Ndugu zangu Watanzania,
Kwa hakika watanzania wa leo siyo wa mwaka 1961 , Watanzania wa leo hawadanganywi wala kudanganyika kwa porojo za mdomoni na maneno ya uongo na uzushi, watanzania wa leo siyo manyumbu au makasuku wa kuimbishwa uongo ,uzushi na kupandikizwa chuki na uchonganishi.
Watanzania wa leo wanajua kupima ukweli na uongo,wanajua kila kitu kinachoendelea hapa Nchini. Huwezi kuwamezesha sumu ,huwezi kuwapandikiza chuki na wala huwezi kuzusha jambo la uongo na ukasikilizwa na kuungwa mkono.
Polepole kwa chuki zake Binafsi,kwa ubaguzi wake na kutumiwa na genge lenye uroho na uchu wa madaraka akajikurupukia zake kutoka huko atokako kutaka kuja kupandikiza chuki ,uongo, uzushi , uchonganishi,fitina na migawanyiko hapa Nchini kwa maneno ya uongo,uzushi na uchonganishi.
Akiwa na lengo la kutaka Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania achukiwe na watanzania wote na kuonekana ni adui wa Taifa letu. Kitu ambacho hata hivyo watanzania wakang'amua na kuelewa hila na chuki alizotaka kupandikiza polepole.
Watu wakajiuliza huyu huyu polepole wa awamu ya Tano mwenye kila aina ya kiburi ,dharau na kejeli anaweza vipi na kupata wapi ujasiri wa kuja kuongea haya kama hana chuki binafsi na ubaguzi? Watu wakasema kwanini iwe leo na kwanini iwe sasa? Wakajiuliza je Rais Samia alipitishwa lini kugombea Urais? Je alipitishwa na kikao kipi? Je kwanini hakujiuzuru wakati huo? Kwanini iwe sasa?
Wakapata majibu kuwa tatizo ni Urais na uchu wa madaraka wa genge na kikundi kilicho nyuma ya polepole kinachotakani kunyakua Urais kwa maslahi yake binafsi na kutumbua Minofu ya Taifa hili kwa maslahi yake binafsi. Watu wakasema huyu polepole kamwe hawezi kuwapandikiza chuki watanzania ili wamchukie Rais Samia ilihali kila mmoja ameona kazi kubwa aliyoifanya ndani ya muda mfupi katika ujenzi wa Taifa letu.
Ndio maana amepuuuzwa na watanzania na hakuna mwenye habari naye wala kujadili habari zake wala kuhangaika naye.
Kwa hakika usishindane na aliyeinuliwa na kupewa kibali na Mungu. Rais Samia ni Mbarikiwa wa Mungu aliyepewa kibali na Mungu cha kuongoza Taifa hili. Hawezi kushushwa na mkono wa mwanadamu kwenye chuki binafsi aina ya polepole na genge lake.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Suluhu became a development officer with the regional
Zanzibar government in 1988. She became a project manager at the
World Food Programme. In the 1990s, she was put in charge of a body that regulates non-governmental organisations in Zanzibar.
[1]
Political career
In 2000, Suluhu became a special seat member of the
Zanzibar House of Representatives with the
Chama Cha Mapinduzi (CCM) party, where she was appointed Zanzibar's Minister for Youth Employment, Women and Children.
[1][6] While in this position, she ended the prohibition on new mothers returning to school.
[7] She was the only high-ranking woman minister in the cabinet and was treated less seriously by her male colleagues because she was a woman.
[5] She was re-elected in 2005 and was appointed as Minister for Tourism and Trade Investment.
[1][5]
In 2010, Suluhu sought election to the
National Assembly, standing in the parliamentary constituency of Makunduchi and winning by more than 80%.
[5] President
Jakaya Kikwete appointed her as the
Minister of State for Union Affairs.
[8] In 2014, she was elected as the Vice-Chairperson of the Constituent Assembly tasked with drafting the country's new constitution.
[9]
Suluhu was the vice-presidential candidate for the CCM in the
2015 general election, along with presidential candidate
John Magufuli. She was an unexpected choice, as several more prominent and influential politicians were passed on for the role.
[7][10] She was the first female running mate in the party's history.
[11] They won the election, and they were sworn in on 5 November 2015.
[12] Suluhu became the first female
Vice-President of Tanzania. A dispute emerged between Magufuli and Suluhu in 2016 in which questions of her loyalty were raised, but Suluhu then made public statements in support of Magufuli.
[1] Magufuli and Suluhu were re-elected in the
2020 general election, though the victory was called into question after allegations of
electoral fraud by independent observers.
[1][13]