Polepole ashitakiwe kwa uhalifu huu, kama anachosema ni kweli

6
 
Wewe field marshall II najua kuwa hukojoi kitandani, je akitokea mtu akasema unakojoa kitandani utamsamehe? Akitokea mtu anasema unatembea na mke wa mjomba wako utamsamehe au utamtaka athibitishe maneno yake?
 
Polepole anaunga mkono hoja ya kuwapima afya watu wote wanaoteuliwa na wanawania kuwa viongozi, Polepole ana dalili zote kuwa ni magonjwa wa akili. Ana dalili ya flight of ideas na obsession anapozungumza, kuonyesha anaugua schizophrenia, neurosis .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…