Polepole ashitakiwe kwa uhalifu huu, kama anachosema ni kweli

Polepole amesema mwenyewe kuwa yeye na wenzake aliowataja walitengeneza mfumo pale CCM na tume ya uchaguzi unaounganisha tume, CCM na NIDA ili kumsadia Magufuli kushinda uchaguzi 2020 kwa njia nyepesi, na mfumo huo ungetumika pia kama mgombea wake ndiye angeteuliwa kuwania Urais.

Kama kweli hili ni kweli Polepole lazima ashitakiwe kwa uhalifu huu mkubwa kiasi hiki.

Tume na CCM ndo washitakiwe
 
Amekiuka na kiapo alichoapa "sitatoa Siri za serikali ....."
Anachosahau ni kwamba Kuna maisha baada ya uchaguzi, na inawezekana akaishi maisha ya hofu na kutangatanga kwa miaka 5 ijayo.
 
Baada ya kutafiti kwa muda mrefu nimegundua mleta mada ni mnufaika na mfanikishaji wa wizi wa kura 2020 sasa mimi namletea hizi video hapa na picha kwa upuuzi ulioitwa uchaguzi 2020 ambao umeacha makovu kwa watu wengi sana.

Kwa pamoja karibuni tulizomee hili jizi la kura lililokuja hapa kuwatetea wezi wenzie bila aibu.

Cc SAGAI GALGANO WALOLA VUNZYA brazaj Kalamu JokaKuu na wapenda haki wengine wote.
IMG_20201028_173703.jpg
5678901.jpg

View attachment 3454076View attachment 3454081
View attachment 3454082
View attachment 3454084
NO REFORM NO ELECTION.

Haya yote safari hii hakuna
 
MKuu hayo tuko nayo kwa korodani, hakuna kuyaachia hadi yateme bungo.

Angalia hapa kwa mwongozo zaidi:

TLS, Mwabukusi: "Mweleweni Polepole kwenye hoja yake ya mifumo ya CCM, INEC na NIDA kuhusiana na wizi wa chaguzi kiufundi."
 
Ameshatubu na kuomba radhi wakushtakiwa ni hao waliobaki
Sikutegemea jibu hili kutoka kwako. Kwa hiyo CHADEMA mtakuwa mnasamehe uhalifu kisa mtu kaomba msamaha akiwa mafichoni? Nyie huwa hamwongozi na sheria?
 
Polepole amesema mwenyewe kuwa yeye na wenzake aliowataja walitengeneza mfumo pale CCM na tume ya uchaguzi unaounganisha tume, CCM na NIDA ili kumsadia Magufuli kushinda uchaguzi 2020 kwa njia nyepesi, na mfumo huo ungetumika pia kama mgombea wake ndiye angeteuliwa kuwania Urais.

Kama kweli hili ni kweli Polepole lazima ashitakiwe kwa uhalifu huu mkubwa kiasi hiki.
Sasa ashitakiwe kwa kusema ukweli?
 
Chaguzi zote zilikuwa hivihivi tangu wakati wa Nyerere hadi Leo.
Upuuzi mtupu na ujinga .
We can not let our country go to the dogs, Nyerere, 1995
CCM are the well renowned dogs since 1977
. Watu Malaya Malaya kama nyie mnaoamini kuwa wazungu ni viranja wetu kama taifa. Eti wahuni wana banchmark demokrasia, haki za binadamu na maendeleo ya Tanzania na nchi za Magharibi. Shame on you.
Mpuuzi mkubwa kabisa wewe na majizi wenzio yaani mnaiba kura muingie madarakani kupitia backdoor sababu hamna ushawishi tena halafu unajitetea kusema haki za binadamu.?

Unajua watu wa ngapi waliuwawa hiyo 2020 kisa igizo hilo?

Katiba inatoa haki ya kupata taarifa ila wewe na majizi wenzio mkazimia watanzania mitandao siku 5

Hizo ndio haki za binadamu ? kilaza kabisa wewe.
Think globally but act locally. We are quite different.
Stupid, how can you say that you think globally while your reasoning capacity in this thread resembles the early struggles of our forefathers during stone age?

So this is the so called "GLOBAL THINKING" by blocking any available method of communication during the general election?

Stupid from the word go .
20250826_232423.jpg
20250826_232418.jpg
20250826_232406.jpg
20250826_232355.jpg
 
Polepole amesema mwenyewe kuwa yeye na wenzake aliowataja walitengeneza mfumo pale CCM na tume ya uchaguzi unaounganisha tume, CCM na NIDA ili kumsadia Magufuli kushinda uchaguzi 2020 kwa njia nyepesi, na mfumo huo ungetumika pia kama mgombea wake ndiye angeteuliwa kuwania Urais.

