi hii?Ni Samia huyu huyu alichakachua akiwa mgombea mwenza.
HATOGOMBEAna bado anakipigia chama chake chapuo kuendelea kuongoza nchi hii?
Probably ni mbinu za vita tu.na bado anakipigia chama chake chapuo kuendelea kuongoza nchi hii?
nani?HATOGOMBEA
Hapo unatakiwa ujumlishe tu.Mbona hajasema uchaguzi wa 2020 nani aliuchakachua? Au walishinda kwa kishindo? Hapa kuna kitu mnatapeliwa
kama na wenyewe walipiga - mbona kaongopea umma hapa kazi kwenye hizi harakati zake? kwamba ulikua fairHapo unatakiwa ujumlishe tu.
How?wakati ashachukua formHATOGOMBEA