GE2025 Polepole, Asante kwa ukweli wako kuhusu kiini macho cha Uchaguzi. Hoja ya tusishiriki, haina tija tena na Uchaguzi Upo!

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Kwani haya maigizo yalianza leo ? Tatizo usipokuwa Muigizaji na kubadilika kuwa Mtazamaji na ulishaonja tamu tamu inakuwa ngumu kumeza..., Anyway nilishasema kitambo sana.... (Maigizo yana tija pale tu unayemuigizia anafurahia tamthiliya)

 
....hiyo tarehe 29 October, twendeni tukaithibitishe CCM, maana uchaguzi tuliisha maliza kitambo, tunafanyiwa na hio mifumo, kama ulivyosema!.
Hivi inakuwaje watu tunashindwa kumsoma na kumuelewa Ndugu Paskali Mayalla kwa Hiki alichokiandika? Yeye hawezi kujificha kama wengine, msomeni maelezo yake katikati ya mistari mtaelewa dhamira yake...!
Kasema kudhibitisha....kuchagua ni mifumo! Mnataka awaelezeje???

Sote tukumbuke, Msemo wa '... Lakuambiwa uchanganye na za kwako...'
 
Sasa naelewa na naamn sisi mifugo ya kuzalisha uchumi wa watu wachache,

Tozo kila kona, dah! 😔
 
PM una exaggerate, sioni kama Tanzania inaweza kusambaratika simply because watu hawajaenda kupiga kura. Uongozi uliopo utaendelea na itabidi process ya uchaguzi ianze upya - kama vile tu uchaguzi ungekuwa umeairishwa

Na kama si hivyo, kwa kuwa Watanzania wanajua kile ambacho CCM siku zote imefanya, basi kama wanaikubali hiyo hali CCM waambiwe waendelee tu kuwa chama tawala, hakuna haja ya kusumbua watu kupanga foleni muda mrefu ili kuhalalisha uchaguzi batili
 
Sasa babu Mayala wanaenda kufanyaje kama kura zao hazina maana, kushiriki maigizo ya CCM au!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…