Polepole apuuzwa na Watanzania na kuonekana ni mnafiki na mbaguzi

Huu uzi wangapi unamuongelea mtu aliyepuuzwa? Unaacha kunadi Ilani🤣🤣🤣wewe ni mzima kweli


No reform No Election
 
Mm n familia yangu n ukoo wangu wooote hatujambeza zaidi tunaona ni shujaa. Alie goma kula asali n maziwa.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Kapuuzwa 😁😁😁 angalia huku
 

Attachments

  • Screenshot_20250722-173233_YouTube Lite.jpg
    85.2 KB · Views: 26
Kwa kichwa gani cha kumjibu pole pole.
Bumunda lala tu
 
CCM imetengeneza vijana wa hovyo sana kama hili. Rubbish
 
CCM imetengeneza vijana wa hovyo sana kama hili. Rubbish
 
...Watanzania Wangapi wamempuuza Kwa Kusema Ukweli ??...
 
Tunamheshimu Humphrey Polepole, ila Lucas Mwashambwa na raisi wake wa viti maalum hawatoboi August.
No reform no election
 
Zezeta la mama nakuuliza swali moja.

Humu huwa mnatuwekea takwimu za mabilioni kuwa kayatoa huyo mama yenu mkisema amejenga miradi.

Sasa kama katoa mabilioni na anakubalika anaogopa nini kushindanishwa na watu wengine ?
 
WATANZANIA WA JAMII FORUMS NAWAOMBA NA KUWASHAURI WATU WA AINA HII TUWAPUZE NA KUWAPOTEZEA MAANA CHOCHOTE MNACHOANDIKA KWENYE UZI ZAO NDO KINACHOWAPUSH KUENDELEA KUPOST MAUONGO, MAUONGO YAKISEMWA SANA HUGEUKA KWELI KWA MUDA NA MAZOEA HUTENGENEZA TABIA, WANATUONA WAJINGA SANA WAO WANAFAIDI MATUNDA YA KICHAWA (kiasi kidogo sana) KUUZA UTU WAO, SISI SIO WAJINGA NA TUNA AKILI YA KUJUA MEMA NA MAOVU, PLZ TUACHENI KULEA UJINGA TUIPENDE NCHI YETU NI HAKI YETU WOTE KUFAIDI HII NCHI SIO KWA WACHACHE TU NI YETU WOTE,
 
Ndio maana amepuuuzwa na watanzania na hakuna mwenye habari naye wala kujadili habari zake wala kuhangaika naye.
Mkuu, huo utafiti umeufanyia wapi? Unaweza kutuletea terms of reference za urafiti wako? Kama huna data za kuthibitisha utafiti wako, basi mawazo yako usiyafanye kuwa ni mawazo ya watanzania. Sisi watanzania hatujakutuma utujumuishe kwenye mawazo yako, maana haujatuuliza chochote kuhusu Polepole.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…