GE2025 Polepole, Asante kwa ukweli wako kuhusu kiini macho cha Uchaguzi. Hoja ya tusishiriki, haina tija tena na Uchaguzi Upo!

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Wanabodi
Nimemsikiliza HP mwanzo mwisho, hoja zake ni za ukweli na za msingi sana kuhusu kiini macho cha uchauzi wa Tanzania.

Ushauri wake watu wasijitokeze kupiga kura mpaka kwanza upatikane muafaka wa kitaifa, ni ushauri tenge kama ulivyo uwanja tenge wa uchaguzi, it's a bit too little too late!.

Lori la semitrela lililobeba container la uchaguzi, liko kasi kwenye mteremko, huwezi kufunga breki likasimama ghafla, ukichuna breki za ghafla, ghafla the rate of change of velocity kutoka ni direct applied to the weight of the containers and takes place to the.direction la lori linakoelekea, hivyo ukichuna breki ghafla kwenye high speed kwenye mteremko mkali, kwanza tairi zitawaka moto kwa friction ya lami, gari litasimama ghafla, container zitapush mbele, lori itapinduka na kila kitu kitaparaganyika!.

Madam Watanzania tumekuwa tukifanyishwa igizo la uchaguzi na NEC huku tukifanyiwa kiini macho cha ushindi wa CCM kwenye uchaguzi siku zote na chaguzi zote bila kujua kuwa ni kiini macho, ila CCM ikishinda si hua inatuletea maendeleo ya kuonekanika?, na Watanzania tunayaona kwa macho yetu wenyewe haya maendeleo yanayoletwa na CCM?. Sasa tunachotaka taka ni nini?, uchaguzi mkuu huru na wa haki kwenye lindi la umasikini uliotopea, au igizo la uchaguzi na kutupatia maendeleo?.

Wengi humu huwa wanakuwa conscious kuhusu uchaguzi mwaka wa uchaguzi kama sasa, angalieni nilishauri nini kuhusu uchaguzi wa 2020 na nilishauri lini? Kwa kasi hii ya Magufuli, kuna haja Kufanya Uchaguzi wa Rais 2020?

Hapo angalieni nilisema nini kuhusu chaguzi zetu?.

Hivyo natoa wito kwa Watanzania, hiyo tarehe 29 October, twendeni tukaithibitishe tuu.CCM, maana uchaguzi tuliisha maliza kitambo, Pre GE2025 - LGE2024 - Mwana JF, Be The First to Know CCM Ndie The Overall Winner wa Uchaguzi Mkuu wa 2025 Kufuatia Ushindi Serikali za Mitaa。CCM Amekomba Almost Everything!

Tunafanyiwa na hiyo mifumo, kama ulivyosema!. Ile siku ile Nape alipoitoa siri hii, niliuliza kitu humu Pre GE2025 - Kwa kauli ya Nape kuhusu chaguzi zetu, anastahili kulaumiwa au kupongezwa kwa kuusema ukweli?, sasa yanaporudiwa na Polepole, mnashangaa nini?!.

Haya mambo akina sisi, tumeyasema sana humu

Mayala ni njaa
 
Muulizeni tu huyu pimbi, uchaguzi ujao anao ushupalia ameulinganisha na ule iliopita alipo kua mhusika na msukaji mkuu kwa matokeo.
Huyu hana lolote ni mtu mwenye tamaa tu hana principle au msimamo wa maadili.
Mwacheni tu ajifiche huko pangoni
 
Philosophical thoughts by Bishop Benson Kalikawe Lwakalinda Bagonza (PhD)

WOTE TUKO NJIAPANDA: Tupande gari gani?

Humphrey Polepole ametuweka njia panda sote. Anayedhani hayuko njia panda, yawezekana tayari ni abiria wa gari la mbele. Tutafakari:

1. Kuna watu usipowasikiliza, ni hasara. Ukiwasikiliza ni hasara pia. Humphrey Polepole ni mmoja wao. Usipomsikiliza unakosa mengi. Ukimsikiliza, anakushawishi kutenguka katika basdhi ya misimamo yako. Chagua kwa hekima.

2. Nani ni bora? Shetani aletaye habari njema au malaika aletaye habari mbaya?
Tuangalie kwa makini vipa umbele vyetu:
-Mungu/Taifa/Chama
Vs
-Chama/Taifa/Mungu

Chagua kwa hekima.

