GE2025 Polepole, Asante kwa ukweli wako kuhusu kiini macho cha Uchaguzi. Hoja ya tusishiriki, haina tija tena na Uchaguzi Upo!

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Unasahau struggle za reform mara nyingi ni long term. Sio lazima tuwe hai matunda ya struggle yatakapo onekana. Kukata tamaa sio solution.
 
Umeeleweka,imeisha hiyo,kila mtu aangalie Nini Cha kuamua!
 
wewe ni mtu mjinga na mtu duni kabisa.... hapo umejaribu kung'ata na kupuliza, haueleweki, ila shida yako ni na wewe ukumbukwe siku moja, too bad hakuna anaeweza kukumbuka sababu sasa umekwisha zeeka.0
 
Fahari ya uzee ni kichwa chenye mvi na Hekima!Bora P.Mayala angenyamaza hapa hana tofauti na Lukas Mwashambwa na Tlaahtlaah!
 
Mayala ana miaka mingapi vile ! Hivi unawezaje kuwambia watu Wapige kura huku mshindi kashapatikana. Unapiga kura kwa ajiri ya nini na ili upate nini
 
Wasio na Akili hawawezi kukuelewa

In short unawananga ccm na Watanzania Kwa Ujinga wao wakushindwa kuwajibikia mambo na kuyabadilisha licha ya kwamba wanaona kabisa kuwa hawatendewi haki 😀😀😀
 
Wewe mzee tunakuheshimu sana bora hiyo heshima robo tunayokupa uipe Thamani kuliko nzima pumbavu itakayokuharibia utu wako

Shabhaaash!
 
Nadhani jamaa ana-operate hapa kwa kanuni inayoitwa Hegelian.

It means sometimes ukitaka kuona matokeo ya extreme right, lazima ujifanye uko extreme left.

Is that so Advocate?
 
Paskali katika ubora wake. Anauma na kupuliza. Anataka kusema lakini hajui aandike vipi na anaishia kuzungukazunguka tu katika mada zake nyingi alizokwisha kuziandika humu jamvini.
 
Paskali ni sawa ni mdudu mmoja hivi anaitwa nanoli akiwa anatembea huwa anapendeza ila ukimgusa lazma unuke mwili mzima....

Kumuelewa paskali ni mpk uwe na akili ya namitukuvili.. Kuna nyoka ana vichwa viwili huwaga anatembelea kotekote.
Na kweli, hujui anakwenda mbele au anarudi kinyumenyume!
 
Ulichoandika ni satire, sarcasm au sarakasi? Pia sio kazima gari ikiwa kwenye mteremko iwe kasi. Pia i awezekana alichosema Polepole ulishakisema, ila kidhana na kinadharia zaidi. Yeye kazungumza kivitendo na kwa facts. Hivyo tumpe maua yake.

Pia nakusoma sana kuhusu sakata la uchaguzi na pilika za HP naona kabisa mwendo wako ni kama yule mchambuzi wa soka wa Kaliua. No consitency.

Ila najua mada yako ni kwa vichwa smart
 
NIDA+NEC + CCM mifumo yao iko integrated, na unashauri watu wapige kura ili iweje? Viongozi wanao patikana kwa mfumo wa wizi watawezaje kuwajibika kwa wananchi? Matokeo yake ni kuwa maskini.
 
The late Nyerere aliamini ktk Research,hakua anaongea tuu, alivyosema " upinzani wa kweli katika nchi utatoka ndani ya CCM" watu wamelala bila kuwaza alimaanisha nn na kuyafanyia kazi maneno yake..it's going to happen
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…