Lucas Mwashambwa wewe unasemaga ni mkulima ila kila siku kushinda kwenye mitandao. Hebu siku moja elimu kuhusu kuchagua mbegu bora au kupata mavuno mengiNdugu zangu Watanzania,
Kwa hakika watanzania wa leo siyo wa mwaka 1961 , Watanzania wa leo hawadanganywi wala kudanganyika kwa porojo za mdomoni na maneno ya uongo na uzushi, watanzania wa leo siyo manyumbu au makasuku wa kuimbishwa uongo ,uzushi na kupandikizwa chuki na uchonganishi.
Watanzania wa leo wanajua kupima ukweli na uongo,wanajua kila kitu kinachoendelea hapa Nchini. Huwezi kuwamezesha sumu ,huwezi kuwapandikiza chuki na wala huwezi kuzusha jambo la uongo na ukasikilizwa na kuungwa mkono.
Polepole kwa chuki zake Binafsi,kwa ubaguzi wake na kutumiwa na genge lenye uroho na uchu wa madaraka akajikurupukia zake kutoka huko atokako kutaka kuja kupandikiza chuki ,uongo, uzushi , uchonganishi,fitina na migawanyiko hapa Nchini kwa maneno ya uongo,uzushi na uchonganishi.
Akiwa na lengo la kutaka Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania achukiwe na watanzania wote na kuonekana ni adui wa Taifa letu. Kitu ambacho hata hivyo watanzania wakang'amua na kuelewa hila na chuki alizotaka kupandikiza polepole.
Watu wakajiuliza huyu huyu polepole wa awamu ya Tano mwenye kila aina ya kiburi ,dharau na kejeli anaweza vipi na kupata wapi ujasiri wa kuja kuongea haya kama hana chuki binafsi na ubaguzi? Watu wakasema kwanini iwe leo na kwanini iwe sasa? Wakajiuliza je Rais Samia alipitishwa lini kugombea Urais? Je alipitishwa na kikao kipi? Je kwanini hakujiuzuru wakati huo? Kwanini iwe sasa?
Wakapata majibu kuwa tatizo ni Urais na uchu wa madaraka wa genge na kikundi kilicho nyuma ya polepole kinachotakani kunyakua Urais kwa maslahi yake binafsi na kutumbua Minofu ya Taifa hili kwa maslahi yake binafsi. Watu wakasema huyu polepole kamwe hawezi kuwapandikiza chuki watanzania ili wamchukie Rais Samia ilihali kila mmoja ameona kazi kubwa aliyoifanya ndani ya muda mfupi katika ujenzi wa Taifa letu.
Ndio maana amepuuuzwa na watanzania na hakuna mwenye habari naye wala kujadili habari zake wala kuhangaika naye.
Kwa hakika usishindane na aliyeinuliwa na kupewa kibali na Mungu. Rais Samia ni Mbarikiwa wa Mungu aliyepewa kibali na Mungu cha kuongoza Taifa hili. Hawezi kushushwa na mkono wa mwanadamu kwenye chuki binafsi aina ya polepole na genge lake.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Bila shaka itakuwa wewe ni mhamiaji haramuMimi sio ndugu yako
Kwani umesikia wapi wanalima na usiku muda kama huuLucas Mwashambwa wewe unasemaga ni mkulima ila kila siku kushinda kwenye mitandao. Hebu siku moja elimu kuhusu kuchagua mbegu bora au kupata mavuno mengi
Ndugu zangu Watanzania,
Kwa hakika watanzania wa leo siyo wa mwaka 1961 , Watanzania wa leo hawadanganywi wala kudanganyika kwa porojo za mdomoni na maneno ya uongo na uzushi, watanzania wa leo siyo manyumbu au makasuku wa kuimbishwa uongo ,uzushi na kupandikizwa chuki na uchonganishi.
Watanzania wa leo wanajua kupima ukweli na uongo,wanajua kila kitu kinachoendelea hapa Nchini. Huwezi kuwamezesha sumu ,huwezi kuwapandikiza chuki na wala huwezi kuzusha jambo la uongo na ukasikilizwa na kuungwa mkono.