3. Twaweza kumpuuza Humphrey Polepole. Je tutapuuza madhara ya kumpuuza? Chagua kwa busara kati ya kupuuza huku usiweze kupuuza madhara ya upuuzi wako.
Kama anasema uwongo anamdanganya nani? Mungu? Wananchi? Yeye mwenyewe?

4. Kama ni kweli tufanyeje? Kama ni uwongo tufanyeje? Kwa nini aliyoyasema yanafanana na imani na uzoefu wetu? Kwa nini wanaosema aliyoyasema ni uwongo hata wao wanajiona ni waongo?

5. Viapo vyetu viko njiapanda: kukiuka kiapo kwa kusema kweli au kutunza kiapo kwa kuficha ukweli? Tunapoapa twamwapia mwanadamu au Mungu? Tukishupaza shingo (Impunity), twamfanyia Polepole, Katiba, Katiba, wananchi?

6. Hatujui tumefikaje hapa. Tuna uwezo wa kujua tutokeje. Tulinde kura moyoni? Tutiki wakati imeishatikiwa? Tusubiri reform?
Tupige kura kuamua kama tuchague au tusichague?

Unyenyekevu si udhaifu
TURUDI MEZANI
UKWELI ULIOCHELEWA NI BORA KULIKO UWONGO UNAOFARIJI.
HAKUNA TOBA ILIYOCHELEWA
 
Wanabodi
Nimemsikiliza HP mwanzo mwisho, hoja zake ni za ukweli na za msingi sana kuhusu kiini macho cha uchauzi wa Tanzania.

Ushauri wake watu wasijitokeze kupiga kura mpaka kwanza upatikane muafaka wa kitaifa, ni ushauri tenge kama ulivyo uwanja tenge wa uchaguzi, it's a bit too little too late!.

Lori la semitrela lililobeba container la uchaguzi, liko kasi kwenye mteremko, huwezi kufunga breki likasimama ghafla, ukichuna breki za ghafla, ghafla the rate of change of velocity kutoka ni direct applied to the weight of the containers and takes place to the.direction la lori linakoelekea, hivyo ukichuna breki ghafla kwenye high speed kwenye mteremko mkali, kwanza tairi zitawaka moto kwa friction ya lami, gari litasimama ghafla, container zitapush mbele, lori itapinduka na kila kitu kitaparaganyika!.

Madam Watanzania tumekuwa tukifanyishwa igizo la uchaguzi na NEC huku tukifanyiwa kiini macho cha ushindi wa CCM kwenye uchaguzi siku zote na chaguzi zote bila kujua kuwa ni kiini macho, ila CCM ikishinda si hua inatuletea maendeleo ya kuonekanika?, na Watanzania tunayaona kwa macho yetu wenyewe haya maendeleo yanayoletwa na CCM?. Sasa tunachotaka taka ni nini?, uchaguzi mkuu huru na wa haki kwenye lindi la umasikini uliotopea, au igizo la uchaguzi na kutupatia maendeleo?.

Wengi humu huwa wanakuwa conscious kuhusu uchaguzi mwaka wa uchaguzi kama sasa, angalieni nilishauri nini kuhusu uchaguzi wa 2020 na nilishauri lini? Kwa kasi hii ya Magufuli, kuna haja Kufanya Uchaguzi wa Rais 2020?

Hapo angalieni nilisema nini kuhusu chaguzi zetu?.

Hivyo natoa wito kwa Watanzania, hiyo tarehe 29 October, twendeni tukaithibitishe tuu.CCM, maana uchaguzi tuliisha maliza kitambo, Pre GE2025 - LGE2024 - Mwana JF, Be The First to Know CCM Ndie The Overall Winner wa Uchaguzi Mkuu wa 2025 Kufuatia Ushindi Serikali za Mitaa。CCM Amekomba Almost Everything!

Tunafanyiwa na hiyo mifumo, kama ulivyosema!. Ile siku ile Nape alipoitoa siri hii, niliuliza kitu humu Pre GE2025 - Kwa kauli ya Nape kuhusu chaguzi zetu, anastahili kulaumiwa au kupongezwa kwa kuusema ukweli?, sasa yanaporudiwa na Polepole, mnashangaa nini?!.

Haya mambo akina sisi, tumeyasema sana humu

Kwa heshima uliyokuwa nayo humu Jamvini - Najisikia Vibaya Kukukosoa, Lakini Kwa Sisi Tuliosoma Cuba Nishakuelewa Nini unamasnisha/ Ndugu Yangu NJAA Kama jina lako lilivyo kikwetu, Najua unahuma na kupuliza
 
Mzee Paskali
Wanabodi
Nimemsikiliza HP mwanzo mwisho, hoja zake ni za ukweli na za msingi sana kuhusu kiini macho cha uchauzi wa Tanzania.

