Tetesi: Polepole asema CHADEMA ruksa kutumia Dodoma Convention Centre

Tetesi: Polepole asema CHADEMA ruksa kutumia Dodoma Convention Centre

Ukimbi wetu hakuna kuingia Hawa jamaa!! Wanaweza kuacha humo mapepo yao ya undumilakiwili!!! Acha kabisa!!!!waendage mikocheni kwenye ofisi za Luwasa!!
ukumbi wenu!!!?? na nani?? acha utoto wewe..unakuingizia dh. ngap kwa siku?
 
Na ndio twarudi pale pale ofisi za Chademakwanza hazina hadhi, hasa hapa Dar, hawana ukumbi wao, hawana rasilimali za kutosha, kumbuka kimeanzishwa toka 28 May 1992, ni miaka 24, kaingia LOWASSA wapi! Kaingia @sumaye wapi! Sasa Chademakwanza iwe chadema kwanza basi, wajiimarishe kuwa na rasilimali, viongozi waache kuifanya chadema kama ATM tu, tena kutokana na mlengo wake kisiasa (Conservatism) kilitakiwa kiwe cha kitajiri haswa...
chet feki..wapo wengi humu
 
View attachment 513462
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi, Humphrey Polepole amesema kuwa ni ruksa kwa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo ( CHADEMA) kutumia ukumbi wao wa mikutano maarufu kama 'Dodoma Convention Centre'.

Kauli hiyo imetolewa na Polepole kufuatia mazungumzo aliyofanya kwa njia ya simu na Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Aikael Mbowe tarehe 14 Mei 2017 juu ya uwezekano wa chama hicho kutumia ukumbi huo. Polepole amemwambia Mbowe kuwa CCM haioni uzito wa kutoa kibali kwa CHADEMA kutumia ukumbi huo ikiwa watawasilisha maombi rasmi kwa Katibu Mkuu Abdulrahman Kinana.

Hata hivyo, Polepole amemweleza Mbowe kuwa wataruhusiwa tu kuutumia ukumbi huo ikiwa watakubali masharti ya kutoweka alama za chama chao nje ya ukumbi huo isipokuwa sehemu ya ndani.

Tarehe 27 Mei 2017, CHADEMA watafanya Mkutano wa Kamati Kuu Mjini Dodoma na taarifa iliyotolewa na Msemaji wa chama hicho Boniface Makene haijabainisha ukumbi watakaotumka. Upo uwezekano kuwa Mbowe ametekeleza masharti aliyopewa na huenda mkutano huo utafanyika ndani ya ukumbi wa CCM.

MYTAKE: Pamoja na Uadui wangu na CHADEMA, nasupport msimamo wa Polepole.[/QUOTE
uadui na chadema kwani wamekula hela zako za rambirambi au sera zao na itikadi yao ndo vimekusababishia umasikini ulio nao
 
Kwakua chadema ni CCM B hakuna tatizo. Kama Senior timu haitumii uwanja , basi Junior timu ruksa kutumia.
 
Kwa nini CHADEMA hawawekezk kwenye majengo?
CCM walipewa bure pamoja na kuyatwaa kwa nguvu maeneo mengi,na pesa ya kujengea nyingi ilitoka kwenye serikali ya Mwl.Julius Nyerere.
Kwa mali za bure ambazo CCM inazo basi spidi yake ya uwekezaji kwa pesa yake ni ndogo sana,mwenge upite ndani ya chama uangaze jinsi matumbo yenu yanavyovimba wakati wajawazito wakilala "MCHONGOMA",na "MAPACHA".
 
siasi sio uadui...tatizo la wafuasi wa chadema ni kama mashabiki wa simba maana hawakawii kung'oa viti ustaarabu ni zero.
 
Back
Top Bottom