Polepole kwa chuki zake Binafsi,kwa ubaguzi wake na kutumiwa na genge lenye uroho na uchu wa madaraka akajikurupukia zake kutoka huko atokako kutaka kuja kupandikiza chuki ,uongo, uzushi , uchonganishi,fitina na migawanyiko hapa Nchini kwa maneno ya uongo,uzushi na uchonganishi.
Akiwa na lengo la kutaka Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania achukiwe na watanzania wote na kuonekana ni adui wa Taifa letu. Kitu ambacho hata hivyo watanzania wakang'amua na kuelewa hila na chuki alizotaka kupandikiza polepole.
Watu wakajiuliza huyu huyu polepole wa awamu ya Tano mwenye kila aina ya kiburi ,dharau na kejeli anaweza vipi na kupata wapi ujasiri wa kuja kuongea haya kama hana chuki binafsi na ubaguzi? Watu wakasema kwanini iwe leo na kwanini iwe sasa? Wakajiuliza je Rais Samia alipitishwa lini kugombea Urais? Je alipitishwa na kikao kipi? Je kwanini hakujiuzuru wakati huo? Kwanini iwe sasa?
Wakapata majibu kuwa tatizo ni Urais na uchu wa madaraka wa genge na kikundi kilicho nyuma ya polepole kinachotakani kunyakua Urais kwa maslahi yake binafsi na kutumbua Minofu ya Taifa hili kwa maslahi yake binafsi. Watu wakasema huyu polepole kamwe hawezi kuwapandikiza chuki watanzania ili wamchukie Rais Samia ilihali kila mmoja ameona kazi kubwa aliyoifanya ndani ya muda mfupi katika ujenzi wa Taifa letu.
Ndio maana amepuuuzwa na watanzania na hakuna mwenye habari naye wala kujadili habari zake wala kuhangaika naye.
Kwa hakika usishindane na aliyeinuliwa na kupewa kibali na Mungu. Rais Samia ni Mbarikiwa wa Mungu aliyepewa kibali na Mungu cha kuongoza Taifa hili. Hawezi kushushwa na mkono wa mwanadamu kwenye chuki binafsi aina ya polepole na genge lake.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Polepole anajua desturi za CCM inashangaza ndo wa kwanza kupinga desturi alizokuwa akizitetea alipokuwa mwenezi.Moja ya watu wachache sana ambao ni pro Samia ambao wanafikiri vyema ni wewe, sasa unaposema Polepole ni kirusi bila ya kusema ukirusi wake, napata shida kuendelea kukuweka kwenye kundi la wachache wanaojitambua walio pro Samia.
Wewe ni Mpumbavu Mmoja hivi- Mzee wa Buku 7 Kwenye kolido za LumumbaUmesamehewa makosa yako yote bure kabisa maana hujui ulitendalo
Hii mada ni kwa wenye akili Timamu tu. Kwa hiyo haikuhusu WeweWewe ni Mpumbavu Mmoja hivi- Mzee wa Buku 7 Kwenye kolido za Lumumba
Umemaliza kutibiwa?Oneni huyu taahira, khaaa, jamani..
Bora muhamiaji haramu kuliko weweBila shaka itakuwa wewe ni mhamiaji haramu
Wewe ni sawa na gaidi.Bora muhamiaji haramu kuliko wewe
Mimi nilipendekeza miaka miwili iliyopita kuwa CCM isimsimamishe Mama.Naona Sasa wote wamethibitisha kuwa akisimamishwa Mama tumekwisha kama taifa.Mange kishasema Mapinduzi yakumpindua Mama yenu kayaratibu Nchimbi, . Maadui wamekuwa wengi kuanzia January Makamba, Majaliwa,, Ummy, Polepole ,.. ni wengi ..sidhani km atatoboa nyie vilamba mavi mnashinda mitandaoni mkijifariji ..,
Unaware meaning Watanzania auNdugu zangu Watanzania,