Ushauri wake watu wasijitokeze kupiga kura mpaka kwanza upatikane muafaka wa kitaifa, ni ushauri tenge kama ulivyo uwanja tenge wa uchaguzi, it's a bit too little too late!.

Lori la semitrela lililobeba container la uchaguzi, liko kasi kwenye mteremko, huwezi kufunga breki likasimama ghafla, ukichuna breki za ghafla, ghafla the rate of change of velocity kutoka ni direct applied to the weight of the containers and takes place to the.direction la lori linakoelekea, hivyo ukichuna breki ghafla kwenye high speed kwenye mteremko mkali, kwanza tairi zitawaka moto kwa friction ya lami, gari litasimama ghafla, container zitapush mbele, lori itapinduka na kila kitu kitaparaganyika!.

Madam Watanzania tumekuwa tukifanyishwa igizo la uchaguzi na NEC huku tukifanyiwa kiini macho cha ushindi wa CCM kwenye uchaguzi siku zote na chaguzi zote bila kujua kuwa ni kiini macho, ila CCM ikishinda si hua inatuletea maendeleo ya kuonekanika?, na Watanzania tunayaona kwa macho yetu wenyewe haya maendeleo yanayoletwa na CCM?. Sasa tunachotaka taka ni nini?, uchaguzi mkuu huru na wa haki kwenye lindi la umasikini uliotopea, au igizo la uchaguzi na kutupatia maendeleo?.

Wengi humu huwa wanakuwa conscious kuhusu uchaguzi mwaka wa uchaguzi kama sasa, angalieni nilishauri nini kuhusu uchaguzi wa 2020 na nilishauri lini? Kwa kasi hii ya Magufuli, kuna haja Kufanya Uchaguzi wa Rais 2020?

Hapo angalieni nilisema nini kuhusu chaguzi zetu?.

Hivyo natoa wito kwa Watanzania, hiyo tarehe 29 October, twendeni tukaithibitishe tuu.CCM, maana uchaguzi tuliisha maliza kitambo, Pre GE2025 - LGE2024 - Mwana JF, Be The First to Know CCM Ndie The Overall Winner wa Uchaguzi Mkuu wa 2025 Kufuatia Ushindi Serikali za Mitaa。CCM Amekomba Almost Everything!

Tunafanyiwa na hiyo mifumo, kama ulivyosema!. Ile siku ile Nape alipoitoa siri hii, niliuliza kitu humu Pre GE2025 - Kwa kauli ya Nape kuhusu chaguzi zetu, anastahili kulaumiwa au kupongezwa kwa kuusema ukweli?, sasa yanaporudiwa na Polepole, mnashangaa nini?!.

Haya mambo akina sisi, tumeyasema sana humu

Mzee Paskali, umri wako ni mkubwa sana kuleta utani kama huu!
 
Leo unakuwa tofauti na mtu uliyewahi kumfananisha na Nyerere ktk moja ya nyuzi zako.
 
Madam Watanzania tumekuwa tukifanyishwa igizo la uchaguzi na NEC huku tukifanyiwa kiini macho cha ushindi wa CCM kwenye uchaguzi siku zote na chaguzi zote bila kujua kuwa ni kiini macho, ila CCM ikishinda si hua inatuletea maendeleo ya kuonekanika?, na Watanzania tunayaona kwa macho yetu wenyewe haya maendeleo yanayoletwa na CCM?. Sasa tunachotaka taka ni nini?, uchaguzi mkuu huru na wa haki kwenye lindi la umasikini uliotopea, au igizo la uchaguzi na kutupatia maendeleo?.
Hii ni ishara ya mtu mnafiq anayesimama kati ya watu wawili aking'ata huku na kupuliza kule. Ichunguze dhamiri yako vizuri bwana Paschal nafikiri inasema kitu sana kuhusu watanzania na kwanini tunashindwa kutoka hapa, ni kwasababu viongozi wetu ni watu wa aina yako. Wanapenda maandiko marefu ambayo mwisho wake hayasemi cha maana isipokuwa contraditions.
 
Uchaguzi wa kupoteza pesa bure ni wizi wa pesa za walipa kodi hakukuwa na haja ya kuwa na uchaguzi bora ccm ikae tu madarakani kidikiteta ije kutolewa na mandamano kwa Aibu
 
Back
Top Bottom