CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 21,737
- 42,892
Kilambamavi Lucas MwashambwaUmesamehewa makosa yako yote bure kabisa maana hujui ulitendalo

🚮Polepole apuuzwa na Watanzania na kuonekana ni mnafiki na mbaguzi
Na akirudi anapiga pale pale dadeqPolepole kashapiga kwenye mshono kazi kwenu ,mkishupaza shingo atarudi tena.
#KATAA_WAHUNI.
Huyu Rais aliyeko ni awamu ya tano,acha kupotosha. Awamu zinabadilishwa na uchaguzi mkuu tu,na ikiwa itatokea chama kilichokuwepo Madarakani kama ccm kikaambiwa kimeshinda kama kilivyotaka bila kujali kimeshindaje haki au dhuluma kama kinaingia kwenye miaka yao iliyobaki awamu yao haibadiliki jina. Ukiita Rais wa awamu ya sita ni lini tulifanya uchaguzi wa awamu ya sita?? Kwa hiyo uchaguzi ukifanyika mwaka huu atachaguliwa Rais wa awamu ya sita na ya saba?? Namuunga mkono Polepole pamoja na mapungufu yake ya wakati JPM.Ndugu zangu Watanzania,
Kwa hakika watanzania wa leo siyo wa mwaka 1961 , Watanzania wa leo hawadanganywi wala kudanganyika kwa porojo za mdomoni na maneno ya uongo na uzushi, watanzania wa leo siyo manyumbu au makasuku wa kuimbishwa uongo ,uzushi na kupandikizwa chuki na uchonganishi.
Watanzania wa leo wanajua kupima ukweli na uongo,wanajua kila kitu kinachoendelea hapa Nchini. Huwezi kuwamezesha sumu ,huwezi kuwapandikiza chuki na wala huwezi kuzusha jambo la uongo na ukasikilizwa na kuungwa mkono.
Polepole kwa chuki zake Binafsi,kwa ubaguzi wake na kutumiwa na genge lenye uroho na uchu wa madaraka akajikurupukia zake kutoka huko atokako kutaka kuja kupandikiza chuki ,uongo, uzushi , uchonganishi,fitina na migawanyiko hapa Nchini kwa maneno ya uongo,uzushi na uchonganishi.
Akiwa na lengo la kutaka Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania achukiwe na watanzania wote na kuonekana ni adui wa Taifa letu. Kitu ambacho hata hivyo watanzania wakang'amua na kuelewa hila na chuki alizotaka kupandikiza polepole.
Watu wakajiuliza huyu huyu polepole wa awamu ya Tano mwenye kila aina ya kiburi ,dharau na kejeli anaweza vipi na kupata wapi ujasiri wa kuja kuongea haya kama hana chuki binafsi na ubaguzi? Watu wakasema kwanini iwe leo na kwanini iwe sasa? Wakajiuliza je Rais Samia alipitishwa lini kugombea Urais? Je alipitishwa na kikao kipi? Je kwanini hakujiuzuru wakati huo? Kwanini iwe sasa?
Wakapata majibu kuwa tatizo ni Urais na uchu wa madaraka wa genge na kikundi kilicho nyuma ya polepole kinachotakani kunyakua Urais kwa maslahi yake binafsi na kutumbua Minofu ya Taifa hili kwa maslahi yake binafsi. Watu wakasema huyu polepole kamwe hawezi kuwapandikiza chuki watanzania ili wamchukie Rais Samia ilihali kila mmoja ameona kazi kubwa aliyoifanya ndani ya muda mfupi katika ujenzi wa Taifa letu.
Ndio maana amepuuuzwa na watanzania na hakuna mwenye habari naye wala kujadili habari zake wala kuhangaika naye.
Kwa hakika usishindane na aliyeinuliwa na kupewa kibali na Mungu. Rais Samia ni Mbarikiwa wa Mungu aliyepewa kibali na Mungu cha kuongoza Taifa hili. Hawezi kushushwa na mkono wa mwanadamu kwenye chuki binafsi aina ya polepole na genge lake.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Wewe ndio Wa kupuzwa kwanza ni mnafiki na hautufai nyie mnajiita machawa mmeharibu Taifa na kumshushia Rais HESHIMA hamfai mnajali uchonganishi nikipanda cheo mmoja badala ya mwingine utajuta na futa bandiko lakoNdugu zangu Watanzania,

