Kikwajuni One
JF-Expert Member
- Mar 18, 2013
- 14,694
- 7,912
AshtakiweAcha kujitoa akili kama kweli unazo. Wizi wa Kura Kwa CCM ni kitu kiko Wazi chaguzi zote.
AshtakiweAcha kujitoa akili kama kweli unazo. Wizi wa Kura Kwa CCM ni kitu kiko Wazi chaguzi zote.
2015 ndo waliiba sana japo walipita 2020 ikabidi wajiongeze otherwise wangekuwa Taifa starz nowDaaah kumbe Masisiemu huwa hayashindi kihalali
Amekiuka na kiapo alichoapa "sitatoa Siri za serikali ....."Ashtakiwe
Maccm yana squirt ovyo kama sprinkler dadeq.Polepole kagusa kwenye G-spot lazima mchanganyikiwe..!!
Njia pekee na uhakika ya Polepole kuthibitisha madai yake ni mifumo inayodaiwa kudukuliwa kukaguliwa na wakaguzi huru jee mko tayari kwa hilo hata kesho watu waingie kazini?Samia hachanganyikiwi ng"o, amesema yeye chura kiziwi hasikii kelele za kutishwa na wakatisha tamaa.
Tatizo letu Kuna watu wanadhani Ulaya ndiye wanaotakiwa kutuadhibu kama tukikoseana. Wako bize kusema na kufanya mbele ya camera za Magharibi ili waone na kusikia kwa matarajio kuwa watatoa adhabu kwa watawala, Hizi ni fikra za hovyo kwakuwa nchi za Magharibi wana njia nyingine za uhakika za kuoana na kusikia mambo. Nchi za Magharibi wana habari zote kuhusu wakimbizi walioko Tanzania, demokrasia ,amani na maendeleo yanayofanywa Tanzania kwenye barabara, elimu, kilimo, uchimaji, umeme, maji, chanjo, afya ya mama na mtoto nk. Hawasubiri taarifa za wahuni kama Polepole, Gwajima, dk. Slaa nk.
Mabalozi wao wanatoa taarifa Kila siku kuhusu Tanzania.
Rudia tena na Tena kumsikiliza utaelewa. Kama hutaelewa useme nikusaidie kuelewa alichokisema. Vinginevyo na wewe ni project ya wahuni.Polepole amesema mwenyewe kuwa yeye na wenzake aliowataja walitengeneza mfumo pale CCM na tume ya uchaguzi unaounganisha tume, CCM na NIDA ili kumsadia Magufuli kushinda uchaguzi 2020 kwa njia nyepesi, na mfumo huo ungetumika pia kama mgombea wake ndiye angeteuliwa kuwania Urais.
Kama kweli hili ni kweli Polepole lazima ashitakiwe kwa uhalifu huu mkubwa kiasi hiki.
Exposure ipi?Mama ana exposure kubwa kuliko JPM, hana shida sana na uhuru wa kusema lakini usiseme uongo Wala uchochezi.
Njia pekee na uhakika ya Polepole kuthibitisha madai yake ni mifumo inayodaiwa kudukuliwa kukaguliwa na wakaguzi huru jee mko tayari kwa hilo hata kesho watu waingie kazini?
Mtu mwenye akili timamu akisumbuliwa na mwendawazimu na yeye hugeuka mwendawazimu. Mwenda wazimu anafurahi ukibishana nae. Polepole atamsumbua mwendawazimu tu.Polepole kagusa kwenye G-spot lazima mchanganyikiwe..!!
Wewe jibu hoja zake acha kuweweseka. Hamna majibu ndio maana mnarukaruka tu.na.kupiga chafya zilizoambatana na rundo la kamasi. Bado ugoro haujawaingia vizuri, mpaka mseme!Mtu mwenye akili timamu akisumbuliwa na mwendawazimu na yeye hugeuka mwendawazimu. Mwenda wazimu anafurahi ukibishana nae. Polepole atamsumbua mwendawazimu tu.
Hana hoja yoyote zaidi ya kusema mm ni mhalifu na Rais JPM kipindi chake cha pili madarakani alichaguliwa kwa njia haramu Alisema yeye ndiye aliyeusanifu huo mfumo haramu alipokuwa Katibu mwenezi. Maana yake huo mfumo haukuwepo wakati JK na haujawahi kutumika kwa Rais yeyote isipokuwa JPM kwenye awamu yake ya pili ambayo HP na JPM walikuwa na udhibiti kamili wa mchakato wa uchaguzi. Ni uhakika Rais Samia huhitaji mfumo wa kipumbavu kama huo kwakuwa yeye sio mpagani kama wao, anamtumaini Mungu wa kweli.Wewe jibu hoja zake acha kuweweseka. Hamna majibu ndio maana mnarukaruka tu.na.kupiga chafya zilizoambatana na rundo la kamasi. Bado ugoro haujawaingia vizuri, mpaka mseme!
Polepole kagusa kwenye G-spot lazima mchanganyikiwe..
