Polepole amesema mwenyewe kuwa yeye na wenzake aliowataja walitengeneza mfumo pale CCM na tume ya uchaguzi unaounganisha tume, CCM na NIDA ili kumsadia Magufuli kushinda uchaguzi 2020 kwa njia nyepesi, na mfumo huo ungetumika pia kama mgombea wake ndiye angeteuliwa kuwania Urais.
Kama kweli hili ni kweli polepole lazima ashitakiwe kwa uhalifu huu mkubwa kiasi hiki.
Mama Kaburu mkoloni toka Zanzibar alikuwa makamu wa Rais kama wewe ni mpenda kesi kama ccm basi washitaki wote waliokuwa madarakani kwenye utawala wa magufuliPolepole amesema mwenyewe kuwa yeye na wenzake aliowataja walitengeneza mfumo pale CCM na tume ya uchaguzi unaounganisha tume, CCM na NIDA ili kumsadia Magufuli kushinda uchaguzi 2020 kwa njia nyepesi, na mfumo huo ungetumika pia kama mgombea wake ndiye angeteuliwa kuwania Urais.
Kama kweli hili ni kweli polepole lazima ashitakiwe kwa uhalifu huu mkubwa kiasi hiki.
Wapenda kesi kesi wa ccm huwa hawajishitaki wenyewe kazi yao ni kuwashitaki chadema tu kwenye mahakama yao ya ccm iliyopo kisutuPale CCM wote ni wa kushtaki na kuwapeleka Jela kwa kifungo kirefu
Zanzibar tokea 1995 ibilisi wa ccm hawajawahi kushinda na pia Tanganyika yanafanya uchakachuaji kila konaDaaah kumbe Masisiemu huwa hayashindi kihalali
Ungemsikiliza Polepole vizuri ungemwelewa mfumo hauna shida shida ipo kwa wanaoushika sasa,maana SMG ni silaha Haina shinda kama matumizi na mtumishi kichwa kimetulia lakini akishika kichaa hapo ndio shida inapoanza.Polepole amesema mwenyewe kuwa yeye na wenzake aliowataja walitengeneza mfumo pale CCM na tume ya uchaguzi unaounganisha tume, CCM na NIDA ili kumsadia Magufuli kushinda uchaguzi 2020 kwa njia nyepesi, na mfumo huo ungetumika pia kama mgombea wake ndiye angeteuliwa kuwania Urais.
Kama kweli hili ni kweli Polepole lazima ashitakiwe kwa uhalifu huu mkubwa kiasi hiki.
CCM wapenda kesi kesi wajifungulie kesi wenyewe basiKwa alichokisema polepole maana yake hadi nida ya lissu imeshatiki october watu wana roho ngumu aisee
Ameshatubu na kuomba radhi wakushtakiwa ni hao waliobakiPolepole amesema mwenyewe kuwa yeye na wenzake aliowataja walitengeneza mfumo pale CCM na tume ya uchaguzi unaounganisha tume, CCM na NIDA ili kumsadia Magufuli kushinda uchaguzi 2020 kwa njia nyepesi, na mfumo huo ungetumika pia kama mgombea wake ndiye angeteuliwa kuwania Urais.
Kama kweli hili ni kweli Polepole lazima ashitakiwe kwa uhalifu huu mkubwa kiasi hiki.
Hii ni sawa na mbwa kubweka usiku kukuashiria kuna mwizi, wewe badala ya kupambana na mwizi unapambana na mbwa aliyebweka.Kama kweli hili ni kweli Polepole lazima ashitakiwe kwa uhalifu huu mkubwa kiasi hiki.