Kwanini wasikamatwe wale ambao hawajasema akiwemo Samia? Ukiongoka na kusema ukweli unapewa Immunity. Kwa hiyo Polepole automatically ana hiyo immunity ya kushtakiwa kwa sababu ametoa siri. Ni jukumu la vyombo vya usalama kuwahoji hao aliowasema.....Yeye ameshasema anachokifahamu, unataka aendelee kusema nini? Wewe ukienda kushtaki Police kuwa mihogo yako imeibiwa na ukataja mwizi, utakamatwa na uhojiwe kama mhalifu? Wakati mwingine ni vizuri kufikiri nje ya box. Hakuna whistleblower anayekamatwa kwa uhalifu, bali wanakamatwa wahalifu waliotajwa na huyo whistleblower.