GE2025 Polepole, Asante kwa ukweli wako kuhusu kiini macho cha Uchaguzi. Hoja ya tusishiriki, haina tija tena na Uchaguzi Upo!

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Wahuni wamo mpaka JF
 
Bwana Pascal Mayalla, mimi kusema kweli nikiona umeandika utumbo nasikitika.

Kwa nini ushauri watu wafanye kitu ili mradi tu wamefanya?
Kuna athari nyingi sana kushiriki kiini macho ikiwa una uhakika ni kiini macho.

Wewe haujali muda? Pesa? Na hata utu wako?

Kuna wakati unatereza sana ndugu.
 
Nimekupata kwa hili igizo la kuwachora ccm. Inahitaji uelewe mzuri kujua ulichomaanisha kwenye hii post yako. Cdm wamechukua uamuzi sahihi kabisa wapewe maua yao.
 
Uandishi wa Paskali kama siku zote hamumuelewi basi mna shida ya kufikiri. Hiyo Post wapenda mapambio wanashangilia bila kujua wamebagazwa! Someni vizuri muelewe.
 
Uandishi wa Paskali kama siku zote hamumuelewi basi mna shida ya kufikiri. Hiyo Post wapenda mapambio wanashangilia bila kujua wamebagazwa! Someni vizuri muelewe.
Paskali ni sawa ni mdudu mmoja hivi anaitwa nanoli akiwa anatembea huwa anapendeza ila ukimgusa lazma unuke mwili mzima....

Kumuelewa paskali ni mpk uwe na akili ya namitukuvili.. Kuna nyoka ana vichwa viwili huwaga anatembelea kotekote.
 
Mtu mzima hovyo, buree kabisa.
 
 
Umeeleweka vema sana kwa wachache ila wakirudia kusoma na kutafakari kwa kina watakuelewa wengi.
 
We baba hebu tulia nyumbani ulee wajukuu!
Polepole ni shuhuds muhimu sana toka nchi hii ianzishwe!
Weye siyo mwelewa kumbe.
Hujui hicho alicho kidhibitisha Polepole ndilo chimbuko LA maumivu yote Taifa tunalo yapitia?
Kwamba watu wanatekwa, wanauliwa lkn watawala hawajali sababu CCM imeunga mfumo na INEC hivyo haina haha ya kusikiliza wanamchi tena!
We ndo unaongea utumbo wako hapa?
Kweli unasema kwakuwa CCM inaleta maendeleo basi tuiache iibe tu uchaguzi! Kweli? Kwanini tulidai uhuru today kes wakoloni sasa?
 
Naona Umeshafika bei ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…