Polepole apuuzwa na Watanzania na kuonekana ni mnafiki na mbaguzi

Huyu Rais aliyeko ni awamu ya tano,acha kupotosha. Awamu zinabadilishwa na uchaguzi mkuu tu,na ikiwa itatokea chama kilichokuwepo Madarakani kama ccm kikaambiwa kimeshinda kama kilivyotaka bila kujali kimeshindaje haki au dhuluma kama kinaingia kwenye miaka yao iliyobaki awamu yao haibadiliki jina. Ukiita Rais wa awamu ya sita ni lini tulifanya uchaguzi wa awamu ya sita?? Kwa hiyo uchaguzi ukifanyika mwaka huu atachaguliwa Rais wa awamu ya sita na ya saba?? Namuunga mkono Polepole pamoja na mapungufu yake ya wakati JPM.
 
Wewe ndio Wa kupuzwa kwanza ni mnafiki na hautufai nyie mnajiita machawa mmeharibu Taifa na kumshushia Rais HESHIMA hamfai mnajali uchonganishi nikipanda cheo mmoja badala ya mwingine utajuta na futa bandiko lako
 
Ni sahihi watanzania wa leo sio wa mwaka 1961, ndo maana hawaitaki tena CCM, wanajua kuchuja hizi propaganda zenu na wanaona ni mashudu kabisa. Ndugu zao, marafiki zao, jirani zao, jamaa zao walitekwa, wakauwawa na wengine wakapotezwa kabisa. Hawajawahi kumsikia mama yako, au kiongozi yeyote mkubwa nchini akitoka hadharani na kukemea kwa nguvu, na hata kuwawajibisha viongozi wazembe akiwemo waziri wa mambo ya ndani na IGP, badala yake waliambiwa hizo ni drama na kwamba kifo ni kifo tu. Wameyatunza moyoni, ipo siku watayatoa nje. Pia wanakumbuka mama yako alipoita katiba yetu kuwa ni kijitabu tu, hawakumbuki mara ya mwisho kumsikia mama yako akikemea Rushwa na ufisadi ilikua ni lini, wanaelewa sana kua unafikiria kwa kutumia mdomo badala ya ubongo. So wanakupuuza tu, Watanzania wa leo sio wa kuhongwa na tisheti, baiskeli na kanga.
Mpe familia yako aitawale ila sisi watanzania tumesema big NO.
 
Kwa sasa polepole ni jiwe la kujikwaa na mlivyolewa sifa mmejikwaa vibaya hadi aibu
 
98% wamewmuunga mkono ingawa wakati wa magufuli alikuwa shetani mkubwa...kwa hili ana watu wengi nyuma yake....jidanganye. Mtasaidiwa na polisi short of that anasepa
 
 
Hivi zaidi ya hii mipasho kuna hata mmoja amejibu hoja zake kwa weledi?
Your browser is not able to display this video.
 
Your browser is not able to display this video.
 
Your browser is not able to display this video.
 
watanzania chawa kama nyie
Waliopuuzwa ni wahuni waliojificha kwenye mgongo wa CCM, Chawa mtambue kuwa CCM siyo mali yenu ni mali ya wakulima na wafanyakazi wa Nchii hii. Iko siku chama kitarudi kwa wenyewe. Nyie chawa na wahuni hao wenzenu majizi yaliyodandia na kukiteka chama, jiandaeni your days are numbered. Heri ya Balozi Dr HPP yeye ametimiza wajibu wake hana deni kwa Watanzania wala kwa wana CCM halisi kama yeye.
 
Sauti ya watu, sauti ya Mungu..... Kakataliwa
Kakataliwa Bibi yenu anayelazimishwa kupendwa na kusifiwa na chawa wake huku akipakwa mafuta kwa mgongo wa chupa na wahuni waliomzunguka ili wazidi kutorosha rasilimali za Taifa hili. Itakuja kutokea kama ile iliyomkumba Rais wa mwisho wa Romania ya Kikomunist na Familia yake wakati wananchi walipoamua kuwa Basi. Na hapa kwetu uonevu na majivuno ya utawala usiosikliza wananchi utakuja kumalizika hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…