Tetesi: Polepole asema CHADEMA ruksa kutumia Dodoma Convention Centre

Kama ni kweli,hii jambo siliungi mkono.

Mtawalipa,hela watachukua na masimango mtayapata.Hawachelewi kuwakejeli hawa watu kwa kutumia huo ukumbi na wanaweza hata kuja kuzusha msiyoyatarajia kutokana na kutumia huo ukumbi.

CHADEMA shirikianeni na hao kwa mambo mengine lakini sio hilo maana hawachelewi kuzusha maneno kama tuliwapa bei ndogo kuwasaidia,n.k
 
Boniface Makene ndio nani?
 
Hawa waliwahi kumtegeshea Slaa vinasa sauti akiwa bungeni Dodoma. Kwa chuki zao za kutisha watashindwa kutegesha vinasa sauti ili kuweza kujua nini kinazungumzwa na mikakati ya chama!? NGASTUKA!
Kwani ni mkutano wa ndani?
 
Kwenye red pametosha kuonesha kuwa bado una tatizo la elimu ,maana hakuna uadui katika siasa za nchi inayo jitanabaisha kuwa ni ya kidemokrasia isipo kuwa baadhi ya watu wenye elimu ndogo ya uraia na taaluma ndogo kichwani na wasio ijua siasa vyema ndio wanao kuwa na fikra na mawazo kama yako.

UPINZANI SIO UADUI NADHAN UKIPATA ELIMU NA UKAUNDOA HUO U KK PEKEE KICHWANI MWAKO NDIPO UTAONA KUWA KUMBE UPINZANI SIO UADUI BALI UPINZANI KUKUMBUSHA UWAJIBIKAJI KWA SERIKALI ILIYOPO MADARAKANI .
 
Hapana hapana ni bora kufanyia huo mkutano kwenye uwanja wa mpira kuliko ukumbi wa ccm
 
Huo ukumbi umejengwa kwa KODI za watanzania bila kujali itikadi hivyo sioni ajabu Chadema ama chama kingine tofauti na cccm wakatumia pia
 
Huo ukumbi umejengwa kwa KODI za watanzania bila kujali itikadi hivyo sioni ajabu Chadema ama chama kingine tofauti na cccm wakatumia pia
Naunga mkono hoja
 
Ukimbi wetu hakuna kuingia Hawa jamaa!! Wanaweza kuacha humo mapepo yao ya undumilakiwili!!! Acha kabisa!!!!waendage mikocheni kwenye ofisi za Luwasa!!
 
Kaka Kumbe una uadui?? Sio Jambo jema hilo mkuu
 
Du! Kumbe kunasiku simba na yanga watakula msosi pamoja siku ya mechi
 
Hawa waliwahi kumtegeshea Slaa vinasa sauti akiwa bungeni Dodoma. Kwa chuki zao za kutisha watashindwa kutegesha vinasa sauti ili kuweza kujua nini kinazungumzwa na mikakati ya chama!? NGASTUKA!
Dogo acha uongo
 
Hawa waliwahi kumtegeshea Slaa vinasa sauti akiwa bungeni Dodoma. Kwa chuki zao za kutisha watashindwa kutegesha vinasa sauti ili kuweza kujua nini kinazungumzwa na mikakati ya chama!? NGASTUKA!
Mkutano sio wa siri ni waa hadhara
 
Huo ukumbi umejengwa kwa KODI za watanzania bila kujali itikadi hivyo sioni ajabu Chadema ama chama kingine tofauti na cccm wakatumia pia
Kwani Chadema hawapewi hizo kodi za wananchi.?
 
View attachment 513462
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi, Humphrey Polepole amesema kuwa ni ruksa kwa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo ( CHADEMA) kutumia ukumbi wao wa mikutano maarufu kama 'Dodoma Convention Centre'.
Na ndio twarudi pale pale ofisi za Chademakwanza hazina hadhi, hasa hapa Dar, hawana ukumbi wao, hawana rasilimali za kutosha, kumbuka kimeanzishwa toka 28 May 1992, ni miaka 24, kaingia LOWASSA wapi! Kaingia @sumaye wapi! Sasa Chademakwanza iwe chadema kwanza basi, wajiimarishe kuwa na rasilimali, viongozi waache kuifanya chadema kama ATM tu, tena kutokana na mlengo wake kisiasa (Conservatism) kilitakiwa kiwe cha kitajiri haswa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…