Yeah ni KUPIGA Kwenye mshono tu na kuufumua.Na akirudi anapiga pale pale dadeq View attachment 3415876
Ni sahihi watanzania wa leo sio wa mwaka 1961, ndo maana hawaitaki tena CCM, wanajua kuchuja hizi propaganda zenu na wanaona ni mashudu kabisa. Ndugu zao, marafiki zao, jirani zao, jamaa zao walitekwa, wakauwawa na wengine wakapotezwa kabisa. Hawajawahi kumsikia mama yako, au kiongozi yeyote mkubwa nchini akitoka hadharani na kukemea kwa nguvu, na hata kuwawajibisha viongozi wazembe akiwemo waziri wa mambo ya ndani na IGP, badala yake waliambiwa hizo ni drama na kwamba kifo ni kifo tu. Wameyatunza moyoni, ipo siku watayatoa nje. Pia wanakumbuka mama yako alipoita katiba yetu kuwa ni kijitabu tu, hawakumbuki mara ya mwisho kumsikia mama yako akikemea Rushwa na ufisadi ilikua ni lini, wanaelewa sana kua unafikiria kwa kutumia mdomo badala ya ubongo. So wanakupuuza tu, Watanzania wa leo sio wa kuhongwa na tisheti, baiskeli na kanga.Ndugu zangu Watanzania,
Kwa hakika watanzania wa leo siyo wa mwaka 1961 , Watanzania wa leo hawadanganywi wala kudanganyika kwa porojo za mdomoni na maneno ya uongo na uzushi, watanzania wa leo siyo manyumbu au makasuku wa kuimbishwa uongo ,uzushi na kupandikizwa chuki na uchonganishi.
Watanzania wa leo wanajua kupima ukweli na uongo,wanajua kila kitu kinachoendelea hapa Nchini. Huwezi kuwamezesha sumu ,huwezi kuwapandikiza chuki na wala huwezi kuzusha jambo la uongo na ukasikilizwa na kuungwa mkono.
Polepole kwa chuki zake Binafsi,kwa ubaguzi wake na kutumiwa na genge lenye uroho na uchu wa madaraka akajikurupukia zake kutoka huko atokako kutaka kuja kupandikiza chuki ,uongo, uzushi , uchonganishi,fitina na migawanyiko hapa Nchini kwa maneno ya uongo,uzushi na uchonganishi.
Akiwa na lengo la kutaka Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania achukiwe na watanzania wote na kuonekana ni adui wa Taifa letu. Kitu ambacho hata hivyo watanzania wakang'amua na kuelewa hila na chuki alizotaka kupandikiza polepole.
Watu wakajiuliza huyu huyu polepole wa awamu ya Tano mwenye kila aina ya kiburi ,dharau na kejeli anaweza vipi na kupata wapi ujasiri wa kuja kuongea haya kama hana chuki binafsi na ubaguzi? Watu wakasema kwanini iwe leo na kwanini iwe sasa? Wakajiuliza je Rais Samia alipitishwa lini kugombea Urais? Je alipitishwa na kikao kipi? Je kwanini hakujiuzuru wakati huo? Kwanini iwe sasa?
Wakapata majibu kuwa tatizo ni Urais na uchu wa madaraka wa genge na kikundi kilicho nyuma ya polepole kinachotakani kunyakua Urais kwa maslahi yake binafsi na kutumbua Minofu ya Taifa hili kwa maslahi yake binafsi. Watu wakasema huyu polepole kamwe hawezi kuwapandikiza chuki watanzania ili wamchukie Rais Samia ilihali kila mmoja ameona kazi kubwa aliyoifanya ndani ya muda mfupi katika ujenzi wa Taifa letu.
Ndio maana amepuuuzwa na watanzania na hakuna mwenye habari naye wala kujadili habari zake wala kuhangaika naye.
Kwa hakika usishindane na aliyeinuliwa na kupewa kibali na Mungu. Rais Samia ni Mbarikiwa wa Mungu aliyepewa kibali na Mungu cha kuongoza Taifa hili. Hawezi kushushwa na mkono wa mwanadamu kwenye chuki binafsi aina ya polepole na genge lake.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
98% wamewmuunga mkono ingawa wakati wa magufuli alikuwa shetani mkubwa...kwa hili ana watu wengi nyuma yake....jidanganye. Mtasaidiwa na polisi short of that anasepaNdugu zangu Watanzania,

Ndugu zangu Watanzania,

Hivi zaidi ya hii mipasho kuna hata mmoja amejibu hoja zake kwa weledi?Ndugu zangu Watanzania,

Waliopuuzwa ni wahuni waliojificha kwenye mgongo wa CCM, Chawa mtambue kuwa CCM siyo mali yenu ni mali ya wakulima na wafanyakazi wa Nchii hii. Iko siku chama kitarudi kwa wenyewe. Nyie chawa na wahuni hao wenzenu majizi yaliyodandia na kukiteka chama, jiandaeni your days are numbered. Heri ya Balozi Dr HPP yeye ametimiza wajibu wake hana deni kwa Watanzania wala kwa wana CCM halisi kama yeye.watanzania chawa kama nyie
Kakataliwa Bibi yenu anayelazimishwa kupendwa na kusifiwa na chawa wake huku akipakwa mafuta kwa mgongo wa chupa na wahuni waliomzunguka ili wazidi kutorosha rasilimali za Taifa hili. Itakuja kutokea kama ile iliyomkumba Rais wa mwisho wa Romania ya Kikomunist na Familia yake wakati wananchi walipoamua kuwa Basi. Na hapa kwetu uonevu na majivuno ya utawala usiosikliza wananchi utakuja kumalizika hivyo.Sauti ya watu, sauti ya Mungu..... Kakataliwa