Tetesi: Polepole asema CHADEMA ruksa kutumia Dodoma Convention Centre

adui mkubwa wa chadema ni wewe lizaboni
 
Hawa waliwahi kumtegeshea Slaa vinasa sauti akiwa bungeni Dodoma. Kwa chuki zao za kutisha watashindwa kutegesha vinasa sauti ili kuweza kujua nini kinazungumzwa na mikakati ya chama!? NGASTUKA!
Halafu ni aibu kwa chadema kwenda kufanya mkutano kwenye ukumbi wa ccm, ni sawa na kuuaafisha ukumbi huo ambao kuna wadau wanasema ulijengwa kwa kutumia rasilimali za umma kupitia dili za wachina na serikali ya ccm.
 
hakuna kitu kama hicho, ccm kwanza ni wabaguzi, chuki zao za vyama zimefanya mpaka mitaani tuonane maadui
 
Siafiki kabisa ni bora wakaombe hata kwenye uwanja wa shule kuliko huko CCM
 
Hawa waliwahi kumtegeshea Slaa vinasa sauti akiwa bungeni Dodoma. Kwa chuki zao za kutisha watashindwa kutegesha vinasa sauti ili kuweza kujua nini kinazungumzwa na mikakati ya chama!? NGASTUKA!
Tangu lini fisi na mbuzi wakaishi zizi moja. Mbowe yuko hoi kifikra kwa sasa. Kila kitu kitanaswa kuanzia sauti hadi video
 
Kwa tarehe hiyo serekali ya CCM haitakuwa na kazi na ukumbi huo?.
 
Hawa waliwahi kumtegeshea Slaa vinasa sauti akiwa bungeni Dodoma. Kwa chuki zao za kutisha watashindwa kutegesha vinasa sauti ili kuweza kujua nini kinazungumzwa na mikakati ya chama!? NGASTUKA!
Yaani mmeingia kirahisi hivi kwenye propaganda ya Lizabon ya kudhalilisha Chadema, kiasi cha kujibu andishi lake kama vile ni kweli Mbowe kaomba ukumbi!
 
Yaani mmeingia kirahisi hivi kwenye propaganda ya Lizabon ya kudhalilisha Chadema, kiasi cha kujibu andishi lake kama vile ni kweli Mbowe kaomba ukumbi!
Mkuu, kwani wewe una uhakika kama Mbowe hajawasilisha maombi hayo?
 
Hamjaelewa mchezo uliochezwa hapa. Ikifika siku ya mkutano watasema ukumbi una matumizi mengine.
 
CCM hatuna Program siku hiyo. Ruksa CHADEMA kutumia ukumbi wetu
CCM haijawahi kuwa na huruma na CHADEMA au Chama chochote cha upinzani,hii huruma ya CCM kwa CHADEMA wameipata wapi?mpaka serekali ya CCM ikosekuwa na program na ukumbi unaowahusu wakati kumbi ambazo haziwahusu wakisikia CHADEMA wanataka kufanyia vikao vyao ni lazima serekali ya CCM iwe na kazi na ukumbi huo,na CCM hawajawahi kuineo huruma CHADEMA kwa kutoa ukumbi wao,na hata kuikanya serekali Yao kuacha unyanyasaji kwa CHADEMA,CCM hawajawahi kufanya hivyo.
 
ww kwel kilaza. wenye vyama vyao sio maadui ww mfata upepo ili ushibe eti ingawa cdm ni adui..... unaonesha ulivyo mwepes huko upstair
 
Kwa hiyo walikuwa wanawazuia mkutano ili wawakodishie ukumbiwa?au wanataka kurekodi wanayo
Yajadili?hii nchi CCM haitatolewa na chama kitakacho ongozwa na watu wa kilimanjaro,tutaishi kama mrema,mbatia na sasa mbowe,kuvunjika moyo na matumaini hewa.
ila tukipata msukuma mwenzako hapo vp? kpind nyerere we ungelimwa shaba na ukabila wako
Safi kabisa
 
CDM miaka yote hii hamna hata ukumbi wa mikutano
 
hujamaa cjui ndo liziboni atakua na mtindio wa ubongi kama sio bas cheti feki. BADALA KUWA NA UADUI NA UMASKINI WAKE ..ETI NI ADUI WA CHAMA. FOOLISH
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…