Unaona mtu wa maana anamjibu Polepole? Mfumo huo ulikuwa ni kwaajili ya mazingira ya wakati huo, 2020 tu basi. Hauhitajiki tena kwenye awamu hii, haupo na haitakuwepo tena milele. Ni mfumo wa kipagani kwaajili ya wapagani. Ni mfumo wa dhani kwa wenye dhambi, mfumo wa kishetani kwa mashetani. Mfumo wa wizi kwa wezi Kazi alizofanya Samia zinajiuza zenyewe hatahitaji ujinga kama huu wa 2020.Polepole kagusa kwenye G-spot lazima mchanganyikiwe..!!
Unajidhalilisha kiongozi ungetulia utafute kazi nyingine..!!Unaona mtu wa maana anamjibu Polepole? Mfumo huo ulikuwa ni kwaajili ya mazingira ya wakati huo, 2020 tu basi. Hauhitajiki tena kwenye awamu hii, haupo na haitakuwepo tena milele. Ni mfumo wa kipagani kwaajili ya wapagani. Ni mfumo wa dhani kwa wenye dhambi, mfumo wa kishetani kwa mashetani. Mfumo wa wizi kwa wezi Kazi alizofanya Samia zinajiuza zenyewe hatahitaji ujinga kama huu wa 2020.
Wewe ndiye unaejidhalilisha kuonyesha uwezo wako wa kutafakari mambo unahitaji usaidizi mkubwa. Sisi wenye akili za kawaida kabisa (common sense) tunahitaji Polepole aje aeleze namna mfumo wao wa kieletronic ulivyoweza kuhamisha kura zilizopigwa, kuhesabiwa na kujumlishwa manually mbele ya wasimamizi na mawakala wa vyama zilivyohamishwa kwenda kwenye mfumo wa kijiditali wa polepole na kuzigeuza kura hizo ili Magufuli ashinde. Kama huna akili ya kutafakari ni rahisi kumuona polepole kuwa ni shujaa wako.Unajidhalilisha kiongozi ungetulia utafute kazi nyingine..!!
Kwahiyo umeamua kujivua nguo hadharani 😹Wewe ndiye unaejidhalilisha kuonyesha uwezo wako wa kutafakari mambo unahitaji usaidizi mkubwa. Sisi wenye akili za kawaida kabisa (common sense) tunahitaji Polepole aje aeleze namna mfumo wao wa kieletronic ulivyoweza kuhamisha kura zilizopigwa, kuhesabiwa na kujumlishwa manually mbele ya wasimamizi na mawakala wa vyama zilivyohamishwa kwenda kwenye mfumo wa kijiditali wa polepole na kuzigeuza kura hizo ili Magufuli ashinde. Kama huna akili ya kutafakari ni rahisi kumuona polepole kuwa ni shujaa wako.
Je zama hizo na sasa ziko sawaAnachokifanya sio kigeni sana, kwenye chama na Tanzania polepole ni mtu mdogo sana kuliko Oscar Kambona, Ibrahim Babu, Maalim Sharif, Lowasa, kingunge au Membe. Wote Hawa walishindwa kuifuta CCM kwenye ramani. Wanachofanya CCM ni kilekile wanachofanya China, Urusi, North Korea, Cuba na Ulaya mashariki yote. Hata Polepole analijua hilo na anafahamu adhabu ya kupingana nalo. CCM ni zaidi ya chama cha siasa. Hata hivi vyama vingi vilikuja tu kwa busara za Nyerere na vikwazo vya Magharibi.
Jibu hoja acha uhuniHana hoja yoyote zaidi ya kusema mm ni mhalifu na Rais JPM kipindi chake cha pili madarakani alichaguliwa kwa njia haramu Alisema yeye ndiye aliyeusanifu huo mfumo haramu alipokuwa Katibu mwenezi. Maana yake huo mfumo haukuwepo wakati JK na haujawahi kutumika kwa Rais yeyote isipokuwa JPM kwenye awamu yake ya pili ambayo HP na JPM walikuwa na udhibiti kamili wa mchakato wa uchaguzi. Ni uhakika Rais Samia huhitaji mfumo wa kipumbavu kama huo kwakuwa yeye sio mpagani kama wao, anamtumaini Mungu wa kweli.
Polepole na JPM walikuwa wakimtaja Mungu Kila wakati kiasi kwamba huwezi kuamini kama Mungu wao anheweza kuwapa ruhusa ya kutengeneza mfumo kama huo. Hii ni sawa na kusema Mungu wanaemtaja Kila siku kwenye hotuba zao sio Mungu huyu tunaemjua sisi anaekataza maovu. HP ni kichaa walahi.
Lengo la CCM/TANU ni lilelile tangu enzi ya akina Kambona hadi Leo. Lengo lao kuu ni kuendelea kutawala, kuzuia ukoloni kurudi kwa mlango wa nyuma na kulinda muungano wake kwa hali na mali, damu na jasho.. Hawajawahi kutoka nje ya hapo.Je zama hizo na sasa ziko sawa