Kama kweli hili ni kweli Polepole lazima ashitakiwe kwa uhalifu huu mkubwa kiasi hiki.
Bloodbastard, amefichua uovu. Hilo linam -exempt from guilt! Anapewa msamaha (kama kweli kuna kosa) kwa kusema ukweli. Wangelitokea akina Rostam wakakiri uovu wao, wakarudisha mali zetu walizoiba tunawasamehe kulileta taifa pamoja
 
Baada ya kutafiti kwa muda mrefu nimegundua mleta mada ni mnufaika na mfanikishaji wa wizi wa kura 2020 sasa mimi namletea hizi video hapa na picha kwa upuuzi ulioitwa uchaguzi 2020 ambao umeacha makovu kwa watu wengi sana.

Kwa pamoja karibuni tulizomee hili jizi la kura lililokuja hapa kuwatetea wezi wenzie bila aibu.

Cc SAGAI GALGANO WALOLA VUNZYA brazaj Kalamu JokaKuu na wapenda haki wengine wote.
View attachment 3454076View attachment 3454081
View attachment 3454082
View attachment 3454084
Hawa majamaa wanatufanya sisi wajinga yaani wanatangaza Uchaguzi wakati wanajua wazi kwamba Uchaguzi wa siku hizi ni batili maana CCM huchagua kabla uchaguzi haujafanyika.Mara nyingi huwa ni kiinimacho cha kuwaridhisha wananchi pamoja na nchi wafadhili kuwa uchaguzi ulikuwa huru na haki ili waendelee kuaminiwa huku vyama vingine vikiendelea kupata taabu.CCM NI MAJAMBAZI.
 
Mpuuzi mkubwa kabisa wewe na majizi wenzio yaani mnaiba kura muingie madarakani kupitia backdoor sababu hamna ushawishi tena halafu unajitetea kusema haki za binadamu.?

Unajua watu wa ngapi waliuwawa hiyo 2020 kisa igizo hilo?

Katiba inatoa haki ya kupata taarifa ila wewe na majizi wenzio mkazimia watanzania mitandao siku 5

Hizo ndio haki za binadamu ? kilaza kabisa wewe.
CCM can not let the country go to the dogs. Utakuwa ni ulevi na upumbavu kwelikweli kama ndani ya CCM kuna mtu anaeamini kwamba vyama vya upinzani viko tayari kukabidhiwa nchi kwa sasa. Kama yupo mtu huyo awe kijana au mzee, mwanume au mwanamke ni mpumbavu kwelikweli. Sisi wote akiwamo Mwl. Nyerere (RIP) tunahitaji vyama 2 au 3 vikubwa vyenye njia mbadala za kuwahudumia wananchi kwa namna bora kabisa vinavyofanyakazi ya checks and balance (watch gogs) wa vyama vyenyewe kwa vyenyewe. Lakini ili kufikia hapo tunahitaji vyama ambavyo vyote vina uelekeo mmoja katika maswala ya umoja wetu, ukabila, udini, kujitegemea, utamaduni wetu na muungano wetu. Hatuwezi kuwa na vyama vinavyokianzana kwenye kuamini kwenye mambo haya.

Vyama vya upinzani vilivyoko bado vinabeza amani hii na utulivu huu tulionao, wako wanaodhani ni hulka yetu tu kuwa na amani na utulivu, viko vyama vimeegemea kwenye ukabila na vingine kwenye udini, vinahubili dini kama njia ya kupata waungaji mkono. Kuna watu kwenye upinzani ambao ngome zao ziko Ulaya, Vatican na Marekani wakizani hawa wanatakiwa kuwa wanyapala wetu wa kutuelekeza pinda kusho, pinda kulia na rudi yuma au mbele; akili zao zimegotea hapo. Hawa utawasikia muda wote wakisema "the world is watching", maana yao ni kwamba wao wanabweka tu lakini mwenye mbwa yuko huko wanakosema wanatuangalia.

Vyma vya upinzani bado vinahitaji kuokoteza wagombea kutoka CCM wenye mawazo yaleyale yaliyotufikisha hapa tulipo, sasa kama unachukua mgombea kutoka CCM kwa kuona anafaa kuwa kiongozi mkuu kwanini usiichague CCM yenye watu wengi kama hao badala ya kuchukua mmoja tu? Hii ni sawa na kusema CCM kuna wenye akili wengi kule upinzani.
 
Back
Top Bottom