CCM are well renowned dogs to be precise since 1977.CCM can not let the country go to the dogs.
Upuuzi mtupu haya majizi ya CCM yanayoiba na kuuza rasilimali za watanzania kwa kutumia syndicates ndio unasema wana uchungu na wananchi?Utakuwa ni ulevi na upumbavu kwelikweli kama ndani ya CCM kuna mtu anaeamini kwamba vyama vya upinzani viko tayari kukabidhiwa nchi kwa sasa.
We kilaza huna habari hata juzi kuna mkataba umesainiwa na mwekezaji anajizolea 80% huku nyie mkiachiwa mashimo baada ya miaka kadhaa na 20%.
CCM sio mmiliki wa Tanzania , watanzania ndio wenye umiliki na nchi yao sio genge dogo la watanguliza maslahi kama wewe ambao mpo tayari kuua mtu anayewafichua uchafu wenu na mbinu chafu juu ya nchi.Kama yupo mtu huyo awe kijana au mzee, mwanume au mwanamke ni mpumbavu kwelikweli. Sisi wote akiwamo Mwl. Nyerere (RIP) tunahitaji vyama 2 au 3 vikubwa vyenye njia mbadala za
Unazijua checks and balances wewe au umedandia tu hilo neno?kuwahudumia wananchi kwa namna bora kabisa vinavyofanyakazi ya checks and balance (watch
Unaona miaka hii 5 tu kulikuwa na bunge au kikaragosi cha executive kwenye kumbi za bunge?
Umeona kulikua na hoja gani za maana miaka yote 5 hao wahuni wakiwa wanatafuna pesa za walipakodi?
Una habari bunge lilikuwa na wabunge 19 wasio na chama na wamekingiwa kifua na kiti cha spika wanaendelea kufuja pesa za walipa kodi na CCM waligomea mgombea binafsi sasa hao 19 wengine ndio tumekuja kujua walisajiliwa kisirisiri CCM tangu 2022 na ikawa imefichwa gizani.
Bunge , mahakama na serikali hii hazina hizo checks and balances kwa namna yoyote mstari ni mmoja wanapiga magoti kwa mwenyekiti wa CCM.
Vyama vipi vinakinzana wakati ni upinzani katika makaratasi huku ni vyama pandikizi vya CCM ili kuhadaa wafadhili katika kujipatia mikopo.gogs) wa vyama vyenyewe kwa vyenyewe. Lakini ili kufikia hapo tunahitaji vyama ambavyo vyote vina uelekeo mmoja katika maswala ya umoja wetu, ukabila, udini, kujitegemea, utamaduni wetu na muungano wetu. Hatuwezi kuwa na vyama vinavyokianzana kwenye kuamini kwenye mambo
Hakuna amani bila haki , hakuna aliyebeza amani yoyote tendeni haki amani itakuja bila bunduki.haya.
Vyama vya upinzani vilivyoko bado vinabeza amani hii na utulivu huu tulionao, wako wanaodhani ni
Mzee Kibao , Soka , Dioniz Kipanya, Azory Gwanda hawa walivunja amani gani?hulka yetu tu kuwa na amani na utulivu, viko vyama vimeegemea kwenye ukabila na vingine kwenye udini,
Utulivu upi huo unaozungumza wewe mpuuzi ?
Utulivu unaozungumzia ni wa wewe na majizi wenzio kutafuna kodi za wananchi huku mkitaka wasichukue hatua?
Nenda katika familia za Mzee Kibao, Soka, Mdude kawaambie habari za amani na utulivu uone .
Hebu jifunze kuandika kwanza ni kuhubiri sio kuhubili.vinahubili dini kama njia ya kupata waungaji mkono. Kuna watu kwenye upinzani ambao ngome zao ziko Ulaya,
Wewe unahubiri CCM kubaki madarakani ingawa imekataliwa hivyo inatumia bunduki huku ukijifariji ni inakubalika na inalinda amani?
Ni wakidhani sio wakizani , jifunze kuandika tena nakukumbusha.Vatican na Marekani wakizani hawa wanatakiwa kuwa wanyapala wetu wa kutuelekeza pinda kusho, pinda kulia na rudi yuma au mbele;
Ni wanyapara sio wanyapala , kwani hujui CCM hadi sasa inataka watu wawe nyapara wao na kubaki na ujinga wa kutojua haki zao na kutofautisha hisani na haki?
Marekani ni lini wananchi walimpongeza rais kwa kuleta maji, umeme au ujenzi wa barabara?
Hapa hueleweki hata ulichoandika rudia kusoma tena.akili zao zimegotea hapo. Hawa utawasikia muda wote wakisema "the world is watching", maana yao ni kwamba wao wanabweka tu lakini mwenye mbwa yuko huko wanakosema wanatuangalia.
Unasema vyama vya upinzani vinaokoteza wagombea kutoka CCM umesahau juzi mwanaccm Shyrose Bhanji kalalamika amenyimwa nafasi ya kugombe huku wapinzani kutoka CHADEMA waliotimuliwa wakipewa nafasi ya kugombea.Vyma vya upinzani bado vinahitaji kuokoteza wagombea kutoka CCM wenye mawazo yaleyale yaliyotufikisha hapa tulipo, sasa kama unachukua mgombea kutoka CCM kwa kuona anafaa kuwa kiongozi mkuu kwanini usiichague CCM yenye watu wengi kama hao badala ya kuchukua mmoja tu? Hii ni sawa na kusema CCM kuna wenye akili wengi kule upinzani.
CCM sio benchmark ya kutoa wagombea na hao wanaookoteza ni madalali wa kisiasa waliosaini MoU za siri na CCM [ACT & CHAUMMA]
Ndio maana CHADEMA ilijitoa kwenye siasa za udalali January 21 mwaka huu.